Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

Mkapa ana balaa ndio maana kajifia mawaziri wake,kapuya huyu mzee, mandosya vipi huko mbeya mabinti hawakuoni huko wakati wa mazoezi.naombeni list ya mawaziri wake mkapa mtoe jpm jk
Wameua kuurudia ujana
 
Tafuteni pesa umri ni namba fedha ni kila kitu kama hauna pesa kila mwanamke mzuri mtamwita shemeji . kaoa msichana mdogo inaushu nini? wivu tu. Mwache mzee wa watu ale matunda ya jasho lake.
 
Barasconi waziri mkuu wa itay alioa msichana wa miaka 28 yeye ana 78 cha ajabu nini? tafuta fedha acha kushang'a watu duniani hivyo ni vitu vya kawaida miaka ni namba tu. Maisha ni fedha. na Mkumjua Mungu.
 

Vijana mna wivu kwavile nyie warembo hawawataki!!! Msifikiri wazee ni wajinga kwani kuishi kwao kumewapa uwezo wa kutatua mambo menig ya maisha ambayo nyie hamuyajui!!! Wazee wa leo sio tu kuwa wana pesa ya kuwatunza warembo bali hata kuwaridhisha kimapenzi/kitandani kuliko nyie wala chips mayai! Kama mnabisha waulizeni dada zenu.
 
huu ndio mwisho wa dunia, wazee wanaoa wajukuu zao!! heshima iko wapi?!! huu ni ukosefu wa maadili ya kiutamaduni.
Mila na desturi za Mwafrika na haswa mtanzania zinapingana na tabia kama hii, sasa sijui ni dalili gani hizi!! inawezekana ndio mwisho wa dunia
halafu unakuta wapo watu wanafurahia huu upuuzi kinafiki!
Mila na desturi za mwafrika na haswa mtanzania? Hivi hujui wazee kuoa watoto ndiyo utamaduni wetu na kuwa ni siku hizi tu unaanza kufifia? Hujui zamani wanaume walikuwa wanaoa mpaka wake watano na mara nyingi mke wa mwisho alikuwa ana umri mdogo kabisa kulinganisha na mumewe?
 
Vijana mna wivu kwavile nyie warembo hawataki!!! Msifikiri wazee ni wajinga kwani kuishi kwao kumewapa uwezo wa kutatua mambo menig ya maisha ambayo nyie hamuyajui!!! Wazee wa leo sio tu kuwa wana pesa ya kuwatunza warembo bali hata kuwaridhisha kimapenzi/kitandani kuliko nyie wala chips mayai! Kama mnabisha waulizeni dada zenu.
☝️ Bulesi ni nini lakini☺☺☺
 
Dr Pius anafurahia kupendwa hata katika uzee wake, huku Dr Mwaka nae anajilia maisha katika imani yake na ujana wake. Wanaume nyie ndio mnaweza kuamua haya mambo yawe vipi ila kikubwa ni kuchapakazi😁😁😁😁😁

Chapa kazi tafuta mali, kisha tafuta wa kukutunza wewe na mali ulizotafuta
 
Vijana mna wivu kwavile nyie warembo hawataki!!! Msifikiri wazee ni wajinga kwani kuishi kwao kumewapa uwezo wa kutatua mambo menig ya maisha ambayo nyie hamuyajui!!! Wazee wa leo sio tu kuwa wana pesa ya kuwatunza warembo bali hata kuwaridhisha kimapenzi/kitandani kuliko nyie wala chips mayai! Kama mnabisha waulizeni dada zenu.
Mimi Kama mwanamke na prefer mzee kuliko kijana, wazee wanajua Mambo mengi, kutunza kujali na hata kusikiliza na kubembeleza tofauti na wavulana, ni kero tu wanazo kwa wanawake na malalamishi mengi. KWA kweli wazee wako vizuri
 
Back
Top Bottom