Mzee Butiku: Tarehe 13/04/2022 Mwalimu Nyerere atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake!

Haya ndio mambo Butiku anatakiwa kuyafuatilia ili kulinda heshima na brand ya Mwalimu Nyerere ambayo inatumiwa vibaya na wajanja!!! T he Mwalimu Nyerere Foundation should be responsible for the protection of the Nyerere brand badala ya Kufukuzia michango tu!!! Jina na Nyerere linachafuliwa Sana mitaani hapo Dar es Salaam!!
Ni kweli kabisa, wanafuatilia mambo yatakayojenga heshima ya wao walio hai, wakisahau kuwa bila ya RIP Nyerere tusingewajua wao wala taasisi yenye jina lake.
 
Back
Top Bottom