MZAHA: Wema kuanzisha kituo cha redio, Feb 2017

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,477
20,383
Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Ununio amethibitisha ujio wa kituo chake kipya cha redio kitakachoenda kwa jina la Madam FM.

Hayo ameyasema leo ktk kipindi cha Bongo movie roundtable pale alipoulizwa nini mipango yake kwa mwaka 2017

"Yeah mwaka huu umekuwa mzuri sana kwangu, nategemea tena kwenda extra mile next year,as soon as February 2017 I'll be launching my radio station, nitaita madam fm,nitaanzia na Dar,Dodoma ,Morogoro na nyumbani singida" alisema.
Mwanamitindo huyo pia katika kumalizia alirusha jiwe gizani " sasa hivi nimeelevate my game ,najitahidi sana kutokugombana na wasichana wengine kisa wanaume wenye redio ila nakuwa Kipepeo mwenye redio yangu mwenyewe,ain't that cute?"
Mdau wa teknolojia na burudani nini maoni yako?
 
Nafikiri kabla hajakimbilia mbali kote huko kwenye kufungua radio.. Ajitahidi anunue gari hata VITZ ya kutembelea kwanza.

Anaonekana sana akiwa kwenye bajaj... Foleni maeneo ya Lugalo kuelekea Mwenge.
Aache kukimbizana na asset akimbizane na liability? Hueleweki mkuu!
 
Acheni mkatisha tamaa mtoto wa watu there's hope it is not too late for her,I wish her all the best in everything which is good and legal.
 
ngoja niwahi 2017 nione kama kweli atafungua radio station... whaaat!! hakuna chochote 2017 zaidi ya kutoka na msanii fulani jina lake linaanzia na D
 
Huyu wema huyu hasomeki alianza movie ya superstar mpk leo haijatoka,akaja movie akiyoact na van vinker haijatoka,akaja na ndala cjui zipo wap,akaja na lipstick nazo zimepotea kama upepo akaja na Wema app mpaka inapotea sikuwahi kuielewa kbs inahusu nini na sasa anakuja na redio kila la herii labda hapo atafanikisha.
 
Back
Top Bottom