Mzee Anthony Mbelwa amefariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Anthony Mbelwa amefariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lole Gwakisa, Sep 11, 2009.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mzee Anthony Mbelwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Idara ya maadili ya viongozi miaka ya Mwalimu Nyerere amefariki kuamkia 09/09/09.

  Amezikwa leo 11/09/09 na mazishi yapo nyumbani kwake Mbezi(njia ya kwenda St Marys Int School).

  Atakubukwa kwa uadilifu na uaminifu, na anatukumbusha juu ya kizazi cha viongozi wa serikali ambao sasa kinapotea.
   
Loading...