Mzazi/mwanafunzi: Kama unasomesha au ni mwanafunzi mwenye sifa hizi unapoteza muda na pesa zako

The List

JF-Expert Member
Mar 25, 2017
1,728
4,898
MZAZI/MWANAFUNZI: KAMA UNASOMESHA AU NI MWANAFUNZI MWENYE SIFA HIZI UNAPOTEZA PESA NA MUDA WAKO*

wasalaaam wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mada hii inawalenga zaidi wanafunzi wa secondary, college/university na pia upande wapili wazazi wanaohusika na udhamini huo.Itawalenga wadau hao(wazazi/walezi) sabab ni muhimu wakajua wanapoteza pesa zao na pengine wangeziwekeza kwenye mambo mengine ingerahisisha maisha yao kwa namna moja ama nyingine.

Katika dunia tuliyonayo na hasa kwa nchi zetu(developing countries) mazingira ya kisera na kiimani na jinsi tulivyoaminishwa tangu zamani meaning tangu mifumo hii ya kielimu ilivyotambulishwa kwetu najua kutakuwa na ukakasi mkubwa kwa baadhi ya wadau ku 'digest' nitakachokieleza apa. Mifumo ya kielimu imeleta dhana ya kuwa ili mtu uweze kuwa na maisha mazuri ni lazima uende shule,ufanye vizuri(grades),na kisha utafute kazi kwa miaka 4,5 sometym 10 n for the lucky once frm xul straight to work. Mambo ayo tunaaminishwa tangu tukiwa watoto kwa wazazi wetu, kwenye nyumba za ibada, na hata kwny mashule tunakosoma. Sina tatizo na hilo pia kabla ya kujikita kwny mada labda niweke jambo sawa..makala hii hailengi kupinga elimu BIG NO!!! Formal education is good and many proffesions require it(doctors,eng,teachers etc)..but ninaamini education can and does take place in many forms. As a college dropout mwenyew ninasoma zaid ya vitabu 5 kwa mwezi.

Ongezeko la kasi la watu kwny soko la ajira kila mwaka ambapo kwa takwimu kila mwaka ni asilimia 15 tu ya watu wanaofanikiwa kupata ajira(ILO). Iko wazi kuwa our education system is broken and thus as a result most graduates are broke. Wakati wa kuamini mfumo wa elimu kwamb utatoa suruhisho la ajira kwa vijana..has come into question,ambapo most graduates wamekosa ajira lakini for the few who are lucky to get jobs wamekuwa ni 'maskini wanaojimudu kwa siku30'.

Suruhisho la yote pamoja na ugumu wa utekelezaji wake ni kujiajiri kwa maana ya ujasiriamali/biashara. Nafahamu ujasiriamali/biashara sio kila mtu anaweza na pia najua stumblocks zote za ujasiliamali. From my own expernc najua how many busines survive n how many dont ninajua mifumo yetu sio rafiki kwa Mjasiriamali kikodi,kimtaji, kiushindan na bidhaa za nje n.k. I knw t all i hav been in this game n i can tell frm experience, ila hivi vyote havitosh kuendelea kukupotezea muda wako au pesa za wazazi kwako.

Andiko hili halilengi kueleza kwamba serikali ifanye nini sabab ni wataalam wengi walishaeleza na kutoa ushauri huo. Zaid nitawalenga wazazi na vijana wenzangu ambao wako au wana mipango vyuo.

Mara nyingi tumeona baadhi ya vijana wakiomba misaada ya kusomeshwa au wazazi wakifikia hatua hata ya kuweka rehani/kuuza thamani zao ili tu watoto wapate elimu lakini mwisho wa siku mategemeo yao hufa pale kijana wao anapomaliza na kupata kazi lakini akashindwa kuwa mtu wa kutegemewa kwao.

Kama nilivosema awali ujasiriamali/biashara sio kwa kila mtu ivo apa ntatoa *THE LIST* ya sifa chache na kama unazo na uko shule au una mategemeo ya kwenda shule basi amini kuwa unaweza ukafanya vizuri sana ktk ujasiriamali.

Mosi, umeshawai kuanzisha au kujarib kufanya jambo uliloliamini lkn bahati mbaya likafeli. kwa yeyote mweny damu ya ujasiarimali bas ktk anay stage in yo life lazima ulionyesha interest ktk hela au kutatua tatizo fulan. So ikiwa ndivo ivo na ukafeli basi jua una sifa. Ktk ujasiamali kufeli au kushindwa ni jambo la kawaida na ni jambo unaloish nalo kila siku

Pili ni mbishi/ king'ang'aniz yaani haukaubali kushindwa. Point hii ina mahusiano makubwa na point iliyopita. Tunafaham kwny ujasiriamali hitting a wall au kulala tajir ukaamka maskin ni kitu cha kawaida, so unafanyaje pale unapoferi? Mjasiamali ni mbishi kukubali ameshindwaa atapambana tena na tena ataanguka zaidi na mwisho wa siku ata simama wima iko ivo.

Si mwepes wa kuridhika..mjasiriamali ni mtu asiejikubali hasa anapojiringinisha na wengine kama alitamani awe anauza chapati ishirini kwa siku akifikia lengo basi ataongeza lengo lingine.

Sio mvivu..apa nina maana ya kwamba kama ww ni mwanafunzi na kawaida ako iwe kwa kazi za nyumbani au shuleni hupendi kuacha viporo basi tambua kuwa ktk ujasiriamali utafanya vizuri sana. Uvivu ni sumu kwa yeyote iwe shuleni,ofisini mtu mvivu hawezi kutoboa

Ni mshindani; yaani iwe ni ktk michezo,masomo n.k unapenda kuwa bora kuliko wote. Kama una sifa hii utafanya vizuri sana ktk ujasiriamali (competitive nature)

Mwisho ni uvumilivu, sifa hii kwng ni kubwa kuliko zote. Kama una nasaba za uvumilivu yaani huna pupa ktk maisha ako na wala sio mtu wa mafanikio ya sandakalawe( gambling/forex) basi ktk ujasiriamali utatoboa.

Ujasiriamali ni mgumu sana hasa kama unaanza lkn kama una muongozo mzuri na unafahamu unachokifanya basi unaeza shangaza watu.

Angalizo tu, kama huna sifa hizo rudi shule soma sana pengine unaweza jikomboa..pia kama umebahatika kupata full government sponsorship nenda kasome na pia kama uko interested na proffesionalism mfano udaktari,sheria,ualimu n.k baki shule

Anza mapema,anguka mapema na kisha simama mapema.
 
Una maana gani kusema kama sio sandakalawe gambling/ forex ? Inamaana hizo biashara ni kamali na viini macho tu??

Mkuu umeamaliza kwa kizungumkuti , Hasa nikizingatia Uzi.maarufu wa FOREX huku JF
.
 
Una maana gani kusema kama sio sandakalawe gambling/ forex ? Inamaana hizo biashara ni kamali na viini macho tu??

Mkuu umeamaliza kwa kizungumkuti , Hasa nikizingatia Uzi.maarufu wa FOREX huku JF
.

Thanx for your concern mkuu.. my point ktk hilo ni kwamba gambling+forex ni sandakarawe in that they both attempt to create a capital gain, over a relatively short period of time, without creating new wealth. If I am a shoemaker, then my efforts create a pair of shoes that someone else can wear (new wealth), while I earn an income from cobbling. When I am a trader or gambler, I may earn an income, but there is no additional wealth created. Nafikiri umenipata boss
 
Ubaya ni kuwa wengi wanaojiita wajasiriamali sio wajasiriamali..
Ubaya ni kuwa wengi wanaofundisha ujasiriamali hawajawahi jaribu ujasiriamali
UBaya ni kuwa washauri wengi wa ujasiriamali wengi wao si wajasiriamali na wengi wao wameajiriwa
 
Hahahaha mkuu uko sahihi, watu wengi wamepotoshwa na kuliwa pesa zao aidha kwa kulipia darasa au kununua vipeperushi mbalimbali vinavyofundisha nadharia za ujasiriamali/biashara. Nakubaliana na ww kuwa nadharia hizo hazitoi picha halisi ya kile mtu anachoenda kukutana nacho. Binafsi kwa sifa nilizotoa ktk andiko langu hakuna shule wala mwl atakufundisha hivo vitu, inshort sifa hizo ni za kinature zaid namna mtu alivyo. Kama ww ni mvivu au sio mvumilivu hakuna shule itakayokufundisha au kukutibu madhaifu hayo.

As a college dropout myself sijawai kuhudhuria darasa hizo ila nilibahatika kupata Mentors. Kwangu mm ujasiriamali sio kitu cha kufundishwa darasani sabab pilika zake zina matokeo tofaut kwa watu tofauti. Ninachoamini ukiwa na good mentorship ya mtu ambaye ni credible n well established ktk eneo ulilo passionate abt aidha ni ukulima, ubunifu, uandishi, biashara basi hauhitaaj darasa zaid ya hilo.
 
Mimi nimekuelewa kabisa, na hapa nilikuwa naongelea wale wanaofundisha watu ujasiriamali au kuwashawishi wafanye ujasiriamali.

Kuna koo nyingine hakuna hata mmoja anafanya biashara wote wameajiliwa.
Tatizo ni kuwa watu wengi wanatamani kuwa wajasiriamali ila wanapata ushauri kwa watu wasio wajasiriamali, na hao watu wanawaambia kuhusu faida tu ila hawawaambii kuhusu hasara zilizo kwenye hicho kitu

angalia wale jamaa waliodanganya mama zetu kuwa Kware Kware leo hii hakuna kware wala mdudu wa nini
Watoa semina wengi ni waongo
Wajasiriamali wengi hawaambii watu ukweli
Unakuta mkulima anakupigia hesabu kuwa faida utapata 100mil kwa miezi mitatu, hapo hajaongelea hasara unayoweza pata
 
Umenifurahisha na kunikumbusha mbali apo kware eti wala mdudu , pia kwenye mill 10 apo nimekumbuka trend za matikiti, vitunguu, nyanya zote hizo zimeacha watu wakilia mbaya na wengine ni watu ninaowafaham kabisa.

Unajua mkuu Root as my Mentor anavopenda kusema entrepreneurship is neither a science nor an art,its a practice!! Mm naamini haijalish kama umejarib na ukashindwa the more ukafanya tena na tena sooner or later unakuwa master wa hicho kitu n as a result unatoboa

Kikubwa ni uvumilivu n persistence.
 
Ni kweli ila kujiajiri ni changamoto sana, japo inalipa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto ni nyingi mkuu..kuanzia mtaji mpaka miundombinu ya kibiashara yote si rafiki kwa mjasiriamali..

kikubwa ni kuanza na hicho ulichonacho coz ukisubir hali iwe nziri sio leo mkuu..Alibaba husema today is hard tommorow will b worse. Ukishaanza momentum itajitengeneza tu
 
wakati tulipokua veta tulifundishwa pia ujasiriamali mbali na ufundi wenyewe, tulipomaiza na kuja mtaani tulichokutana nacho nitofauti na yale mafunzo, mfumo tuliokutana nao ndio tunaoufuata hadi leo, mwaka wa 10 ss hata suruali nimeshindwa kununua!
 
Back
Top Bottom