MYC4: Fursa ya Mikopo kwa Wajasiriamali Wadogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MYC4: Fursa ya Mikopo kwa Wajasiriamali Wadogo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Entrepreneur, Feb 10, 2012.

 1. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  MYC4 is an internet marketplace where investors from around the world can lend money directly to entrepreneurs who are doing business in Africa, thus playing a personal, direct role in creating growth. Hii ni fursa ya pekee kwa wajasiriamali wenzangu wanaohitaji mikopo kwa ajili ya kuendeleza au kuanzisha biashara zao. Wapo baadhi ya Watanzania wenzetu wameshafaidika na hizi huduma, na ndio maana nimeona ni busara kuliweka hap

  MyC4 has a strict selection process which identifies entrepreneurs looking to develop companies that provide healthy economic prospects for growth. The screened entrepreneurs then post their ideas labelled as an Opportunity online so that visitors to the MyC4 website can bid on (to invest in) any open Opportunity on MyC4. The bidding process is based on auction which basically means, the more people that are interested in investing, the more favourable the terms (e.g. interest rate) become for the African business.


  Angalia video hii namna wanavyofanya shughuli zao kwa
  kubofya HAPA: Pia unaweza kuwatembelea kwa kubofya HAPA

  Karibuni
   
 2. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mkuu mbona unabana tangazo hili kama vp ni pm na picha alafu mambo haya mazuri niweke kwenye blog
  GSHAYO
   
 3. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu sibani tangazo bali napunguza ujazo wa server za JF. Kila kitu kipo online ndio maana nimeweka hizo link. Ni www.myc4.com. Na hii si kwa wakopaji tu hata kwa wakopeshaji. Hebu watembelee, huko wakopeshaji na wakopaji ndio wanapokutana.
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  Mkuu tunaomba utuwekee angalau majina ya wajasiriamali wa bongo wawili waliofanikiwa na hii kitu
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mkuu, nimetembelea hii website, lakn naona sijapata malezo ya kujitosheleza,
  1, Ni kiasi gani cha mwisho kukopa
  2. Hatua zipi anazochukua mkopaji kuomba mkopo
  3. Dhamana za namna gani ambazo zinakubalika
   
 6. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Kuhusu kilimo wanakopesha
   
 7. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Komando kwanza heshima mbele. Back to the topic

  Kama ungetaka kujua hayo majina ungetembelea hiyo web, kwani kila kitu kipo wazi kuhusu hao watanzania. I know you are very intelligent guy, so if i can do it, you can do it too. Najua si sahihi kuamini kila utakachokisoma, hasa ukivuta kumbukumbu kuhusu ule utapeli wa DECI, but hawa jamaa wapo serious, na kwa sasa wana partners hapa Tanzania kwa ajili ya issues za administration na utoaji wa fedha, hawa ni TUJIJENGE MICROFINANCE na BELITA

  Mfano wa watanzania waliopata loan ni Nipha Mkuki, kupitia BELITA, mwingine ni Germin Mallya kupitia Tujijenge (ila huyu bid yake inafungwa kesho kutwa). Kimsingi hii program peer-to-peer on line lending[FONT=&quot][/FONT] imechelewa sana kuingia Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine kama Kenya na Uganda. Hivyo usishangae sana kuona Wakenya na Waganda wakiwa na muamko wa hii kitu kutuzidi sisi.
   
 8. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu sina Uhakika sana na kiasi cha mwisho kwani sifanyi nao kazi, but ukiwacheki. Tujijenge Tanzania kupitia, shafin@tujijenge.org (hii ni kwa mujibu wa web yao) anaweza wakakupa details zaidi. Dhamana kama vitendea kazi vya biashara yako, home appliances, card ya Gari, Hati n,k kutegemeana na kiasi cha fadha utakachoomba.

  Kikubwa kinachohitajika ni wewe kucreate account yako kwenye hiyo web yao then una upload idea yako na kiasi unachotaka, ukiiweka online watu (Investors) ambao ni member kwenye MYC4 wanaanza kukambana kuifinance na wanatoa offer yao kwako. hapa utapata fursa ya kuchagua Mkopeshaji anayetoza RIBA unayokubaliana nayo. Mkikubaliana hao partner wa MYC4 wana pull off hii yo deal kwa kutoa Mkopo kulingana na nchi uliyopo kwa Tanzania ni Tujijenge Tanzania na BELITA.
   
 9. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280

  Mkuu nimekupata sana sana na nashukuru sana, vipi inatofauti na BID Network?
  ngoja nifanyie mchakato proposal yangu,

  Ila nawashauri wana janvi wenzangu na wabongo wengine, tujaribu kutuma idea zilizo end shule, hapa wanataka sound business aidea,

  So tujaribu business aidea ambazo ni very creative, mfano

  1. Kwenye mambo ya processing and packeging

  2. Culture tourism

  3. IT

  4. Mining

  5. Ufugaji wa kuku, ng'ombe, mbuzi, na kazalika

  Na katika hizi tujaribu kufanya hadi finishing kwamba utafuga kuku na utafanya proccessing na utapaki mwenyewe

  Hapa huwa hawapendi biashara za uchuuzi
   
 10. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mikopo yote huko utapata. Ni wewe tu
   
 11. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Inatofauti kubwa sana na BiDNetwork, kule hata mimi ni member. Mkuu hii ni njia mpya inayowaleta Wakopeshaji na Wakopaji Pamoja. Sema huku kwetu imechelewa kufika. Halafu huku si lazima kuwa Mkopaji, hata ukitaka kuwa Mkopeshaji inawezekana pia. Wasome vizuri

  Mimi mara ya kwanza kuwatembelea hawa jamaa nilipata wazo la kuwa na kitu cha aina hii kwa hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba wakati wengine tunalalamikia uhaba wa fedha, kuna watanzania wenzetu wanazo za kutosha na hawajui wafanyie nini zaidi ya kuziweka bank, and they cant support those in need. "It is hard to trust the man on the street begging for money, but it is equally hard to trust the man in a fancy suit promising your money will go to a greater cause than his dinner", as they say in 51give.

  Peer-to-Peer online lending inafanya kazi vizuri sana sema sisi bado ni waoga au tumechelewa kuijua hii model, ila wenzetu imewasaidia/inawasaidia sana. Kwa mfano ukiwatembelea Zopa, RangDe, Microplace, Kiva and 51Give utakubaliana nami. Wadau wanaokuja hapa Business Forum na kusema wanashida ya hela ili wakapull off project zao, huku ndio mahali kwao wanapostahili si kupeleka maombi yao, bali idea zao

  Wadau tuchangamkie hizi fursa zinazoletwa na mitandao
   
 12. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  bosi komando mambo vip? ebwana hyo ishu ya kupeleka idea za mining imekaaje? maana nina site ila hata pa kuanzia spajui.ni pm kama vp?
   
 13. g

  gonsalva mswaga Member

  #13
  Feb 5, 2013
  Joined: Oct 23, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mambo bosi, unatusaidiaje sisi tunaopenda kujua Kwenye mambo ya processing and packeging?
   
 14. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2013
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Duh, aisee hii imekaa vizuri sana mkuu.

  Keep it up chief!
   
 15. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  asante kwa kutushirikisha jambo hili la baraka ngoja niwasome vizuri then nitajiunga nao kwani mm ni mjasiriamali

  mkuu asante sana
   
 16. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2013
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mjasiriamali... this is quite an interesting idea.. nimewaangalia hawa watu wawili wa mfano... mmoja tayari keshalipa mkopo wote... nazidi kupitia website yao pamoja na kuangalia You tube videos zao niwafamu zaidi... ili nisikusumbue kwa maswali...... Ahsante...
   
 17. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2013
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Karibu sana ndugu yangu. Kila la heri
   
Loading...