MkenyaMzalendo
Senior Member
- Sep 12, 2010
- 171
- 16
Nadhani huyu Konyagi ndiye bingwa mtetezi wa kombe la upumbavu, na sitarajii kupata hekima kamwe kwenye vipachiko vyake. Anafurahia sana kueneza chuki na habari za uwongo. Nadhani alimpoteza mchumba wake kwa Mkenya machachari ndio maana akawa na uchungu kupindukia kama vile mnavyoona.