Mzawadie unaemjali wakati wa giza nene!!

futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
Habari JF?

CRANK BOX NI JENERETA NDOGO YA MKONO YENYE UWEZO WA KUWASHA TAA 3 ZA LED.
HAITUMII BETRI, MAFUTA YA TAA, UMEME WA JUA AU WA TANESCO KUCHAJI.
Crank Box inatumia nguvu zako tu!!
Ina teknolojia rahisi na makini. Unahitaji dakika moja tu kuchaji.
Inatumia DYNAMO kutengeneza nguvu ya umeme inayohifadhiwa kwenye CAPACITOR kwa zaidi ya masaa 2.

Vijijini kwetu tumewaacha ndugu na jamaa ambao bado wanatumia vibatari, kandili, mishumaa na hata wengine kulala giza kwa kukosa mwanga. Wanafunzi wanashindwa kusoma wakitoka shule kwa sababu hawana mwanga tegemezi.

Je, unatumia kiasi gani kila wikiendi kutoka na marafiki zako?
Je, ni kiasi gani cha pesa unatumia bila ulazima/mpango wowote?
Je, unamkumbuka yule ndugu yako mwenye shida hata ya chakula?

CRANK BOX NI MKOMBOZI.


Betri, Mishumaa na Kandili ni hatari kwa afya zetu, zinachafua mazingira & ni gharama kumudu.
Bei za mafuta zimepanda sana, vivyo hivyo bei za chakula na bidhaa nyingine sokoni.
Ukimpatia nduguyo zawadi ya crank box, utakuwa umemuokoa sana.
Ataweza kuhifadhi takriban kiasi cha shilingi TZS: 60,000/= ikiwa ni gharama ya mafuta ya taa kwa mwaka pamoja na gharama nyinginezo nyingi zinazofanana na hizo!!
Ataepuka maradhi yatokanayo na moshi wa kandili na vibatari. Na ataweka mazingira yake safi!!

Muonyeshe unamjali, mnunulie crank box kwa TZS 15,000/= tu na utazidishiwa maradufu!!

Tutembelee:Tupo Mbezi Beach - Tanki bovu karibia na Gates of Paradise Hotel.
Au wasiliana nasi kupitia 0715 997688/ 0785 997688
 
Crank Box ndio nini jiko, taa ama toa maelezo ya kina usibandike Tangazo kama vile kila mtu anajua hilo box lako..Haya sasa contact hamna mabox yako yanauzwa wapi, unamaana gani kuwa yanatumia nguvu yako ??? maswali kibao.
 
Hello JF.

A crank box is a portable hand generator.

To generate electricity, one needs to crank it's handle(in black in the middle) for only one minute and it gives light for more than 2HRS.

It's advantages are:-
1. It does not use batteries rather it has an intergrated super capacitor for energy storage.
2. It does not use solar power
3. It does not use kerosene, petroleum or diesel oils
4. It is cost effective and environmentally friendly
5. Expected life time of 10yrs
1yr warranty


Its contents includes:-
A dynamo & a handle to charge it,
3 LED lamps (can be connected in series)
5mts wire
Screws and a screw driver (for fixing in a home)
It comes along with:-
An instruction manual available in either Swahili or English.
AND ABOVE ALL, IT ONLY COSTS TZS 35,000/=!!! retail price.
Note:- Any layman can install a crank box just by reading an instruction manual.

We are located along the new Bagamoyo road, Mbezi Beach - Samaki just adjacent to Gates of Paradise Hotel.

Or you can call us on +255 715 997688 to place your order and obtaining further details.

Natumai nimejibu maswali yenu wote!
Karibuni sana..
 
Sasa kuandika hivyo unamaanisha nini??? What is that kisichotumia umeme wa Tanesco. Solar, wese, wala nini sijui .....so haiwezi kuwa msaada sasa.....au ni baloon ambalo ukilipuliza linatuna mf wa Box nini??? na Lina kazi gani????


Be serious next time man.....
 
sure.......hapo umejibu mzazi....koz hata mie ulikua ushanimix......

Tht is really nice......but aint sure on its efficiency......will visit u though.....I know the place.......Koz ni karibu na Bamboo bar........au??
 
sure.......hapo umejibu mzazi....koz hata mie ulikua ushanimix......

Tht is really nice......but aint sure on its efficiency......will visit u though.....I know the place.......Koz ni karibu na Bamboo bar........au??

Hehehe!
Nimeona kweli nlikumix, manake hiyo post yako ya kwanza dah! Mi mwenyewe ngastuka....
Tupo karibu sana na Hotel ya Gates Of Paradise. Hiyo bamboo bar, mh mh! sijaiona but ni mbezi samaki mkuu. KARIBU MTEJA KWETU NI MFALME..
 
Hapo sawa natumaini umejifunza kuweka tangazo likasomeka vyema kwa wateja nitakupigia simu
 
its amazing, i really need it! i will pass-by on my way home it can be an old science put in practice and helpful
 
kwahiyo,zinatofautiana ukubwa wa kutoa umeme kutokana na matumizi ya nyumba?
ni kama vile solar pannels ziko za ukubwa tofauti kulingana na hitaji lako
 
kwahiyo,zinatofautiana ukubwa wa kutoa umeme kutokana na matumizi ya nyumba?
ni kama vile solar pannels ziko za ukubwa tofauti kulingana na hitaji lako

Hapana Aza,
Hizi zipo size moje tu, na uwezo wake ni wa kuwasha taa 3 tu na sio zaidi ya hapo. Pia ina taa zake special. Ndio maana inaitwa Home lighting system!
 
Je kama nikihitaji kwa jumla ni shilingi ngapi na nitatakiwa kununua kunzia ngapi ili nipate kwa jumla?
 
Je kama nikihitaji kwa jumla ni shilingi ngapi na nitatakiwa kununua kunzia ngapi ili nipate kwa jumla?

Hello Mama,
Kwa sasa tuna Promosheni Kabambe!!
Crank Box sasa inauzwa kwa punguzo la bei la zaidi ya 50%.
Kwa TZS 15,000/= tu unaweza kumzawadia unaemjali Crank Box.
Promosheni ipo wazi hadi Novemba 30, 2010.
 
Hello Mama,
Kwa sasa tuna Promosheni Kabambe!!
Crank Box sasa inauzwa kwa punguzo la bei la zaidi ya 50%.
Kwa TZS 15,000/= tu unaweza kumzawadia unaemjali Crank Box.
Promosheni ipo wazi hadi Novemba 30, 2010.


BABA EMBU TUABALISHE VIZURI 60000-15000 KUNANI UKO MZAZI WENZANGU HATA kuni PM
 
sasa kuandika hivyo unamaanisha nini??? What is that kisichotumia umeme wa tanesco. Solar, wese, wala nini sijui .....so haiwezi kuwa msaada sasa.....au ni baloon ambalo ukilipuliza linatuna mf wa box nini??? Na lina kazi gani????


Be serious next time man.....

akuji huyu ama ajui anajibishana na premium member??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom