Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,596
- 5,787
Imefikia wakati wazazi lazma tujue mahusiano ya watoto wetu. Si wakati wa kuwafanya watoto kujificha. Mahusiano si mabaya ila mabaya ni matendo yanayofanyika ndani ya mahusiano.
Ni bora tukawaelimisha watoto wetu waone matendo mabaya wanayoyafanya ndani ya mahusiano wanajikosea wenyewe, kuliko hivi sasa tumewaaminisha kuwa wanawakosea wazazi na jamii kwa ujumla. Watoto kuwa na mahusiano kwa siri ni hatari zaidi, wanakosa muda wa kutafakari maamuzi yao.