Mzazi kujua mahusiano ya Mwanae!!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,585
5,758
Imefikia wakati wazazi lazma tujue mahusiano ya watoto wetu. Si wakati wa kuwafanya watoto kujificha. Mahusiano si mabaya ila mabaya ni matendo yanayofanyika ndani ya mahusiano.

Ni bora tukawaelimisha watoto wetu waone matendo mabaya wanayoyafanya ndani ya mahusiano wanajikosea wenyewe, kuliko hivi sasa tumewaaminisha kuwa wanawakosea wazazi na jamii kwa ujumla. Watoto kuwa na mahusiano kwa siri ni hatari zaidi, wanakosa muda wa kutafakari maamuzi yao.
 
Imefikia wakati wazazi lazma tujue mahusiano ya watoto wetu. Si wakati wa kuwafanya watoto kujificha.
Mahusiano si mabaya ila mabaya ni matendo yanayofanyika ndani ya mahusiano.
Ni bora tukawaelimisha watoto wetu waone matendo mabaya wanayoyafanya ndani ya mahusiano wanajikosea wenyewe, kuliko hivi sasa tumewaaminisha kuwa wanawakosea wazazi na jamii kwa ujumla.
Watoto kuwa na mahusiano kwa siri ni hatari zaidi, wanakosa muda wa kutafakari maamuzi yao.

aiseeeeeee!
 
Hii ni ngumu kumeza
Maana mwanzo ni nahusiano na kinachofuata baad ya mahusiano nafikiri unakijua
Na wala sio kibaya kile kinachotokea ila mwannzo wake ni pale unaporuhusu mahusiano hayo na kuyabariki
 
Nafikiri isiwe lazima, bali iwe muhimu kujua. Siyo kujua mahusiano yake tu, bali hata life style yake ili iwe rahisi kumshauri.
 
Mahusiano yenyewe ya sasa ni yale yakupeana vyao fasta na sio kujiandaa kwa ndoa
 
mnh unapeleka mtu baada ya muda anakugeukia unadaka mwingine ka nguo ya mtumba vile then sijui utapeleka au la.................huh
 
ebwana yaani nimesikia mtoto mmoja akisema ana huzuni maana baba yake angekuwa hai angemfundisha jinsi ya kumtoa msichana out.
 
<font size="3">mnh unapeleka mtu baada ya muda anakugeukia unadaka mwingine ka nguo ya mtumba vile then sijui utapeleka au la.................huh</font>
<br />
<br />
wazazi wakiwa wanajua mahusiano yao watajiheshimu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom