MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,425
Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Ununio amethibitisha ujio wa kituo chake kipya cha redio kitakachoenda kwa jina la Madam FM.
Hayo ameyasema leo ktk kipindi cha Bongo movie roundtable pale alipoulizwa nini mipango yake kwa mwaka 2017
"Yeah mwaka huu umekuwa mzuri sana kwangu, nategemea tena kwenda extra mile next year,as soon as February 2017 I'll be launching my radio station, nitaita madam fm,nitaanzia na Dar,Dodoma ,Morogoro na nyumbani singida" alisema.
Mwanamitindo huyo pia katika kumalizia alirusha jiwe gizani " sasa hivi nimeelevate my game ,najitahidi sana kutokugombana na wasichana wengine kisa wanaume wenye redio ila nakuwa Kipepeo mwenye redio yangu mwenyewe,ain't that cute?"
Mdau wa teknolojia na burudani nini maoni yako?