Myanmar: Vikosi vyafyatua risasi dhidi ya waandamanaji, 38 wauawa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Takriban watu 38 wameuawa baada ya Vikosi vya Ulinzi na Usalama kuwafyatulia risasi Waaandamaji wanaopinga Utawala wa Kijeshi katika Miji kadhaa. Imeelezwa, watu hao walikuwa wanafanya Maandamano ya Amani

Imetajwa kuwa siku mbaya zaidi tangu Jeshi kuchukua madaraka. Umoja wa Mataifa (UN) umesema Polisi na Jeshi wameendelea kutumia nguvu wakijaribu kumaliza maandamano, na watu zaidi ya 50 wamepoteza maisha tangu maandamano hayo yaanze Februari 01

Wananchi wameendelea kuandamana mitaani kila siku kupinga Jeshi. Waandamanaji hao wanataka Jeshi kuachia madaraka na Viongozi wao waliochaguliwa kidemokrasia kuachiwa huru

======

At least 38 people were killed in Myanmar on Wednesday in what the UN described as the "bloodiest day" since the coup took place a month ago.

UN envoy to Myanmar Christine Schraner Burgener said there was shocking footage coming out of the country.

Witnesses said security forces opened fire with rubber and live bullets.

Mass protests and acts of civil disobedience have been seen across Myanmar since the military seized power on 1 February.

Protesters have been calling for an end to military rule and the release of the country's elected government leaders - including Aung San Suu Kyi - who were overthrown and detained in the coup.

The coup and the violent suppression of protests that followed have led to international condemnation, which Myanmar's military has so far ignored.

Reacting to Wednesday's deaths, the UK called for a United Nations Security Council meeting on Friday, while the US said it was considering further action against Myanmar's military.

The latest violence comes a day after Myanmar's neighbours urged the military to exercise restraint.

'They just came out and started to shoot'

Ms Schraner Burgener said at least 50 people had now been killed "and many wounded" since the coup began.

She said one video clip showed police beating an unarmed volunteer medical crew.

Another showed a protester being shot and probably killed on the street, she said.

"I asked some weapons experts and they could verify to me, it's not clear but it seems that the police weapons like 9mm submachine guns, so live ammunition," she said.

Reports from inside Myanmar spoke of security forces opening fire on large crowds in a number of cities, including Yangon, with little warning.

Two boys, aged 14 and 17, were among those who were killed, Save the Children said. A 19-year-old woman was also said to be among the dead.

At least six people were reportedly shot dead during a protest in Monywa in central Myanmar. At least 30 others were wounded in the unrest, a local journalist told Reuters.

A volunteer medic told AFP news agency in Myingyan that at least 10 people had been injured there. "They fired tear gas, rubber bullets and live rounds," they said.

"They didn't spray us with water cannon, [there was] no warning to disperse, they just fired their guns," one protester in the city told Reuters.

In Mandalay, a student protester told the BBC that demonstrators were killed near her house.

"I think around 10am or 10.30, police and soldiers came to that area and then they started to shoot at civilians. They didn't give any warning to the civilians.

"They just came out and they started to shoot. They used rubber bullets but they also used live bullets to kill civilians in a violent way."

The military has not commented on the reported deaths.

Military stands firm despite pressure

As world powers view Myanmar's crisis with growing unease, the country's military said it was ready to withstand sanctions and isolation after its coup, Ms Schraner Burgener has urged the UN to take "very strong measures" against the generals.

The UN envoy warned of such punitive action in a conversation with Myanmar's deputy military chief.

In response, "the answer was: 'We have to learn to walk with only few friends'," Ms Schraner Burgener told reporters in New York.

Nevertheless, more sanctions are being considered by Western countries, including the US.
 
Hawa watu wa huko wanatakiwa kuanza riot sio maandamano ya amani wakati wanaumia,wa target majengo ya serikali,mali makazi ya watu wenye ukaribu na maaskari.

Hapo ndio mambo yataenda na watasikia.
 
Kinachoonekana jeshi limejiingiza rasmi kwenye siasa, jeshi kunamtu lilikuwa linamtarajia ndie awe rais,na huyo aliye tarajiwa na jeshi inaonekana aliwaahidi manono wanajeshi.wakikosa amani ndani ya mwezi mmoja ,hao wanajeshi akili zitawakaa sawa tu, japo wananchi chamoto watakipatapata.
 
kinachoonekana jeshi limejiingiza rasmi kwenye siasa, jeshi kunamtu lilikuwa linamtarajia ndie awe rais,na huyo aliye tarajiwa na jeshi inaonekana aliwaahidi manono wanajeshi.wakikosa amani ndani ya mwezi mmoja ,hao wanajeshi akili zitawakaa sawa tu,japo wananchi chamoto watakipatapata.
Kuna haja gani ya kuwa na wanajeshi wapuuzi kama hao,hapo ni watu watumie riots na kuchoma majengo yote ya serikali na kuweka vizuizi wao wako wengi wakikomaa hao mbwa watageukana afu yule minara aliyetoa amri ya kupindua atasepa au akanyee debe.

Yaani waanze kuwatarget chama cha jeshi na watu wao Ili iwe vita rasmi ya kuviziana kitaa sio kuwachekea au kuandamana kwa amani.
 
Back
Top Bottom