My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

Ushaur usije rudia kupiga kavu demu anayejiuza na hata hawa wa mtaan wenye njaa kali ,jizoeze kutumia condom .
Hata mm mwanzon nilikuwa sipend kutumia condom ila niliponea chup chup kwa manz fulan kupata ngoma ya wazwaz ,kilichoniokoa na dompo .

Demu alikuwa mbichi kabisa yaan hawa hawa plate no D mwanzon nikawa namla na kondom nilimla kama mara sita na kondom ,sasa ilifika chrismas akaja kwangu kunipikia nikajiapiza leo situmii condom lazima nimle peku peku maana yule bint alikuwa na kishuzu cha haja kifuan usiseme nikajipa matumain kuwa lazima nimle kavu.

Pia kumbuka alikuwa hajatumika kiivo yaan mtoto alikuwa mbichi na ubichi wake ,sasa alipofika geto akaanza kupika ,mimi nikatoka nikaenda super market nikavuta dompo na juice yake nikarud mageton ,akapika tukala ,nikaenda kuoga nikarud kwa ajil ya kaz moja tu kupiga mashine maana nilimpania vibaya mno .
Nilivyotoka kuoga nae akaenda kuoaga basi mm nikaanza kunywa dompo langu ,huku na huku nikafakamia dompo lengo nimpige mashine sana ,sasa nikamwita kitamdan akaja nikatulia story za hapa na pale usingiz ukanibana na kuzinzia jumla kuja kushtuka saa nne usiku na demu kasepa .

Kumbe kaniamsha sana lakin nikawa nimezidiwa ,nililaum sana ile siku nikampigia kwa hasira ndo kunipa maelezo kuwa kaniamsha sana lakin sijaaamka.
Ngoja nikate tu story maana ni ndefu sana ila kumbe yule binti alikuwa amezaliwa na ngoma nilikuja jua baada ya siku kama mbil mbele baada chrismas ,aiseee ikabid nimuite yule bint moja kwa moja zahanat ,akawa ana hof kwann tunaenda zahanat nikamwambia we twende tu kupima ngoma ikaja nzima nzima bila chenga aiseee .

Ilikuwa 2017 hiyo saiz huyo bint amezalishwa na wadau na kaisha balaa yaan ngoma ndio imeonekana waz baada ya kuzaa ,ila tokea hapo sili demu bila condom imefika muda saiz naona kawaida tu kutumia condom .
Alaf hivyo vipimo usiviamin sana labda vile vya pembe tatu ndio vinaweza kuonyesha ngoma hata kama mtu ameopata asubuh na hivyo vipimo havipatikan hovyo maana vinatumika kwa watu ambao ni complicated kwenye majibu ya vipimo vyao.
Amen.

#YNWA
 
Yap A.K.A no string attached.

#YNWA
✋ Mbona uli hack simu yake sasa kama haukuwa ume catch feelings?

Au mimi ndo sielewi maana ya no string attached? Hebu elezea hapa bro.

N.b
Unakosea kumuita mzazi mwenzako malaya na wakati wote ninyi ni malaya na mlikuwa mnafanya biashara sasa umezidiwa kete.
 
Ukisoma vizuri tulikula wa3 siku mbili mfululizo night (1) - day (2 - Me) - night (3).

Huo ndio mwezi mimba iliingia.

Kwanini shahawa yangu ndio i-ferilize na sio wale wengine?

#YNWA
nimecheka kama mwehu, ila na wewe ulijua kabisa mnashirikiana hadi siku moja watu watatu ukabaki tu hapo,,,mimi ningekuwa mwanaume siwezi aiseee


hahahhahahah
 
Nilisoma Science O'Level nikaenda PCB advance na Chuo Nilisoma Clinical officer mwaka mmoja then nikaona Chuoni sielewi (moyo unaongea huku sio kwako) nikaamua kusepa kwenda kusoma biashara. ( Si unajua familia zetu za kitanzania, baba na mama ndio wanakipangia cha kusoma bila kusikiliza moyo wako), THE REST IS HISTORY.

Then elimu ya afya (ile base) nadhani ninayo nzuri tu.

Sijakwambia situmii Condom nimekwambia napenda kavu, ili tupige kavu lazima tupime kwanza.

Na sio mara MOJA tu, Ni kwamba leo tunapima tunapiga kavu, wiki ijayo tunapima na kupiga kavu.
Sijawahi kumwamini mtu mimi eti kisa mpole, sijui mzuri. AFYA YANGU KWANZA.

Yaani nikikutana na demu leo tukapima na kupiga kavu sio tiketi ya kupiga kavu wiki ijayo, wiki ijayo tutapima Tena.

Kila wiki tutapima.

Na DUNIA ya sasa ilivyo ya wanapenzi wa kugawa hivi mautamu ya chupi, hata kama nimekupendaje sijui tuna mahusiano gani ila LAZIMA NIPIME NA WEWE FREQUENTLY, maana ambacho kimenishinda kwenye hii dunia ni kumwamini mwanamke eti kisa NAMPENDA.

Mimi kumwamini mwanamke then kuingia nae kitandani bila kupima kisa ni mchumba angu is a BIG NO.

Kama vipimo vikiisha basii CONDOM INAHUSIKA, hata kama sijui ni wapenzi wa muda mrefu ""Mi najua jana ulilala na nani, na kwanini nikuamini hukulala na mtu?""

Kauli mbiu yangu:-
Jipende kwanza wewe ACHANA NA KUJIFANYA UNAFIA MAPENZI NA KUMWAMINI MTU ETI KISA UMEMPENDA.

#YNWA
hivi huo muda wa kupima kila week mnaupata wapi? tulia na mutu mumoja

nafurahia tu msg zako lakini
hahahahhaha
 
Yaani Kati ya wotee waliopiga wakikutana njiani

Yaani Kati ya wotee waliopiga wakikutana Whatsapp, FB, BADOO ila mimi ndio jumba bovu limeniangukia..

Dah kweli DUNIA haina haki.....

#YNWA
unanipa raha sana na majibu yako, jiamini bhana hivyo hivyo,,,angetakiwa awe na wewe tuuuu na asibishane na wewe coz wewe ni wa kiume

teh teh mtamuelewa tu Liverpool soon
 
Mwanamke akikupenda Ana uwezo wa kukupa mtoto asiye wako,,na mwanamke akikuchukia Ana uwezo wa kukunyima mtoto wako kabisaaa..Hilo lazima kila mwanaume aelewe
 
✋ Mbona uli hack simu yake sasa kama haukuwa ume catch feelings?

Au mimi ndo sielewi maana ya no string attached? Hebu elezea hapa bro.

N.b
Unakosea kumuita mzazi mwenzako malaya na wakati wote ninyi ni malaya na mlikuwa mnafanya biashara sasa umezidiwa kete.
Nikiwa nataka kukuacha huwa nakutafutia sababu.

Tulikutana day one tukafanya biashara.
Ila mwenzangu ali fall then kwakuwa alianza nipa Bure then nikaona nigande.

Sasa nikamchoka, nikaona ni hack simu ili nitafute cha kuondokea..!!

Na kweli nilipata cha kuondokea japo aling'ang'ania ana mimba yangu ila mi NABISHA.

#YNWA
 
2018 Siku moja nilikua bored home, nikajiunga BADOO nikakutana nae.

Tukawa friends then Fuc* mates.

Maisha yakasonga, nilichompenda yeye alikua hapendi hela na ni mrembo kweliii.

Kwenye hela na matumizi yake yaani unajiongeza wewe, unapiga show siku kadhaa unalipia siku kadhaa na outing na vitu vyengine.

Akasema ananipenda ndio maana hawezi kuniomba hela "ila niki hack simu yake nakutana na wanaume kibaoo wanalilia punguzo la papuchi BADOO, WHATSAPP, FB MESSANGER na SMS ZA KAWAIDA"" na the worst thing Wengine WANAMLA.

Alivyokua analalamika ananipenda niliona kama ananichora tuu.

2020 mara kapata mimba, anasema mimba yangu.

Tukapiga hesabu (mtoto kazaliwa December/2020) ina maana mimba iliingia March/2020.

Ila mwezi huo March/2020, kuna siku alikuja ghetto asubuhi amechoka kumbe katoka kugawa usiku kucha, kaja kwangu kalala/kapumzika mpaka jioni na tukapiga show, usiku huo akaenda kulala na mwengine, alinidanganya hawezi kulala kwangu kwakua mama ake anaumwa (nilijua yotee baada ya ku hack siku yake - nilikua napenda sanaa ku hack simu yake, then was my fuc* mate no string attached..!!!)

Tuna desturi kila wiki kupima ukimwi (Nina vipimo ghetto napewaga na Mshkaji wangu Dk wa zahanati fulani hivi - sipendi Condom kwahiyo kila nikitaka kupiga mzigo lazima nipime ili niende peku, hii ni staili yangu kwa mademu woteee).

Nimeitwa kwao, kumbe ndugu zake wananijua (Mama + Dada zake wawili).
Ila sidhani kama wanajua kuwa ndugu yao anajiuza.

Nikaenda kuwasikiliza kipindi cha X-Mass Dec/2020.
Niliwasikiliza tuu nikaacha yotee hapohapo.
Sikutaka kuwahadithia alivyo ndugu yao maana sina mpango nae na huyo mtoto sio wangu.

Wanataka niende nikamkomboe mtoto, mdada kakomaa mtoto ni wangu ila SI WANGU MAANA TUMEPIGA WENGII MNOO.

BABA WA MTOTO NI MWANAUME YEYOTEE HII TANZANIA, Maana list la wanaume waliomla ni wengi sanaa na mimi nilikua namfanya Fuc* mate.

Sijui yeye kama alinipenda, ila "utampendaje mtu huku unagawa Mashine kwa wengine?"""

Nikiongea nae anasema..

1. Ananipenda kweli, na ndio maana hata kipindi tulivyokutana nilimpa hela siku ya kwanza tu ya biashara then ikawa buree siku zilizofata.

Anasema alinipenda tokea siku ya kwanza kuniona.

Siku ya kwanza kuonana, baada ya kuchat na kukubaliana bei tulikutaniana Zahanati tukapima UKIMWI (-ve) (ilikua asubuhi), na usiku akaja ghetto kulala mpaka asubuhi nikampa hela zake na kusepa.

2. Nikimkumbusha kuhusu wanaume waliomla anasema, ule ulikuwa utoto na sasa amekua then yupo tayari kuwa na mimi tu na kuwa mke wangu. Anasahau kuwa shetani ni shetani, yaani Nikuoe ukiwa mgawaji nikiamini UTABADILIKA..!!

3. Anasema mimba ilimtesa na kupoteza Kazi, anaomba kuja kwangu akae amlee mtoto kwakuwa mimi nina Kazi nimsaidie kulea, Yaani nilee mtoto wa mwanaume nisiye mjua.

Kwamba aje na mwanae then tuishi wote na mwanangu na familia ianze na watoto wawili.

4. Ndugu zake wananikomalia na kutangaza kuwa mimi sio mwanaume (nimetupa mtoto), nataka siku niwachane kuhusu umalaya wa mtoto wao ili waache kutangaza ujinga.

Mimi sina hiyana na kulea mtoto....

Mpaka sasa nina mtoto mmoja nalea.
Anasoma boarding darasa la kwanza.
Hivyo umefika wakati wa kutafuta mtoto wa pili.
Likizo tunakua wotee na huwa sitaki mwanamke yoyote atusogelee (maswala ya aunt sitaki nikiwa na mwanangu)..

NAMUHESHIMU SANAA MWANANGU na ndio MY BEST FRIEND.

Na nahitaji watoto wa nne, maana sina mpango wa kuoa kabisa, ila wa huyu siwezi kumkubali.
Awe tu single maza.

Mtoto wake ni wa mwanaume yeyote duniani huko.

Juzi kaniomba aniandike jina langu kwenye Cheti cha kuzaliwa cha mwanae (baba), nilichomwambia aende kwa baba ake ila sio mimi...

Huu ndio ukweli na NIMEAMUA KUTOONGEA YOTE ILI KULINDA HESHIMA YAKE.

Nina mengi moja lililonishangaza, nilikuta sms diwani anambembeleza akamle TIGO ili ampe pesa kubwaa akawa anakataa kwa machejo...
Kumuuliza "Unaliwa mpaka Tigo?"" Alinijibu ""Sio bana, huwa wananitongoza tu ila siwakubali""

Anataka nimuoe na kuahidi eti amebadilika, mmmh SIWEZI KABISAA na MTOTO SIO WANGU.

Dear Single Maza V Kama upo humu, Ni kweli nahitaji mtoto mpya ila HUYO MTOTO SIO WANGU...

Mpelekee baba ake and I bet is Mr. K, yule mliyekutana Club mkawa mnakulana. Hata kama ni mume wa mtu ila mwambie tu Una mtoto wake ila SIO WANGU.

#YNWA
Kama una ushahidi wote basi kaa pembeni hivyo hivyo ila kama unathamini watoto basi mchukue mlee

Ushauri tu

TEKERI

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom