INAUZWA Mzani wa digital KG 40 Camry

Mshimba1971

Member
Dec 13, 2021
75
66
Nauza mzani wa digital aina ya camry unauwezo wa kupima kg 40. Unaonesha bei na uzito kwenye screen. Bei ni tzs 95,000 tu (dukani bei 150,000). Unatumia umeme na unatuza charge kwa mwezi 1. Piga 0754 34 36 42

599784e56ba90abca71847246a657e130a5ee819.jpg
 
Back
Top Bottom