David alikuwa na kipindi chake maalum cha dakika 30 kizuri sana kielimu nimekisahau jina. Magwiji wa habari nchi hii hauwezi kumkosa David. Mungu ailaze mahala pema peponi roho yake. Amen.A sad day indeed; tumempoteza mmoja wa watu ambao walikuwa na maoni ambayo yaliweza kufanya watu watafakari. Alikuwa anafanya yale "Mazungumzo baada ya Habari" na kweli alikuwa anafikirisha. Zile dakika tano zilizofuatia baada ya taarifa ya habari na kabla ya kipindi cha Michezo zilikuwa zinagusa sana fikra. Sweet memories - RIP DW
Nadhani Muheshimiwa Sana Amepata sehemu ya Kwenda Kuzuga Kwa lengo la Kujifanya Yupo Karibu na Wananchi!! Naona Huu Msiba ni wa Hadhi Yake
RIP DAVID