Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,379
- Thread starter
- #301
Yeah alhamdulillah.ulikula shawarma mkuu uturuki ni half Europe
Kaupitie uzi wa My Corona relief trip unaohusu safari ya Turkey
Yeah alhamdulillah.ulikula shawarma mkuu uturuki ni half Europe
Besiktas JK MuzesiUchumi wa kati hautakiwi kuwa tatizo.
By the way, hii safari sikupata kwenda tena sababu ya COVID 19 restrictions in Jordan. Instead I had to go to Turkey .
Sijambo hofu kwako! Habara za siku?Weweeeeee.
Hujambo kwanza???
nzuri tu bestSijambo hofu kwako! Habara za siku?
Nafurahi kusikia hivyo Bestnzuri tu best
Hii trip iliingiliwa na changamoto. Imebidi iahirike kwa muda. Haijafutika bado na panapo uzima itafanyika tu in shaa AllahNice