Myahudi adai Musa amewahi kufika Makka na Madina

Hii inafikirisha zaidi kwa sababu kama Hajira ni mmisri, na Misri ni Africa kuna uwezekano alikuwa ni black. Kwa hiyo kina Ishmael huenda walikuwa watu weusi
Hii sio kweli ni nadharia tu tena wanaoi-propagate mara nyingi ni waislam, bila shaka wewe ni moja wao.
 
Hivi Musa hajawahi kufika huku Hungumalwa Kwimba?
Hebu chimbueni chimbueni inawezekana kuna ndugu zake wanyantuzu na wanyang'hweri huku sukumaland....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom