Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

Unakaa nae vizuri huyo manzi tena ikibidi unamtia mimba kabisa mnamsukumia mzee. We katika akili yako unafikiri huyo demu mpaka kufikia kuwa na huyo mzee hapo hajawahi kuwa na mpenzi serious? Pengine ni mission wamepanga wacheze ili wapige hatua hili swala lipogi wazi kabisa.
Na Mchezo umeisha mzee kafariki jana
 

Nyuma ya pazia vifo kuongozana mwisho wa mwaka
 
Ha ha ha hakika....

Kule Matema Ipinda Rungwe ZIMEJAA KWELI...

Nakumbuka mwarabu mmoja kutoka Kuwait alikuwa na project na serikali sasa aliniambia "yaani Mungu kawapendelea wanawake wa KIAFRIKA kuwapa "mizigo" akasema angekuwa si mtu mzima...angekaa Mbeya kufaidi "Mizigo" mpaka mwisho wa uhai wake...🤣🤣
Alitaka kula mikyundu huyo....
 
Back
Top Bottom