linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Mkuu me huwa namshukuru kwa kunileta kwenye huu ulimwengu wa kwichi kwichiNingekuwa wewe ningemfuata aliyenitoa bikra nimuambie anioe, kama hataki naenda kanisani na mahakamani kumshtaki, ikishindikana unamshtaki kwa Mungu alaaniwe.
Au subiri neema ya ALLAH akikukumbuka,
Sinaga la ziada kwake