Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

mzee masikini amekufa. Kama alijikunja ili kitoke kwa nguvu matokeo ndiyo hayo! Anyway, nwapa pole wafiwa. Umri ule kuna vitu tuviache jamani!
Kazi lkn,dunia imejaa vitamu,haki ya nani bila msaada wa Mungu wengi tutakuwa km huyo mzee na mwenzake Mengi.
 
Mk
View attachment 1634263


My take; Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote, ukishakuwa na fedha, Uzee unaisha, watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze". Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri Shemeji.
Mkuu you said it all .vijana wasiku izi wanaota kuwa na sugar mamii wakuwalea, ko hata vibint mtaani havitaki tena masharobaro kwakuwa wanajua hawana hela kazi kuramba midomo 😂😂
 
Mk

Mkuu you said it all .vijana wasiku izi wanaota kuwa na sugar mamii wakuwalea, ko hata vibint mtaani havitaki tena masharobaro kwakuwa wanajua hawana hela kazi kuramba midomo
Vijana wa siku hizi wanapenda vya bure,sasa waendelee kuwaita pisi Kali shemeji
 
Back
Top Bottom