Mzee Butiku naomba Kesho ukiwa na Rais Museveni akizundua Jengo jipya la MNF nifikishie Kwake huu Ujumbe wangu muhimu

cleverbright

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
1,779
2,000
Mwambie tu kuwa Mimi cleverbright nashukuru kwa jinsi anavyoipenda Tanzania na Kuiheshimu sana huku akiienzi vyema Familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Yeye akiwa na Mwanafunzi na Mfuasi wake ila ni kwanini hivi sasa anaongoza Uganda Kinyume na Mafunzo aliyoyapata kutoka kwa Mwalimu Nyerere? Mwambie imetosha sasa na awaachie Watu wengine Kuiongoza Uganda.

Nitashukuru ukinifikishia huu Ujumbe wangu Kwake Kesho mkiwa wote.
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,356
2,000
Akisha acha utawala aende wapi? Alishasema aliingia kwa nyundo na atatoka kwa nyundo; yeye ni kota pin.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom