Mzazi wa Ben Saanane kukagua maiti iliyowekwa kwenye kiroba KCMC Moshi

Haya mauaji yananikera kweli, sasa hawa wamefka mbali hadi kumchoma moto binadam mwenzao.

Kweli roho za kikatili zipo, na akimaliza kufanya hilo tukio sijui huwa wanajisikiaje
 
naam,baada ya Bagamoyo sasa tatizo linahamishiwa Mkoani,ili tujue kwamba ni mauaji ya kawaida? Kuwa haihusiani na Saanane kupotea huko Dar? Punde huenda tutaskia huko zanzibar kuna maiti kwenye viroba njia panda,huku tukiwabusy na tume za Faru John ambapo tulishaambiwa kauzwa sijui 100mln!!
System at work, fumbo mfumbie mjinga, mwerevu.....
 
Yaani Ben Saanane mzaliwa wa rombo aondoke dsm kimyakimya aende ongoma uru bila kutambuliwa kisha auwawe na kuwekwa kwenye kiroba? Please guys imagine other things not this bensaanane saga
Mkuu acha kabisa watu wakiamua kukupoteza watakupeleka hata nje ya nchi ukiwa umesha nyamazishwa, inawezekana akauliwa Dar akaenda kutupwa uru huko kuendelea kuchelewesha uchunguzi.
 
Kuna ndugu yangu mmoja alikuja likizo majuzi, alinisihi sana , niache kuikosoa serikali kwa namna yoyote ile katika kipindi hiki cha miaka 10, maana anayoy.....ni hatari sana,
 
Criticism means love,don't hate those who criticize you.
Ni dhambi sn kwa Mungu kumtendea MTU ubaya na unyama et kwa kuwa yupo kinyume nawe na anahoji jambo Fulani.

Mungu hushusha mapigo
 
Ujinga na utu ndio tatizo la watu wengi, wanatenda kwa ujinga huko hawatambui madhara ya ujinga watendao
 
Mbona Tushajua Kauawa Na Kengeza Baada Kutokubaliana Mambo Fulani, Na Ntawamwaga Hapa Soon
Hivi kwanini Chama mbadala hawakutoa taarifa za kupotea kwa Mfanyakazi wao tena msaidizi wa mwenyikiti , Kama hazikuwa ni Njama za kufuta ushahidi na kujaribu kuipakazia ............
 
kwanini Mbowe hajigusi kumtafuta msaidizi wake?
Ukweli hata mimi hilo jambo linanisikitisha sana!! Hivi kweli mtu alikuwa msaidizi wake wa karibu kiasi hicho Mbowe amempotezea naendelea na ziara yake ulaya!!!! Hii siyo fair!!! Mbowe ni katili ama la anajua Saanane aliko kwahiyo hana wasiwasi.
 
Huu sio wakati wa wanaharaki kutembea hovyo hovyo bila ya kuwa na tahadhari. Huu ni uzembe wa vyama pinzani hivi kumpoteza mtu kama Ben wanadhani ni jambo la mzaha au jepesi?. Mie nawalaumu viongozi wa upinzani kwa kutokulinda makamanda wao mpaka kupotezwa kirahisi namna hii. Ben sio kama huyu jamaa aliyemsifia pogba kiutendaji na kuwapa magambaz headline kubwa kiasi hiki. Rasilimali za chama zitumike kulida wanaharakati kwa nguvu zote.
 
Yaani Ben Saanane mzaliwa wa rombo aondoke dsm kimyakimya aende ongoma uru bila kutambuliwa kisha auwawe na kuwekwa kwenye kiroba? Please guys imagine other things not this bensaanane saga
Aisee upo kwenye ulimwengu wa giza sana amka huko ,kama amekuwa assassinated unashangaa nini kwa yeye kukutwa Moshi au South Afrika kwa mfano ? Hivi wanaofanya mauaji hayo wao hawafikirii mbele ? Kwamba baada ya mauaji ni njia ipi tutumie ili wasiache ushahidi wa walichokifanya
Kwenye dunia hii hakuna black and white tena
Kuna usemi fulani wa Kijerumani utakusaidia "Doubt everything"
 
Back
Top Bottom