Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

View attachment 1634876
Acha Mzee wa kisukuma apate hicho cheupe, kimmalize, huenda Mzee ana kisukari au pressure, sasa ukute mke wa awali naye kachoka kwanini Babu asitafute mtu wa kumalizia pesa zake. Kwa binti hakuna penzi hapo ni h iyo mali tu aandikiwe km kule kwa R.E. Mengi, na wapenzi wake wa awali na wapya hatawaacha.
Hawa watu mm nawasifia sana ponda raha kwani hujui ya kesho wala huko tuendako watakaobaki watafute vyao
Huu mkia lazima niuchape labda kama mm sio Pablo!!! nipeni address tu....
resources ninazo
 
Nilipo maliza chuo, nilipata mama mmoja na alikuwa pisi yule mama kuliko hata hivi videmu vya siku hizi, alikuwa ananitunza kama mtoto wake, ndiga naachiwa kila kitu kiliwekwa nikononi mwangu.. aaah! Home walivyojua kiliwaka.. hadi nilijuta kuzaliwa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ. Ikabidi niachane nae.. nirudi mavumbini
Ungerudi mavumbini usinge comment hapa....
 
Wacha watunzaji wafaidi buana, hakuna anayependa shida duniani
Anaekupa raha mpe raha na anaekupa shida mpe shida kwa kuzikataa shida zake๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mbona ize mko wengi sana.....
kama vile mfuga kuku anaingia bandani anaamua achinje kuku yupi kwa muda huo...
hamtupi shida nyie
 
Mbona ize mko wengi sana.....
kama vile mfuga kuku anaingia bandani anaamua achinje kuku yupi kwa muda huo...
hamtupi shida nyie

Ndio ni kweli mpo wengi. Kinachokupa furaha ndicho kinachokufaa, haina sababu ya kupata shida kwenye hizo mambo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sijatetea mkuu
Binadamu mwenyezi Mungu alitupatia miaka70 ya ahadi, ila kwa upendeleo kuna wanaopata na bonus kama Dr Pius

Kina mzee ruksa wana mingapi? - Allah awajalie maisha marefu.

Wanakojali maisha wanavaa barakoa, chanjo zimeagizwa pia sababu za vifo kitalaam huchunguzwa na kuwekwa hadharani.

Apumzike kwa amani mzee Ng'wandu katangulia nasi tupo nyuma yake.
 
ama nchi nendo Huku
 
mzee anatafuta kufa mapema kwa STRESS kabla ya muda wake tu, Demu atapoanza kumuingizia wanaume wengine ndani yeye akiwa kasinzia ndio atajifunza the HARD WA

Haya mambo yanajirudia rudia, huko nyuma mkongwe mmoja wa chama tawala enzi ya mwalimu nae alioa dogo dogo hatima yake mzee aliishia kushitakiwa kwa kuua baada ya kumtwanga na gobole huyo mkewe mdogo alipomfania!

Mwalimu alipata taabu sana na kesi ile kwani yule mzee alikuwa mmjoja wa stalwarts wa chama!!
 
Tena demu alikuwa analiwa na mchezaji wa Cosmopolitan.Mzee Yasebase Ng'wandu Alisha RIP.Nimemkumbuka Bahati Tweve.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
72 Reactions
Reply
Back
Top Bottom