Mzee Aomba Kuazimwa Jembe!

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Tulikuwa tunasafiri kwa basi toka Moshi kwenda Dar. Basi lilisimama mahali katikati ya Same na Hedaru. Konda wa basi kwa sauti kubwa akatangaza: 'Kuchimba dawa jamani, wale wote wanaohitaji kuchimba dawa!'

Mzee mmoja aliyevalia t-shirt kuukuu aliinuka na kumwambia konda: 'Mwanangu, kama kuna jembe humu naomba mniazime!'
 
Possibly alikuwa anaenda chimba dawa kubwa! halafu si unajua wazee kwa kujali mazingira!
 
babu alitaka kwenda kuvimba sa ilibd akumbke kijijin kua choo unachimba af unafukia baaass

merry christmass
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom