Mzee Mpangala ambaye aliwahi kuwa mkuu wa mkoa kwa muda mrefu na pia katibu wa kwanza wa chama huru cha wafanyakazi (Tanzania Federation of Trade Union-TFTU) amefariki dunia asubuhi ya leo nyumbani kwake hapa Dar.
Bwana alitoa na Bwana amechukua; tunamwombea, mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amen.
Bwana alitoa na Bwana amechukua; tunamwombea, mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amen.