My Visit at Rev Masanilo's guantanamo bay detention camp

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Nilimkuta akiwa kwenye maximum security huku akimwandaa Paul the Octopus kama inavyojionyesha pichani. Wafungwa wenzake walidai anakunywa sana supu ya huyo mnyama na amegoma kula aina nyingine ya chakula


mail
 
Vipi huko Guantanamo mchizi anaweza kutumia mtandao wa robo shilingi kama ilivyo kawaida yake? Maana huko line ni moja tu ukipiga na wewe lazima wakupigie full stop.
 
Kwa wale ambao hamuioni nime attach picha

 

Attachments

  • Pweza.JPG
    Pweza.JPG
    33 KB · Views: 132
Nasikia huyu mdudu ukiizoea kunywa supu yake inaleta heshima nyumbani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom