Huenda wewe ndio hukumuelewa mzee Sumaye
Hakumnukuu yeyote huenda wewe umejaribu kulazimisha iwe amemnukuu Mbowe
..mmh.
..OK.
..nitaisikiliza tena press conference ya Mzee Sumaye.
Huenda wewe ndio hukumuelewa mzee Sumaye
Hakumnukuu yeyote huenda wewe umejaribu kulazimisha iwe amemnukuu Mbowe
Hayo ni maelezo baada ya maji kukorojeka
Nakubaliana na wewe, Basi sawa, Mzee ni NchembaTangia lini Mbowe akastahili kuitwa ,,Mzee”?
Tuanzie kwa kuchambua similarities na disimilarities zaoHaya ndo wanajadiliana saivi,
Ndiyo mawaziri wakuu ambao hawana misimamo, mpaka hivi sasaa
Je lowasa ungeshinda urais ingekuwaje
View attachment 1300560
Sent using Jamii Forums mobile app