secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,609
Nipe address ya huyo mrembo....Mzee anaenda kuufaidi na kuonaa mugongo ule Dah mzee tumefeli maana kna watu walikuwa wana muwinda yule lkn Bila Bila ๐๐๐
Ova
yupo single now....
Nipe address ya huyo mrembo....Mzee anaenda kuufaidi na kuonaa mugongo ule Dah mzee tumefeli maana kna watu walikuwa wana muwinda yule lkn Bila Bila ๐๐๐
Ova
Tuache michezo huyu dem mzuri.....sanaAh!!!Bwana mkubwa huoni km chombo hicho bado kibichi?,Hebu mwangalie vizuriView attachment 1634630
Huu mkia lazima niuchape labda kama mm sio Pablo!!! nipeni address tu....View attachment 1634876
Acha Mzee wa kisukuma apate hicho cheupe, kimmalize, huenda Mzee ana kisukari au pressure, sasa ukute mke wa awali naye kachoka kwanini Babu asitafute mtu wa kumalizia pesa zake. Kwa binti hakuna penzi hapo ni h iyo mali tu aandikiwe km kule kwa R.E. Mengi, na wapenzi wake wa awali na wapya hatawaacha.
Hawa watu mm nawasifia sana ponda raha kwani hujui ya kesho wala huko tuendako watakaobaki watafute vyao
Ungerudi mavumbini usinge comment hapa....Nilipo maliza chuo, nilipata mama mmoja na alikuwa pisi yule mama kuliko hata hivi videmu vya siku hizi, alikuwa ananitunza kama mtoto wake, ndiga naachiwa kila kitu kiliwekwa nikononi mwangu.. aaah! Home walivyojua kiliwaka.. hadi nilijuta kuzaliwa ๐๐๐. Ikabidi niachane nae.. nirudi mavumbini
Mbona ize mko wengi sana.....Wacha watunzaji wafaidi buana, hakuna anayependa shida duniani
Anaekupa raha mpe raha na anaekupa shida mpe shida kwa kuzikataa shida zake๐๐
Mbona ize mko wengi sana.....
kama vile mfuga kuku anaingia bandani anaamua achinje kuku yupi kwa muda huo...
hamtupi shida nyie
Sure,mboga ipo ya kutosha aahhh!!!!,Kwa mambo yetu yale dah!!!!,marshalaah!!!, Mtoto ametimia,kufika asubuhi unajikuta umepiga bao ambazo hazina hesabu.Tuache michezo huyu dem mzuri.....sana
๐๐๐๐๐sijatetea mkuu
Binadamu mwenyezi Mungu alitupatia miaka70 ya ahadi, ila kwa upendeleo kuna wanaopata na bonus kama Dr Pius
ama nchi nendo HukuKina mzee ruksa wana mingapi? - Allah awajalie maisha marefu.
Wanakojali maisha wanavaa barakoa, chanjo zimeagizwa pia sababu za vifo kitalaam huchunguzwa na kuwekwa hadharani.
Apumzike kwa amani mzee Ng'wandu katangulia nasi tupo nyuma yake.
Ama, nendo. ๐๐๐๐๐๐๐ama nchi nendo Huku
Kama wewe ni Pablo, basi una hela!Huu mkia lazima niuchape labda kama mm sio Pablo!!! nipeni address tu....
resources ninazo
Mzee Ruksa si atakuwa na 95 kweli?Kina mzee ruksa wana mingapi? - Allah awajalie maisha marefu.
Wanakojali maisha wanavaa barakoa, chanjo zimeagizwa pia sababu za vifo kitalaam huchunguzwa na kuwekwa hadharani.
Apumzike kwa amani mzee Ng'wandu katangulia nasi tupo nyuma yake.
Tena demu alikuwa analiwa na mchezaji wa Cosmopolitan.Mzee Yasebase Ng'wandu Alisha RIP.Nimemkumbuka Bahati Tweve.mzee anatafuta kufa mapema kwa STRESS kabla ya muda wake tu, Demu atapoanza kumuingizia wanaume wengine ndani yeye akiwa kasinzia ndio atajifunza the HARD WA
Haya mambo yanajirudia rudia, huko nyuma mkongwe mmoja wa chama tawala enzi ya mwalimu nae alioa dogo dogo hatima yake mzee aliishia kushitakiwa kwa kuua baada ya kumtwanga na gobole huyo mkewe mdogo alipomfania!
Mwalimu alipata taabu sana na kesi ile kwani yule mzee alikuwa mmjoja wa stalwarts wa chama!!
Kifo ni siri, unaweza kufa wewe ukamuacha mzee akiwa fits, acha ajifaidie furaha ya nafsi yake!Binti anatafuta matunzo, kurithi, hakuna love hapo, pumbavu wote kabisa. Jizee lmebakiza siku ngapi kufa? Linaoa ili iweje?
By default ukiwa mzee ni kuwa life is going to the end1 A sensible man can not deny that. Kufa kijana ni bahati mbaya lkn mzee siyo bahati mbaya!Kifo ni siri, unaweza kufa wewe ukamuacha mzee akiwa fits, acha ajifaidie furaha ya nafsi yake!
Yeye alishafariki, nafikiri wazee wa kikristu hawana ubavu na wasichana. Akina Lipumba wanapeta tu. Ila Mengi, Mrema na Ng'wandu hawakuchukua mudaAnaendelea Kutoboa Kama Juma Kapuya