My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

Nilisoma Science O'Level nikaenda PCB advance na Chuo Nilisoma Clinical officer mwaka mmoja then nikaona Chuoni sielewi (moyo unaongea huku sio kwako) nikaamua kusepa kwenda kusoma biashara. ( Si unajua familia zetu za kitanzania, baba na mama ndio wanakipangia cha kusoma bila kusikiliza moyo wako), THE REST IS HISTORY.

Then elimu ya afya (ile base) nadhani ninayo nzuri tu.

Sijakwambia situmii Condom nimekwambia napenda kavu, ili tupige kavu lazima tupime kwanza.

Na sio mara MOJA tu, Ni kwamba leo tunapima tunapiga kavu, wiki ijayo tunapima na kupiga kavu.
Sijawahi kumwamini mtu mimi eti kisa mpole, sijui mzuri. AFYA YANGU KWANZA.

Yaani nikikutana na demu leo tukapima na kupiga kavu sio tiketi ya kupiga kavu wiki ijayo, wiki ijayo tutapima Tena.

Kila wiki tutapima.

Na DUNIA ya sasa ilivyo ya wanapenzi wa kugawa hivi mautamu ya chupi, hata kama nimekupendaje sijui tuna mahusiano gani ila LAZIMA NIPIME NA WEWE FREQUENTLY, maana ambacho kimenishinda kwenye hii dunia ni kumwamini mwanamke eti kisa NAMPENDA.

Mimi kumwamini mwanamke then kuingia nae kitandani bila kupima kisa ni mchumba angu is a BIG NO.

Kama vipimo vikiisha basii CONDOM INAHUSIKA, hata kama sijui ni wapenzi wa muda mrefu ""Mi najua jana ulilala na nani, na kwanini nikuamini hukulala na mtu?""

Kauli mbiu yangu:-
Jipende kwanza wewe ACHANA NA KUJIFANYA UNAFIA MAPENZI NA KUMWAMINI MTU ETI KISA UMEMPENDA.

#YNWA

Hongera sana kwa kuwa na kipimo cha hepatitis b na c pia nyumbani..mpaka unakula mademu wa badoo kavu kavu
 
Mzee wa Liverpool chukua katoto hako ulee kanaweza kakawa steven gerrard n you will never walk alone
 
Unataka Watoto lakini huna mpango wa kuoa, huoni kwamba hicho ndicho chanjo cha Single Mother?
Ananizalia mtoto akifika miaka mi 4 ananiachia halafu anaendelea na maisha yake

Anakuaje single maza na mtoto anakua kwangu?

#YNWA
 
Nilisoma Science O'Level nikaenda PCB advance na Chuo Nilisoma Clinical officer mwaka mmoja then nikaona Chuoni sielewi (moyo unaongea huku sio kwako) nikaamua kusepa kwenda kusoma biashara. ( Si unajua familia zetu za kitanzania, baba na mama ndio wanakipangia cha kusoma bila kusikiliza moyo wako), THE REST IS HISTORY.

Then elimu ya afya (ile base) nadhani ninayo nzuri tu.

Sijakwambia situmii Condom nimekwambia napenda kavu, ili tupige kavu lazima tupime kwanza.

Na sio mara MOJA tu, Ni kwamba leo tunapima tunapiga kavu, wiki ijayo tunapima na kupiga kavu.
Sijawahi kumwamini mtu mimi eti kisa mpole, sijui mzuri. AFYA YANGU KWANZA.

Yaani nikikutana na demu leo tukapima na kupiga kavu sio tiketi ya kupiga kavu wiki ijayo, wiki ijayo tutapima Tena.

Kila wiki tutapima.

Na DUNIA ya sasa ilivyo ya wanapenzi wa kugawa hivi mautamu ya chupi, hata kama nimekupendaje sijui tuna mahusiano gani ila LAZIMA NIPIME NA WEWE FREQUENTLY, maana ambacho kimenishinda kwenye hii dunia ni kumwamini mwanamke eti kisa NAMPENDA.

Mimi kumwamini mwanamke then kuingia nae kitandani bila kupima kisa ni mchumba angu is a BIG NO.

Kama vipimo vikiisha basii CONDOM INAHUSIKA, hata kama sijui ni wapenzi wa muda mrefu ""Mi najua jana ulilala na nani, na kwanini nikuamini hukulala na mtu?""

Kauli mbiu yangu:-
Jipende kwanza wewe ACHANA NA KUJIFANYA UNAFIA MAPENZI NA KUMWAMINI MTU ETI KISA UMEMPENDA.

#YNWA
Pamoja na gazeti lako lote hilo.
Wewe hujipendi na hujali afya yako.
 
Pamoja na gazeti lako lote hilo.
Wewe hujipendi na hujali afya yako.
Kwamba kuwa na mwanamke mmoja ndio kujipenda?
Huyo huyo mmoja unamwamini na kukiona unajuaaa NDIO ANAEKUUA.

#YNWA
 
2018 Siku moja nilikua bored home, nikajiunga BADOO nikakutana nae.

Tukawa friends then Fuc* mates.

Maisha yakasonga, nilichompenda yeye alikua hapendi hela na ni mrembo kweliii.

Kwenye hela na matumizi yake yaani unajiongeza wewe, unapiga show siku kadhaa unalipia siku kadhaa na outing na vitu vyengine.

Akasema ananipenda ndio maana hawezi kuniomba hela "ila niki hack simu yake nakutana na wanaume kibaoo wanalilia punguzo la papuchi BADOO, WHATSAPP, FB MESSANGER na SMS ZA KAWAIDA"" na the worst thing Wengine WANAMLA.

Alivyokua analalamika ananipenda niliona kama ananichora tuu.

2020 mara kapata mimba, anasema mimba yangu.

Tukapiga hesabu (mtoto kazaliwa December/2020) ina maana mimba iliingia March/2020.

Ila mwezi huo March/2020, kuna siku alikuja ghetto asubuhi amechoka kumbe katoka kugawa usiku kucha, kaja kwangu kalala/kapumzika mpaka jioni na tukapiga show, usiku huo akaenda kulala na mwengine, alinidanganya hawezi kulala kwangu kwakua mama ake anaumwa (nilijua yotee baada ya ku hack siku yake - nilikua napenda sanaa ku hack simu yake, then was my fuc* mate no string attached..!!!)

Tuna desturi kila wiki kupima ukimwi (Nina vipimo ghetto napewaga na Mshkaji wangu Dk wa zahanati fulani hivi - sipendi Condom kwahiyo kila nikitaka kupiga mzigo lazima nipime ili niende peku, hii ni staili yangu kwa mademu woteee).

Nimeitwa kwao, kumbe ndugu zake wananijua (Mama + Dada zake wawili).
Ila sidhani kama wanajua kuwa ndugu yao anajiuza.

Nikaenda kuwasikiliza kipindi cha X-Mass Dec/2020.
Niliwasikiliza tuu nikaacha yotee hapohapo.
Sikutaka kuwahadithia alivyo ndugu yao maana sina mpango nae na huyo mtoto sio wangu.

Wanataka niende nikamkomboe mtoto, mdada kakomaa mtoto ni wangu ila SI WANGU MAANA TUMEPIGA WENGII MNOO.

BABA WA MTOTO NI MWANAUME YEYOTEE HII TANZANIA, Maana list la wanaume waliomla ni wengi sanaa na mimi nilikua namfanya Fuc* mate.

Sijui yeye kama alinipenda, ila "utampendaje mtu huku unagawa Mashine kwa wengine?"""

Nikiongea nae anasema..

1. Ananipenda kweli, na ndio maana hata kipindi tulivyokutana nilimpa hela siku ya kwanza tu ya biashara then ikawa buree siku zilizofata.

Anasema alinipenda tokea siku ya kwanza kuniona.

Siku ya kwanza kuonana, baada ya kuchat na kukubaliana bei tulikutaniana Zahanati tukapima UKIMWI (-ve) (ilikua asubuhi), na usiku akaja ghetto kulala mpaka asubuhi nikampa hela zake na kusepa.

2. Nikimkumbusha kuhusu wanaume waliomla anasema, ule ulikuwa utoto na sasa amekua then yupo tayari kuwa na mimi tu na kuwa mke wangu. Anasahau kuwa shetani ni shetani, yaani Nikuoe ukiwa mgawaji nikiamini UTABADILIKA..!!

3. Anasema mimba ilimtesa na kupoteza Kazi, anaomba kuja kwangu akae amlee mtoto kwakuwa mimi nina Kazi nimsaidie kulea, Yaani nilee mtoto wa mwanaume nisiye mjua.

Kwamba aje na mwanae then tuishi wote na mwanangu na familia ianze na watoto wawili.

4. Ndugu zake wananikomalia na kutangaza kuwa mimi sio mwanaume (nimetupa mtoto), nataka siku niwachane kuhusu umalaya wa mtoto wao ili waache kutangaza ujinga.

Mimi sina hiyana na kulea mtoto....

Mpaka sasa nina mtoto mmoja nalea.
Anasoma boarding darasa la kwanza.
Hivyo umefika wakati wa kutafuta mtoto wa pili.
Likizo tunakua wotee na huwa sitaki mwanamke yoyote atusogelee (maswala ya aunt sitaki nikiwa na mwanangu)..

NAMUHESHIMU SANAA MWANANGU na ndio MY BEST FRIEND.

Na nahitaji watoto wa nne, maana sina mpango wa kuoa kabisa, ila wa huyu siwezi kumkubali.
Awe tu single maza.

Mtoto wake ni wa mwanaume yeyote duniani huko.

Juzi kaniomba aniandike jina langu kwenye Cheti cha kuzaliwa cha mwanae (baba), nilichomwambia aende kwa baba ake ila sio mimi...

Huu ndio ukweli na NIMEAMUA KUTOONGEA YOTE ILI KULINDA HESHIMA YAKE.

Nina mengi moja lililonishangaza, nilikuta sms diwani anambembeleza akamle TIGO ili ampe pesa kubwaa akawa anakataa kwa machejo...
Kumuuliza "Unaliwa mpaka Tigo?"" Alinijibu ""Sio bana, huwa wananitongoza tu ila siwakubali""

Anataka nimuoe na kuahidi eti amebadilika, mmmh SIWEZI KABISAA na MTOTO SIO WANGU.

Dear Single Maza V Kama upo humu, Ni kweli nahitaji mtoto mpya ila HUYO MTOTO SIO WANGU...

Mpelekee baba ake and I bet is Mr. K, yule mliyekutana Club mkawa mnakulana. Hata kama ni mume wa mtu ila mwambie tu Una mtoto wake ila SIO WANGU.

#YNWA
Tupo wengi mkuu,Ila take it easy
 
Kwamba unapima VIRUSI kabla ya kula, vile demu analiwa na wengi... ukadhani ni ujanja?

Unafikiri virusi vikiingia kwake leo, vitasubiri hadi uvipime kabla havijakuvagaa!!

Una ujinga mwingi sana kwenye hizi simulizi zako za kusadikika.
 
Mzee wa liver ata mala** wanapenda usingoje mtoto atoke copyright na wew ndio uamin kua huyo mtoto ni wako, u still have time.
 
Probability ya kuwa mtoto ni wako ni 65% sio wako ni 35%.

- umelala nae pekupeku, kumbuka tone moja tu la manii linatosha kuweka mimba. Kuwa na wanaume wengine haimanishi, mimba sio yako.

- mmepima ukimwi, hii inafanya awe anakupa peku kwako kwa wengine labda anatumia kinga. Ni nadra kwa wanunuzi wa mara mojamoja kuwapa kavu, labda awe amekata tamaa.

- umempeleka kwako, kwa mwanamke mwenye kujiuza, ina maana ana hali ngumu, ameona njia pekee ya kukupata ajinasue na magumu ni kushika mimba yako, maana kwako anapajua na ameshakusoma huna dame, kwahivo kategesha.

Kujiridhisha, pima DNA kupata ukweli lasivyo utakuwa unakimbia mtoto tu, odds nyingi zinaonyesha ni wako.
 
Mleta mada unashida kubwa,wewe ni mzembe na hukubali changamoto zinazotokana na uzembe wako. Unawezaje kwenda pekupeku na malaya? Bora umepata mtoto ingekuwa ukimwi je?. Unakataa mtoto lakini unakubali tarehe alizopata mimba ulitembea nae, alafu unaleta blah blah! Sijui malaya,alienda na nani huko acha kujitetea chukua mwanao.

Nakushauri acha kuwapima wanawake tumia condom. Siku unayompima ndio siku aliyopata ukimwi huko,vipimo haviwezi kuonyesha +ve,na wewe atakupatia tu.
 
am so sorry niga kusema haya
Hauna maturity ya kiume Mwili wako bado unapevuka.
How come unasex na mtu unayemtambua kama malaya bila ndomu how....???
Eti unamkomoa, tangia lini mwanamke usiyemjua ukamkomoa when how and why

Now unakimbia kivuli chako( mtoto) umeogopa hata kupima DNA.
I think you should stand and face your mistake
Wanaume tujifunze jamani sex is not everything
 
am so sorry niga kusema haya
Hauna maturity ya kiume Mwili wako bado unapevuka.
Sex is one of the human BASIC NEEDS.
How come unasex na mtu unayemtambua kama malaya bila ndomu how....???
Ni kawaida kwa malaya.
Kavu high price and Ndom low price.
Inategemea mteja anataka nini, na mimi nilikua mteja tu.
Eti unamkomoa, tangia lini mwanamke usiyemjua ukamkomoa when how and why
Sijaongea kuhusu kukomoa.
Alikua ananipa huduma.

Hujui huduma za malay*??
Kama hujawahi tomb* malay* moto (wanaojiuza direct), basii umetomba malaya baridi (wanaojiuza indirect).

Usikariri malaya lazima asimame barabarani, hata yule wa hapo ofisini ambae hulali nae bila kumpa pesa then is business.
Now unakimbia kivuli chako( mtoto) umeogopa hata kupima DNA.
I think you should stand and face your mistake
Sio wangu...
Ni malaya, huo mwezi march unajua wangapi wamepiga kavu?

Mi sio wale wanaokubali kulea watoto wasio wao eti kisa "kitanda HAKIZAI HARAMU""

Ni upuuzi.
Wanaume tujifunze jamani sex is not everything
Sex ni starehe kwa mwanaume.

#YNWA
 
Back
Top Bottom