Felice1
Senior Member
- Nov 11, 2016
- 106
- 142
Ni miaka takribani mitatu. Mzazi wangu aliugua tu siku 3 na sio kwamba ni ile kuugua na kulazwa. Alifariki. Tulihuzunika sana, alitusimesha kwa kuuza mbuzi, pia majani. Nilipata kazi huo mwaka juzi, akafariki. Hakusubiri matunda aliyopanda kwa taabu. Sasa mara kwa mara naota yupo hai anatupatia chakula, mda mwingine amekaa kwenye kiti tunaenda kumsalim, mara leo nimeota tunamzika lakini kaburi halikuchimbwa. Nalia sana. Hizi ndoto nifanyeje ziishe