Myahudi alivyowachezea akili jana Hamas jana kwa kuwadanganya anaingia Gaza

Haha hizo ndoto sa ivi Israel wanamtumia yule kibaraka wao Abbas ajidai kuomba vita isimamishwe wakati hana hata uwezo wa kusogea Gaza.

Israel hawezi vita wewe na ukitaka kuamini leta picture moja inayo onyesha kuna silaha kwenye yale majumba anayo ya vunja.

Hamasi anasema siku zote Israel kafilisika hana uwezo wakivita isipokuwa wa kuvunja majumba na kuwauwa raia wasio na hatia.

Israel hana uwezo kivita na bado anawatawala?!
 
Hivi hawa mayahudi kwa nini wasipigane na wakubwa wenzao wao wanakomaa na hivyo vitoto
 
Mkuu,hivi unajisikiaje unaposherehekea kifo cha mwanadamu mwenzako,Ngoja nikwambie kitu.Kama Israel ni Taifa teule na Palestine ni Taifa Laanifu basi wewe Utakufa kabla ya Mwisho wa Mwezi huu.Ila Iwapo Wote ni viumbe wa Mungu ambao wanastahili kuishi kwa kuheshimiana na kuvumiliana basi Utaendelea kuwa Hai Mpaka SIku Israel na Palestine watakapoacha Kupigana bila kuwa na sababu za Msingi zaidi ya Ushamba na Ujinga usiokuwa na Mantiki.
Mkuu mbona umeongea kwa uchungu sana vipi uko poa?.
 
Israel hana uwezo kivita na bado anawatawala?!
Tatizo walitawala wakati vijana walikuwa natumia mawe tuliza ball uone kama watabaki kutawala miaka inayo kuja.

Zamani walikuwa wanadanganya watu eti taifa lao haipiti hata sindano sa misumiri inapita imebaki kipite kisu tu kiwamalize.
 
Kitu cha kwanza kumbuka kwamba jeshi la Hamas lina watu wasomi si mbumbumbu kivile,wengi wana elimu ya vyuo vikuu na wengi ni wana sayansi.

Msisisikilize sana propaganda za dailymail hilo ni gazeti la Uingereza ambalo ni tabloid sio broadsheet lengo lao ni kuiipigia debe Israel no matter what? Kumbukeni kwamba wanamgambo wa Hamas wana kikundi mahili cha kijasusi,umesikia hata jeshi la Israel likikili ukweli huo, ndio maana ndege za kivita za Israel zimekazania kuporomosha majengo marefu huko Gaza na kwingine ambapo jeshi la Israel linakidai majengo hayo marefu yanatumiwa na majasusi wa Hamas kukusanya habari za kijasusi kuhusu mwenendo mzima wa jeshi ka Israel, nyinyi badala ya kutafakari mambo kiundani mnakimbilia kunukuu habari za kusema eti baada ya Hamas kuona msafara wa matela yaliyo beba vifaru vya Israel Hamas walikimbilia kwenye mahandaki wakiwa na lengo la kushambulia/teketeza vifaru vya Wayahudi - kitu cha kwanza Hamas si wajinga kiasi hicho, wana information zote at their finger tips kuhusu nini kimepangwa kufanywa na jeshi la Israel, kumbuka si wanajeshi wote wa Israel wana support uwenda wazimu wa Natenyahu na baadhi ya genge lake la wabunge wenye itikadi kali za ubaguzi wa rangi ndani ya Bunge la Israel, hao ndio ni chanzo cha vurugu zote zinazo endelea nchini Israel.

Now back to the main point, contrary na taarifa potofu za jeshi la Israel, ukweli wa mambo hakuna kundi la Hamas lililo kimbilia kwenye tunnels ndio maana licha ya ndege za Israel kudondosha matani na matani ya mabom kwa kile walicho dai ni tunnels za Hamas chini ya aridhi, usiku huo huo jeshi la Israel wakidai wame wateketeza wanamgambo wote wa kundi la Hamas ndani ya tunnel - sasa nini kilitokea kesho yake? Hamas harakati zao za Urushaji wa roketi kwenda kushambulia miji ya Israel zikavurumishwa kwa wingi zaidi, yaani ni as if Hamas wamefufuka kutoka kwenye wafu kwenye mahandaki yaliyo fukiwa/haribiwa na ndege za za Israel na kwenda kuvurumisha maroketi kwenda kusjambulia miji ya Israel kesho yake!! What does that tell you? Ni wazi Hamas are light years ahead of Israel military, war tactics wize that is - na Israel ikiendekeza ubabe wake itakuja kudhalilishwa huko mbeleni.

Unataka kulinganisha kitengo cha intelijensia cha Hamas na Mossad?

Kwa sasa hatusikii rocket zinarushwa kwenda Israel ila tunasikia majengo gaza yanalipuliwa nini kimetokea? Ile force ya juzi waliyokua nayo ya kurusha rocket non stop imeishia wapi?

Kwenye vita hivi kila mtu ana mtazamo wake ila IDF ni moja ya jeshi lililofanikiwa zaidi kwenye operations zake kwa kushirikiana na na vyombo vyake vya ujasusi usije ukalichukulia poa ndio maana Israel iko hapo miaka na miaka na vita karibu zote na hayo makundi wanashinda.

Inawezekana Hamas wakawa na intelijensia itakayowasaidia kupata info za mwenendo wa jeshi la Israel ila Mossad wana taarifa za uhakika zaidi juu ya kikundi cha Hamas ndio maana baadhi ya viongozi wa hamas wamekua targeted this week na wameondolewa.
IMG_20210516_141826_422.jpg
 
Ukiristo ulipamba moto sana ulaya enzi hizo. Watu walikuwa tayari kufa kwa ajili ya Yesu. King Richard 1 the lion heart na akina king George lilipokuja swala la Ukiristo hawakuwa na mchezo nayo.

Walisafiri na farasi na kwa miguu mwendo mrefu. Waliikwepa sana Antioch Turkey kwasababu ya Byzantium empire. Wakazunguka Juu Bohemia ambayo ni modern Czech Slovakia na Ukraine Bulgaria kuizunguka black hadi Georgia.

King George alipapenda sana Georgia alipozaliwa Joseph Stalin ndo maana hilo taifa linaitwa Georgia baada yake na bendera ya Georgia inashabiana na ya England ambayo ni nyeupe na red cross (st George cross).

Pitia Iran na kushuka had Jerusalem.

Pia kuna Charles the Great wa Ufaransa (charlanagne) naye alipambana sana na Saladin yeye aliwabadilisha sana watu kwa nguvu kuwa wakristo na kuwabatiza kwa lazima
😂😂😂
 
Kitu cha kwanza kumbuka kwamba jeshi la Hamas lina watu wasomi si mbumbumbu kivile,wengi wana elimu ya vyuo vikuu na wengi ni wana sayansi.

Msisisikilize sana propaganda za dailymail hilo ni gazeti la Uingereza ambalo ni tabloid sio broadsheet lengo lao ni kuiipigia debe Israel no matter what? Kumbukeni kwamba wanamgambo wa Hamas wana kikundi mahili cha kijasusi,umesikia hata jeshi la Israel likikili ukweli huo, ndio maana ndege za kivita za Israel zimekazania kuporomosha majengo marefu huko Gaza na kwingine ambapo jeshi la Israel linakidai majengo hayo marefu yanatumiwa na majasusi wa Hamas kukusanya habari za kijasusi kuhusu mwenendo mzima wa jeshi ka Israel, nyinyi badala ya kutafakari mambo kiundani mnakimbilia kunukuu habari za kusema eti baada ya Hamas kuona msafara wa matela yaliyo beba vifaru vya Israel Hamas walikimbilia kwenye mahandaki wakiwa na lengo la kushambulia/teketeza vifaru vya Wayahudi - kitu cha kwanza Hamas si wajinga kiasi hicho, wana information zote at their finger tips kuhusu nini kimepangwa kufanywa na jeshi la Israel, kumbuka si wanajeshi wote wa Israel wana support uwenda wazimu wa Natenyahu na baadhi ya genge lake la wabunge wenye itikadi kali za ubaguzi wa rangi ndani ya Bunge la Israel, hao ndio ni chanzo cha vurugu zote zinazo endelea nchini Israel.

Now back to the main point, contrary na taarifa potofu za jeshi la Israel, ukweli wa mambo hakuna kundi la Hamas lililo kimbilia kwenye tunnels ndio maana licha ya ndege za Israel kudondosha matani na matani ya mabom kwa kile walicho dai ni tunnels za Hamas chini ya aridhi, usiku huo huo jeshi la Israel wakidai wame wateketeza wanamgambo wote wa kundi la Hamas ndani ya tunnel - sasa nini kilitokea kesho yake? Hamas harakati zao za Urushaji wa roketi kwenda kushambulia miji ya Israel zikavurumishwa kwa wingi zaidi, yaani ni as if Hamas wamefufuka kutoka kwenye wafu kwenye mahandaki yaliyo fukiwa/haribiwa na ndege za za Israel na kwenda kuvurumisha maroketi kwenda kusjambulia miji ya Israel kesho yake!! What does that tell you? Ni wazi Hamas are light years ahead of Israel military, war tactics wize that is - na Israel ikiendekeza ubabe wake itakuja kudhalilishwa huko mbeleni.

Unaelezea utadhani uko frontline huko Gaza,unaposema Hamas wanapata Info kupitia baadhi ya Wanajeshi wa IDF nimeishia kucheka tu.Mkuu usitufanye watoto hapa kutudanganya,walau sote tuna access ya infomations kama wewe tu na sote tunazipata mitandaoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom