My True Love Story: Dear Single Mother huyo mtoto siyo wangu

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
1,518
2,000
Ushaur usije rudia kupiga kavu demu anayejiuza na hata hawa wa mtaan wenye njaa kali ,jizoeze kutumia condom .
Hata mm mwanzon nilikuwa sipend kutumia condom ila niliponea chup chup kwa manz fulan kupata ngoma ya wazwaz ,kilichoniokoa na dompo .

Demu alikuwa mbichi kabisa yaan hawa hawa plate no D mwanzon nikawa namla na kondom nilimla kama mara sita na kondom ,sasa ilifika chrismas akaja kwangu kunipikia nikajiapiza leo situmii condom lazima nimle peku peku maana yule bint alikuwa na kishuzu cha haja kifuan usiseme nikajipa matumain kuwa lazima nimle kavu.

Pia kumbuka alikuwa hajatumika kiivo yaan mtoto alikuwa mbichi na ubichi wake ,sasa alipofika geto akaanza kupika ,mimi nikatoka nikaenda super market nikavuta dompo na juice yake nikarud mageton ,akapika tukala ,nikaenda kuoga nikarud kwa ajil ya kaz moja tu kupiga mashine maana nilimpania vibaya mno .
Nilivyotoka kuoga nae akaenda kuoaga basi mm nikaanza kunywa dompo langu ,huku na huku nikafakamia dompo lengo nimpige mashine sana ,sasa nikamwita kitamdan akaja nikatulia story za hapa na pale usingiz ukanibana na kuzinzia jumla kuja kushtuka saa nne usiku na demu kasepa .

Kumbe kaniamsha sana lakin nikawa nimezidiwa ,nililaum sana ile siku nikampigia kwa hasira ndo kunipa maelezo kuwa kaniamsha sana lakin sijaaamka.
Ngoja nikate tu story maana ni ndefu sana ila kumbe yule binti alikuwa amezaliwa na ngoma nilikuja jua baada ya siku kama mbil mbele baada chrismas ,aiseee ikabid nimuite yule bint moja kwa moja zahanat ,akawa ana hof kwann tunaenda zahanat nikamwambia we twende tu kupima ngoma ikaja nzima nzima bila chenga aiseee .

Ilikuwa 2017 hiyo saiz huyo bint amezalishwa na wadau na kaisha balaa yaan ngoma ndio imeonekana waz baada ya kuzaa ,ila tokea hapo sili demu bila condom imefika muda saiz naona kawaida tu kutumia condom .
Alaf hivyo vipimo usiviamin sana labda vile vya pembe tatu ndio vinaweza kuonyesha ngoma hata kama mtu ameopata asubuh na hivyo vipimo havipatikan hovyo maana vinatumika kwa watu ambao ni complicated kwenye majibu ya vipimo vyao.
Amen.

#YNWA
 

grand millenial

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
1,973
2,000
Yap A.K.A no string attached.

#YNWA
✋ Mbona uli hack simu yake sasa kama haukuwa ume catch feelings?

Au mimi ndo sielewi maana ya no string attached? Hebu elezea hapa bro.

N.b
Unakosea kumuita mzazi mwenzako malaya na wakati wote ninyi ni malaya na mlikuwa mnafanya biashara sasa umezidiwa kete.
 

jje's

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
10,345
2,000
Ukisoma vizuri tulikula wa3 siku mbili mfululizo night (1) - day (2 - Me) - night (3).

Huo ndio mwezi mimba iliingia.

Kwanini shahawa yangu ndio i-ferilize na sio wale wengine?

#YNWA
nimecheka kama mwehu, ila na wewe ulijua kabisa mnashirikiana hadi siku moja watu watatu ukabaki tu hapo,,,mimi ningekuwa mwanaume siwezi aiseee


hahahhahahah
 

jje's

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
10,345
2,000
Nilisoma Science O'Level nikaenda PCB advance na Chuo Nilisoma Clinical officer mwaka mmoja then nikaona Chuoni sielewi (moyo unaongea huku sio kwako) nikaamua kusepa kwenda kusoma biashara. ( Si unajua familia zetu za kitanzania, baba na mama ndio wanakipangia cha kusoma bila kusikiliza moyo wako), THE REST IS HISTORY.

Then elimu ya afya (ile base) nadhani ninayo nzuri tu.

Sijakwambia situmii Condom nimekwambia napenda kavu, ili tupige kavu lazima tupime kwanza.

Na sio mara MOJA tu, Ni kwamba leo tunapima tunapiga kavu, wiki ijayo tunapima na kupiga kavu.
Sijawahi kumwamini mtu mimi eti kisa mpole, sijui mzuri. AFYA YANGU KWANZA.

Yaani nikikutana na demu leo tukapima na kupiga kavu sio tiketi ya kupiga kavu wiki ijayo, wiki ijayo tutapima Tena.

Kila wiki tutapima.

Na DUNIA ya sasa ilivyo ya wanapenzi wa kugawa hivi mautamu ya chupi, hata kama nimekupendaje sijui tuna mahusiano gani ila LAZIMA NIPIME NA WEWE FREQUENTLY, maana ambacho kimenishinda kwenye hii dunia ni kumwamini mwanamke eti kisa NAMPENDA.

Mimi kumwamini mwanamke then kuingia nae kitandani bila kupima kisa ni mchumba angu is a BIG NO.

Kama vipimo vikiisha basii CONDOM INAHUSIKA, hata kama sijui ni wapenzi wa muda mrefu ""Mi najua jana ulilala na nani, na kwanini nikuamini hukulala na mtu?""

Kauli mbiu yangu:-
Jipende kwanza wewe ACHANA NA KUJIFANYA UNAFIA MAPENZI NA KUMWAMINI MTU ETI KISA UMEMPENDA.

#YNWA
hivi huo muda wa kupima kila week mnaupata wapi? tulia na mutu mumoja

nafurahia tu msg zako lakini
hahahahhaha
 

jje's

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
10,345
2,000
Yaani Kati ya wotee waliopiga wakikutana njiani

Yaani Kati ya wotee waliopiga wakikutana Whatsapp, FB, BADOO ila mimi ndio jumba bovu limeniangukia..

Dah kweli DUNIA haina haki.....

#YNWA
unanipa raha sana na majibu yako, jiamini bhana hivyo hivyo,,,angetakiwa awe na wewe tuuuu na asibishane na wewe coz wewe ni wa kiume

teh teh mtamuelewa tu Liverpool soon
 

Pununkila

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
278
1,000
Mwanamke akikupenda Ana uwezo wa kukupa mtoto asiye wako,,na mwanamke akikuchukia Ana uwezo wa kukunyima mtoto wako kabisaaa..Hilo lazima kila mwanaume aelewe
 

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
1,518
2,000
✋ Mbona uli hack simu yake sasa kama haukuwa ume catch feelings?

Au mimi ndo sielewi maana ya no string attached? Hebu elezea hapa bro.

N.b
Unakosea kumuita mzazi mwenzako malaya na wakati wote ninyi ni malaya na mlikuwa mnafanya biashara sasa umezidiwa kete.
Nikiwa nataka kukuacha huwa nakutafutia sababu.

Tulikutana day one tukafanya biashara.
Ila mwenzangu ali fall then kwakuwa alianza nipa Bure then nikaona nigande.

Sasa nikamchoka, nikaona ni hack simu ili nitafute cha kuondokea..!!

Na kweli nilipata cha kuondokea japo aling'ang'ania ana mimba yangu ila mi NABISHA.

#YNWA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom