Mzazi mwambie mtoto picha za X Ni fire

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,544
44,690
Kama una mtoto ambaye anatumia smartphone jua ameshika sumu Tena sumu iliyo expire.hizi Zama uchafu wote upo kwenye X Ni rahisi kwa mtoto kutaka kujaribu michezo ya kule.mkanye kabisa usimfiche mwambie kuna vitu ni hatari havijaribiwi Wala havitazamwi.kama una mtoto wa kiume ambaye hutaki awe na tabia za kishoga na kibasha au Kama una mtoto wa kike ambaye hutaki ajifunze kulengwa jicho Basi mueleze uhalisia wa Mambo bila kupepesa
 
Ni hatari sana wazungu sio wajinga kuruhusu mambo ya kishetani kama haya mapicha ya ngono yanaalibu kizazi chote kila kijana aliye na smart fone huwezi kumkuta ambaye hana video za ngono asilimia kubwa wanazo ukizingalia picha hizi za ngono Lazima utajichua tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku ya kwanza kuangalia X ilikuwa ni usiku, nilipoamka asubuhi nilikuwa nimelowana mapajani na mkuyenge una hema juu juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom