Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,385
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siyo genius mkuu!.....ila kwenye masuala ya kukagua chura na kujua ipi imenona nipo fit sana mkuu!Kwa hiyo we sio genius maana hujatoa maelezo
Ahahahah unapenda sana chura unajua kazi yake?Mimi siyo genius mkuu!.....ila kwenye masuala ya kukagua chura na kujua ipi imenona nipo fit sana mkuu!
Kazi yake naijua!....wewe chura ipo jamani?Ahahahah unapenda sana chura unajua kazi yake?
Chura haipo unaitaka ya niniKazi yake naijua!....wewe chura ipo jamani?
Kama chura ipo lets us dump Nyani Ngabu please,i know together we can!Chura haipo unaitaka ya nini
Ahahhahahaahh ngoja nijadiliii hili moyoniKama chura ipo lets us dump Nyani Ngabu please,i know together we can!
Baada ya kubaki 'single mom' ilibidi bi kuku atafute 'replacement' atakaemsaidia kutunza katoto. Na kumlipia kodi
Ohhhhh my God!!.....huenda sikukuu yangu ikachange from good to better!!.....mungu ni mkubwa!!Ahahhahahaahh ngoja nijadiliii hili moyoni
Oooh unafurahia eeeOhhhhh my God!!.....huenda sikukuu yangu ikachange from good to better!!.....mungu ni mkubwa!!
Ndiyo!....ila kiu yangu kubwa ni chura!Oooh unafurahia eee
Huyo kuku ni Ndalichako
Kifaranga.. Walimu wa Arts
Mbwa ni Walimu wa Sayansi
Hahaha umetisha mkuuHuyo kuku ni Ndalichako
Kifaranga.. Walimu wa Arts
Mbwa ni Walimu wa Sayansi
Hata kama ni ya mchina sioNdiyo!....ila kiu yangu kubwa ni chura!
Huo ni uchochezi,JF itakapofanyiwa udukuzi keshokutwa na bwana yule wewe utakuwa wa kwanza kuswekwa lupango mkuu!!Naweza kuwa Genious?
cc Behavirist
Mchina hapana please ,chura ya kichina hainogi!!Hata kama ni ya mchina sio