Mzazi umejipangaje kumnusuru mtoto wako anaekaribia kubalehe kwa huu utandawazi?

Dunia ni pana sana, hauwezi kuwa POLISI wa kila kitu.

You can not police each and everything.

Ushoga, magonjwa, usagaji, utandawazi nk, ni vitu ambavyo vipo kwa ajili ya watu.

Mwanao asipokuwa shoga unataka mwana wa nani awe shoga?

Na watu wote wasipokuwa mashoga, halafu? Ndio nini yaani?

Kitu ambacho nina uhakika nacho ni kuwa, dunia haiwezi kusimama na itaendelea kujizungusha kwenye muhimili wake licha ya jambo lolote.

Tuendelee kuishi, mengine tuyaache yafuate mkondo wake.

Hauwezi kuwa polisi wa kila kitu.

Ushoga unataka kuudhibiti weye, usagaji unataka kuudhibiti weye, michepuko unataka kuidhibiti weye, simu za mkeo unataka kudhibiti weye, mwanao hapumui unataka kumdhibiti weye, wavuta bangi uwadhibiti weye...... kila kitu weye?

Unataka kuwa MDHIBITI MKUU wa maadili ya dunia? Utaweza?

From Americas to Antarctica, upasue bahari kuu zile uwe unakagua maadili ya wavuvi na wapiga mbizi?

Kuna wakati inabidi uiache dunia ichukue mkondo wake, na weye ubaki kuwa mtazamaji tu.
 
Hayo ya kusimamia kila kitu umeandika wewe.

Kila mtu ana full responsibility ya kujisimamia na kusimamia kilicho chake.
hivyo kama mtoto ni wako basi ni wajibu wako kuhakikisha mtoto anakuwa vile inavyotakiwa na unavyotaka wewe na asiende kinyume na nature.

Hivyo kama kitu sio cha kwangu basi hakinihusu.

Mwanao kuwa mpumbavu au kutokuwa mpumbavu ni non of my business na wala sihusiki na chochote hivyo hutakiwi kublame mtu yoyote.
 
Dunia ni pana sana, hauwezi kuwa POLISI wa kila kitu.

You can not police each and everything.

Ushoga, magonjwa, usagaji, utandawazi nk, ni vitu ambavyo vipo kwa ajili ya watu.

Mwanao asipokuwa shoga unataka mwana wa nani awe shoga?

Na watu wote wasipokuwa mashoga, halafu? Ndio nini yaani?

Kitu ambacho nina uhakika nacho ni kuwa, dunia haiwezi kusimama na itaendelea kujizungusha kwenye muhimili wake licha ya jambo lolote.

Tuendelee kuishi, mengine tuyaache yafuate mkondo wake.

Hauwezi kuwa polisi wa kila kitu.

Ushoga unataka kuudhibiti weye, usagaji unataka kuudhibiti weye, michepuko unataka kuidhibiti weye, simu za mkeo unataka kudhibiti weye, mwanao hapumui unataka kumdhibiti weye, wavuta bangi uwadhibiti weye...... kila kitu weye?

Unataka kuwa MDHIBITI MKUU wa maadili ya dunia? Utaweza?

From Americas to Antarctica, upasue bahari kuu zile uwe unakagua maadili ya wavuvi na wapiga mbizi?

Kuna wakati inabidi uiache dunia ichukue mkondo wake, na weye ubaki kuwa mtazamaji tu.
Hadi limetajwa, nilijua tyuuh lazima litasemwa hili, na ndo lengo la uzi huu.
 
Back
Top Bottom