My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

kama story yako ina ukweli kwanini usimkubal mtoto na baada ya hapo ukafanye DNA test bila mama kujua na hapo utapata majibu juu ya huyo mtoto kuliko kumkataa moja kwa moja,,,,ila na nyie wanaume mna roho ngumu hivi unawezaje kuwa na mtu ambae unajua kabisa anapitiwa na kila aina ya kitu.
 
,,,,ila na nyie wanaume mna roho ngumu hivi unawezaje kuwa na mtu ambae unajua kabisa anapitiwa na kila aina ya kitu.
Mi nadhani ndio naongoza kuwa na roho ngumu.
We nenda huko kagawa then rudi jifanye unanidanganya sijui niko pekee yangu sijui nini.

Ukiamua kuwa MALAYA na mimi nakufanya malaya.

#YNWA
 
Wenzako wananunua, we unapewa bure.
Halaf unasema hupendwi.
Anayekupenda hawezi kugawa uchi wake.
Alijiuona malaya nikamfanya MALAYA.
Yaani mwanamke anakupenda na bado anatoka kwako kwenda kulala na wengine...!!!!!!

Wenzako wanakula na maganda, we unaila kama ilivyo.
Halaf unasema mtoto sio wako.
Ushahidi kwamba wengine walikula na condo au kavu sina.
Na kama mimi niliweza kavu hao wengine je?

#YNWA
 
Hapo ili kuondoa utata inabidi mpime DNA kwa sababu kavu ulipiga kweli so usikatae sana huenda sperms zako ndiyo zilikua na nguvu na kiherehere cha kurutubisha yai siku hiyo.ungetumia ndomu hizo doubts zisingekuwepo. Hivi inakuaje unajua kabisa mtu ametoka kuliwa tena ukihisi peku bado na wewe tena unapiga peku muda huo huo duh, kweli hainaga makombo hii😉🤔

Ushauri wangu hiyo kupima asubuhi na kwenda peku jioni eti sababu tu majibu ni negative, aisee you must be careful kuna kipindi kinaitwa "window period" kabla kipimo hakijaanza kuonesha kama mtu yuko +ve na ndiyo maana hospital tunaambiwa urudi tena baada ya 3 months, lisije likakupata jambo mkuu.
 
Kuhusu elimu ya UKIMWI ninayo ila tatizo wengine tuna mioyo migumu.

Mi ukijifanya MALAYA na mimi nakuona MALAYA.

Eti tuko wote kwenye relation halafu unachepuka, Haki sitokwambia chochotee na kuuliza chochotee.

Ukijiona we malaya na kuamua kugawa basii na mimi nakufanya MALAYA.

Siku nikichoka nakaa pembeni.

Na kuhusu mimba.
Nani kasema ni mimi tu ndio naenda kavu?

Kama AMEAMUA kunipa kavu, kwa umalaya wake kwanini hawezi kuwapa hao wengine?

Nimemkuta anagawa na nimemuacha anagawa.

Kwamba anataka niamini kuwa nikimuoa ndio atatulia
Mmhhmmh

#YNWA
 
kama story yako ina ukweli kwanini usimkubal mtoto na baada ya hapo ukafanye DNA test bila mama kujua na hapo utapata majibu juu ya huyo mtoto kuliko kumkataa moja kwa moja,,,,ila na nyie wanaume mna roho ngumu hivi unawezaje kuwa na mtu ambae unajua kabisa anapitiwa na kila aina ya kitu.
Kwakua mtoto ni mdogo mama lazima atajua. Swali, kuna mahali mama mtoto aliambiwa na baba mtoto kuwa waende wapime DNA ya huyo mtoto mama akaruka na kumbuka jamaa kahudumia mwanzomwisho toka mimba kutunga hadi mwaka umetimia, jamaa aliamua kumoveon na kumuacha je alikua sawa or? Natamani kujua mawazo yako kwenye hili
 
Jamaa alikua sawa.inawezekana pia mwanamke alijisikia vibaya kwanini mtoto akapimwe DNA kwamba huyu mwanaume haniamini kiasi hiki lakini nadhani ni bora zaidi kupata uhakika.Japokuwa mara nyingi Mungu huweka mkono wake kwenye mambo kama haya unakuta toto linatoka copy ya baba sasa ikiwa tofauti ni mhim kupata uhakika.Lakini suala la kumkataa mtoto moja kwa moja sio zuri.
 
Ah halafu huyo demu mzeya nilishamkulaga pia. Hawa mademu wa badoo bwana ni kisasambua tuu papuchi sio wakuoa. Shikilia hapo hapo kwenye msimamo wako.
 
Huyu du ulikutana nae badoo ila kma kasema mtot wako n wako fanya upime DNA uwez jua alitumia kinga sehem nyingine
 
Kapime DNA kwa gharama za huyo mwanamke na hiyo siku muende wote wanne
 
Nauhakika wewe unahitaji elimu ya UKIMWI hiyo uliyonayo ni kanyaboya.
Nilisoma Science O'Level nikaenda PCB advance na Chuo Nilisoma Clinical officer mwaka mmoja then nikaona Chuoni sielewi (moyo unaongea huku sio kwako) nikaamua kusepa kwenda kusoma biashara. ( Si unajua familia zetu za kitanzania, baba na mama ndio wanakipangia cha kusoma bila kusikiliza moyo wako), THE REST IS HISTORY.

Then elimu ya afya (ile base) nadhani ninayo nzuri tu.

Sijakwambia situmii Condom nimekwambia napenda kavu, ili tupige kavu lazima tupime kwanza.

Na sio mara MOJA tu, Ni kwamba leo tunapima tunapiga kavu, wiki ijayo tunapima na kupiga kavu.
Sijawahi kumwamini mtu mimi eti kisa mpole, sijui mzuri. AFYA YANGU KWANZA.

Yaani nikikutana na demu leo tukapima na kupiga kavu sio tiketi ya kupiga kavu wiki ijayo, wiki ijayo tutapima Tena.

Kila wiki tutapima.

Na DUNIA ya sasa ilivyo ya wanapenzi wa kugawa hivi mautamu ya chupi, hata kama nimekupendaje sijui tuna mahusiano gani ila LAZIMA NIPIME NA WEWE FREQUENTLY, maana ambacho kimenishinda kwenye hii dunia ni kumwamini mwanamke eti kisa NAMPENDA.

Mimi kumwamini mwanamke then kuingia nae kitandani bila kupima kisa ni mchumba angu is a BIG NO.

Kama vipimo vikiisha basii CONDOM INAHUSIKA, hata kama sijui ni wapenzi wa muda mrefu ""Mi najua jana ulilala na nani, na kwanini nikuamini hukulala na mtu?""

Kauli mbiu yangu:-
Jipende kwanza wewe ACHANA NA KUJIFANYA UNAFIA MAPENZI NA KUMWAMINI MTU ETI KISA UMEMPENDA.

#YNWA
 
Ungempa tu elimu ya UKIMWI.
Imsaidie huyo fukc mate
Fuc* mate ni staili tu ya mapenzi ambayo unapenda game ya mtu ila huwezi kuwa nae.
Haimaanishi ana elimu ya ukimwi.

Hujawahi ona mke wa mtu anampenda kijana wa mtaani amkule tu ila matunzo yotee anatoa mume.

Ma-fuc* mate wapo wengi sanaaa mtaani huku ila huwa hawajijui kuwa uhusiano wao ni fuc* mate.

Wake/waume za watu wanaogawa utamu mtaani in return of nothing kwani Hawana elimu ya ukimwi?

It's a utandawazi life style.

#YNWA
 
Back
Top Bottom