Mzee Butiku: Tarehe 13/04/2022 Mwalimu Nyerere atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake!

Naisikitikia Jamii Forums imekuwa kijiwe cha mada za kijinga,matusi na majungu.
Tulikuwa tunatamba mwanzoni kwamba, JF sio kijiwe cha wajinga lakini sasa wajinga na wasioeleweka wame take over.
Pia hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kubadili hali hii.
Where we dare to talk freely imegeuka mawazo yasiyojenga.Hakuna critical thinking bali uropokaji na kushutumu tu.
Napenda free speech lakini iwe constructive na inasaidia katika kujenga Nchi yetu.
Na miss JF ya zamani.
 
Kutimiza Mwaka 100 tangu afariki is a significant milestone to Mwalimu's legacy but Mwalimu Nyerere foundation under Butiku's leadership has not lived up to the people's expectations. Had someone other than Nyerere's relative been the head of the foundation I am certain THE MWALIMU NYERERE FOUNDATION like THE NELSON MANDELA FOUNDATION would have registered great achievements in its mission!
Butiku is solely responsible for the foundation's dismal achievements of what was expected!! He had no idea of how he could scale up the activities of the organization.

Butiku ameshindwa hata kuwasaidia mama Maria na wanawe/ wajukuu kuchunga mali zao. Huyu mama Maria enzi ya ufugaji wake kuku alikamata viwanja huko Mikocheni na Mbezi beach amabvyo hivi sasa vimegeuzwa mapango ya majambazi huku wajukuu wa mama Maria wanategemea kulishwa na sisi wavuja jasho!!
Hapa mbezi beach analo eneo linaitwa rungwe, pale kamuweka msukuma mmoja anaitwa Charles miaka na miaka hajawahi kuonekana.

Huyo jamaa kapangisha wafanyabiashara ndogo ndogo anakula kodi tu. Mama kwa hadhi yake hawezi kuja kuhangaika na kiwanja cha RIP mume wake. Wajanja wanapiga kwa jina la Nyerere.

Kuna mwaka walitaka kubomoa vile vibanda vya biashara ndogo ndogo lakini mipango ikayeyuka.
 
Mmoja aliuliwa na BWM, hawa wawili wameuliwa na timu mizoga
Nadhani huko walipo wanajidharau.wachambanaa kipo wapi ulinitanguliza umenifata mbona hukubaki milele kwa kuniondoa mimi.
.Mobutu alimtanguliza Lumumba
.Jiwe.............. beni
. Mugabe...... tsvangirai
.Abacha ..... Abiola, keni sarowia
.Moi..... Ouko
.Al compaore...... Thomas Sankara
.Idi amin dada...... Dr kiwanuka
.
.
Killing is higher level of ignorance.
Kuua mtu ni kiwango cha juu Sana cha ujinga.Kwann uue mtu hali utoishi milele.
 
Ni Natumaini yangu kuwa siku itafika historia ya Tanzania itaangaliwa kwa uadilifu unaostahili. Tunapomkumbuka JKN na wazito wengine wote waliopita basi ukweli wote utandazwe ili fundisho likamilike. It should be done in all honesty with a critical eye into the reality of the times.

Leo hii hiyo MN Foundation inakuwa kama kijiwe kingine cha watu kujipa ujiko wa kuuza sura na kujipatia ulaji kwa kuendelea “kubuni” sifa za JKN (continuous embellishment of JKN’s legacy).
Kama wanaziishi fikra za mwalimu na falsafa zake kivitendo itakuwa ni vyema sana !! Lakini kama itakuwa vinginevyo basi itakuwa ni shidaaa !!
 
Hapa mbezi beach analo eneo linaitwa rungwe, pale kamuweka msukuma mmoja anaitwa Charles miaka na miaka hajawahi kuonekana.

Huyo jamaa kapangisha wafanyabiashara ndogo ndogo anakula kodi tu. Mama kwa hadhi yake hawezi kuja kuhangaika na kiwanja cha RIP mume wake. Wajanja wanapiga kwa jina la Nyerere.

Kuna mwaka walitaka kubomoa vile vibanda vya biashara ndogo ndogo lakini mipango ikayeyuka.

Haya ndio mambo Butiku anatakiwa kuyafuatilia ili kulinda heshima na brand ya Mwalimu Nyerere ambayo inatumiwa vibaya na wajanja!!! T he Mwalimu Nyerere Foundation should be responsible for the protection of the Nyerere brand badala ya Kufukuzia michango tu!!! Jina na Nyerere linachafuliwa Sana mitaani hapo Dar es Salaam!!
 
Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation mzee Butiku amesema ifikapo 13 April 2022 baba wa taifa Mwalimu Nyerere atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake.

Patakuwepo mambo mbalimbali katika siku hii na hasa tukikumbuka jitihada za Nyerere katika kupigania Uhuru wa Tanzania na Afrika kwa ujumla na hata misingi ya Azimio la Arusha, amesema.

Chanzo: ITV Dakika 45!

Maendeleo hayana vyama!
waseme tu tarehe ya kuzaliwa lakini huwezi kutimiza miaka wakati umekufa!
 
Nadhani huko walipo wanajidharau.wachambanaa kipo wapi ulinitanguliza umenifata mbona hukubaki milele kwa kuniondoa mimi.
.Mobutu alimtanguliza Lumumba
.Jiwe.............. beni
. Mugabe...... tsvangirai
.Abacha ..... Abiola, keni sarowia
.Moi..... Ouko
.Al compaore...... Thomas Sankara
.Idi amin dada...... Dr kiwanuka
.
.
Killing is higher level of ignorance.
Kuua mtu ni kiwango cha juu Sana cha ujinga.Kwann uue mtu hali utoishi milele.
Hakika kabisa, maneno kuntu.
 
Jiwe.......ben, hapana timu mzonga wote wawili hawa wanahusika pa kubwa, apandacho mtu ndicho atakacho kivuna.
 
Back
Top Bottom