My Teacher nilikuwa simpendi now nimemzimia kinyama

Miaka 4 iliyopita nilikuwa naanza kusoma chuo fulani hivi hapa mjini ....

mpaka nimemaliza chuo huu mwaka wapili sasa ... hapa ninapofanyia kazi ni karibu na anapokaa na yeye kwa sasa yupo likizo so huwa anakuja sana kunitoa lunch na jioni ananifata ila hayuko kimapenzi ni kiurafiki.

Stori nzuri ila kuna vitu vimerukwa rukwa, kiufupi haina mpangilio mzuri, mwaka wa tatu haulezewi kilichotokea, mwaka wa nne pia. Na je kipindi chote cha baada ya mwaka wa pili mwl hajapata mtu mwingine?

Lara 1 bado anaongoza kwa story za namna hii! Unasoma unajua ni uongo ila hauachi kusoma mpaka unamaliza story yote. Matumizi mabovu ya herufi ndogo na kubwa, space nk vinaharibu uhondo wa story.
 
Miaka 4 iliyopita nilikuwa naanza kusoma chuo fulani hivi hapa mjini
siku moja nilikuwa nimeingia admission nilikuwa na shida na kitambulisho changu cha chuo ,my teacher akaniona akashtuka kidogo ( ule mshtuko wa OMG where have you been?)akaniita akaniuliza una shida gani? Nami sikusita nikamueleze akanipa kimemo cha yellow akaniambia "write down here ur name+registration number kisha njoo kesho utakuta kila kitu sawa ofisi yangu ni namba .... Njoo mida ya saa saba" basi mtoto wa kike nikamshukuru huyo nikaondoka zangu kumbuka hapo nilikuwa simjui hata jina
kesho yake nikamfata ofisini kwake akanikaribisha kama important VIP mpaka akanitambulisha kwa office mates wake loo na juice nikapewa tukaanza stori na mimi mashaalah mtoto wa kizaramo mkazi wa kariakoo maneno hapa pake
tukaongea kama dakika 45 hivi na akachukua simu yangu akajibip kisha tukaagana na akanikabidhi kitambulisho changu(msiniulize alikipataje maana nilipoteza cha mwanzo nilikuwa nahitaji kingine na nilishalipia bank,na kufata tararibu zote ila nikawa nazungushwa kupewa bila sababu ya msingi na mitihani ilikuwa inakaribia)
since that day tukawa marafiki sana na my ticha akafall kwangu akanieleza live ila mimi picha nilishaisoma tokea siku ya kwanza kuwa kamind figa
kiukweli mimi sikumpenda hata kidogo ila kwa sababu ni my ticha kumpa live noma maana chuo chenyewe discontinue nje nje plus masup ya kumwaga nikamwambia tuwe marafiki tu ili kujuana vizuri mi napenda serious relationship
akanielewa na ile semester nikapigwa supp somo moja hivi na mwalimu wa somo lile ni friend wa my ticha nikaingia chumba cha mtihani lahaula mtihani kigongo maswali manne lakini nayajua mawili tu na kila nikipiga mahesabu ya passmark hazifiki
nikatoka chumba cha mtihani break ya kwanza kumtafuta my ticha nikamwelezee akaniambia kuwa baada ya wiki mmoja wataanza kusahihisha so hiyo wiki nimkumbushe
wiki ikafika nikamtafuta nikampa exam number na registration number basi akafanya mambo (
namshukuru kwa hilo maana ningerudia mwaka)
tukaendelea kuongea nikiwa bored namfata ofisini tunaongea na yeye akinimiss ananiambia namfata ofisi tunapiga stori na kwake alinipeleka lo the guy is young plus he is loaded and he is from wealth family bt mimi nilikuwa nasubiri mpaka moyo umuangukie
mwaka wa pili semester ya pili tukawa hivyohivyo wanafunzi wambea rumours oo mtoto mzuri mchumba wake ticha.....huwa anashinda nae ofisini basi ili mradi full umbea tu
basi tukawa gud friends na kiukweli tukawa hivyo
basi kwa bahati mbaya akaja kuwajua watu kama wawili niliodate nao kipindi nasoma mmoja tulikuwa tunaagana JKIA kwa makiss kumbe akaniona bwana kisha baada ya jamaa kukwea pipa akanicall akaniambia mpaka hapo nikajishushia marks nikaamua siwezi kuwa naye tena mwingine nikadate nae kumbe ni rafiki wa rafiki ya my ticha so habari akazipata mpaka hapo nikaona siwezi kuwa nae tena zaidi ya urafiki na mapenzi sikuwa naye ila hakukata tamaa pia my ticha kuna kipindi nilipata matatizo ya ada hapo chuoni akanisaidia ada na kumalizia mwaka
kiukweli alikuwa msaada mkubwa sana kwangu
mpaka nimemaliza chuo huu mwaka wapili sasa ila tunamasiliano mazuri na haipiti wiki bila hajaniona ila hayuko siriazi na mimi tena ananichukulia pouwa sana na nahisi mapenzi hana tena mimi kipindi hiki nampenda yani jamaa mbaya lakini kipindi hiki namuona bonge la handsome na yeye hana usirisazi na mimi ananichukulia ananichukulia zaidi ya urafiki hapa ninapofanyia kazi ni karibu na anapokaa na yeye kwa sasa yupo likizo so huwa anakuja sana kunitoa lunch na jioni ananifata ila hayuko kimapenzi ni kiurafiki tu na anavyoongea na mimi ni kama vile anaongea na washkaji tena wanabishana mpira bar roho inaniuma
natamani kumwambia bt nashindwa na pia sielewi nifanyeje awe kama zamani anijali na anipende
sometimes ananiambia mambo ya wasichana zake tena ananiambia nipo nao bt sijajicommit nawajua wadada kama wanne kwa wakati tofauti madem zake na wao wananijua kama rafiki ya my ticha
nayeye anasema nilikupenda wewe tu bt ukanikataa sometimes natamani kumwambia mimi nakupenda kwa sasa ila nashindwa nabaki kuzugazuga tu na nahisi hata nikimwambia hatakuwa siriazi tena na anaweza kula mzigo kisha akasepa na urafiki nikaupoteza tena
naombeni mnishauri nifanyeje?
Nimrudishe kama zamani
kitu kingine mimi najijua kuwa mwingi wa habari hapa mjini na stori zangu nyingi anaambiwa na watu yaani mpaka vingine nashangaa kajuaje?ila huwa namkatalia kila siku hilo nalo naona limenipungizia maksi kwake
na sasa tunavyoonana kila siku mchana na jioni anazidi kunichanganya akili na yeye hana habari na mimi zaidi ya ushkaji

kabla ya kumwambia
tulia kwanza,asisikie habari zako
halafu lipuka kwake
 
Kitu shambulizi moja na goli juu tena dakika ya 90, wakat bayern mashambulizi 900 goal 1...

Dah kila nikisoma thread nakuwa mnyonge kwa hiyo kina sisi tusiotoka well of family tunalo mwaka huu, mdada yeyote mzuri akitoa sifa lazima aweke na loaded and from well of family,,,, dar tusio na urithi mjini hapa mbona tunalo,,,, tutakula kwa macho tu

Mkuu na sisi tuna wa size yetu!!
 
Stori nzuri ila kuna vitu vimerukwa rukwa, kiufupi haina mpangilio mzuri, mwaka wa tatu haulezewi kilichotokea, mwaka wa nne pia. Na je kipindi chote cha baada ya mwaka wa pili mwl hajapata mtu mwingine?

Lara 1 bado anaongoza kwa story za namna hii! Unasoma unajua ni uongo ila hauachi kusoma mpaka unamaliza story yote. Matumizi mabovu ya herufi ndogo na kubwa, space nk vinaharibu uhondo wa story.

ahsante kaka si unajua mapresha ya ofisi loo nilikuwa ofisini yani huwezi amini nimetoka saa 4 usiku badala ya saa 11
usijali nitaiedit bt concept umeipata
nijilipue kwa my ticha au maana nahisi nitadata
 
kabla ya kumwambia
tulia kwanza,asisikie habari zako
halafu lipuka kwake

the boss nilichoharibu huu mwaka wa pili sasa tokea nimalize chuo huku mtaani nikawa nadate na kigogo mmoja wizara ya mambo ya nje
kuna siku niko nae mafia lounge nayeye kaingia kaniona live bila chenga
sometimes huwa najutia kuzaliwa mjini na kukulia mjini
naogopa ninaweza kujilipua na yeye akapita tu
 
jilipue tu mdada, mwambie umefika bei huli hunywi unamuwaza yeye......

Kwani akikumwaga utachubuka?

BT tatizo ni hili inaumiza sana mtu umpende ujilipue kisha wewe unategemea umefika stendi ya kigoma kisha yeye anakufanya kituo cha basi
inauma sana sana hayo maumivu yake sitaki kuja hapa tena nianzishe thread tena my ticha kala mzigo kaondoka
 
the boss nilichoharibu huu mwaka wa pili sasa tokea nimalize chuo huku mtaani nikawa nadate na kigogo mmoja wizara ya mambo ya nje
kuna siku niko nae mafia lounge nayeye kaingia kaniona live bila chenga
sometimes huwa najutia kuzaliwa mjini na kukulia mjini
naogopa ninaweza kujilipua na yeye akapita tu

pole saana
 
Hahahaaaaa! Naona STAKI NATAKA IMEISHIA UNATAKA SANAAAA! Unalo hilo bibi wewe! Ila halishindikani jambo mbona!!!? Hapo easy kabisa, lazima ucheze kama professional ball player, ukijilegeza tu ushakosa yote! Upo hapo! Hapo inatakiwa ufunge goli kama DROGBA alilofunga fainali ya CHELSEA VS BUYERNMUNICH!!!! Bao la kiufundi!!! Hapo kinachotakiwa umualike kwako kama huna ata kwa rafiki yako, mtungue maji ya dhahabu weee, MPAKA KUJIFANYA ULEVI NOMAAAA! Alafu mlegezee uone kama paka akiona samaki atalia NYAUUU! au atapita KIMYA!!! Hapo ndo utapata uhakika! Usisahau kujilinda japo na LADY PEPETA, au DUME!!! LOL! (Kuna mtu ka ni PM nachochea ngono zembe, basi najiunga na TACIDS kuelimisha!!! LOL!)

lara1 mimi sinywi pombe ila ninaweza kukesha na siku hizi ninamkwepa sitaki nishinde naye maana naona atanizidi kete
hapa nimepata wazo nimwandikie barua kisha nimpe akaisomee kwake
au unaonaje?
 
Mmmh, haya bana
Nakumbuka high skul binti mrembo wa haja alimtumia mwalimu kadi na ua
vila vimwalimu vilivyotoka chuo, kumbe ka mwalimu kameshashika kifaa kingine
Si kakamwanika hadharani

Mweh mweh, yule binti alikuwa sisimizi umkate mara milioni.

kongosho mwanzo nilikuwa na uhakika ananipenda kabisa maana huwezi amini mpaka professa mmoja ambae ni mtu mzima umri wa babu yangu akaniambia kuwa huyu umempa nini?
Na sikutegemea kama yule baba ataniambia yale maana anaheshima na anaogopwa na chuo chote
ila kwa sasa sina uhakika na mimi ninachohitaji ni siriazi hasa lile tendo tamu siku moja mimi nayeye tulifanye likiwa takatifu limebarikiwa na Mungu
na sio apite tu
hata sijielewi
 
lara1 mimi sinywi pombe ila ninaweza kukesha na siku hizi ninamkwepa sitaki nishinde naye maana naona atanizidi kete
hapa nimepata wazo nimwandikie barua kisha nimpe akaisomee kwake
au unaonaje?

barua haifai
chat nae kwenye simu
 
Hakuna faida tena the game is over :biggrin:

Mimi nakushauri hivi endelea tu kuwa naye kama rafiki, ukijifanya kumuambia unampenda atakuchapa bakora kisha hutamuona tena, mana ulijidai tokea mwanzo humpendi.

hata mimi ndo nachokifanya kwa sasa ila roho inauma na yeye kama anajua maana siku hizi kila siku lazima tuonane kama si mara 1 basi mara 2
anazidi kunipa presha kila nikiwanae
he is real a gentleman
 
majibu unayo "hata nikimwambia hatakuwa siriazi tena na anaweza kula mzigo kisha akasepa na urafiki nikaupoteza,...... na yeye hana habari na mimi zaidi ya ushkaji"
 
Hahahaaaa! Hapa haiapply, hii ni situation tofauti inaitwa ON SECOND THOUGHTS!!! LOL! Hii inakuwa wakati ulikuwa unafukuzia, SOME FACTORS WERE MISSING!!! E.G CASH!!! Sasa hapo mdada anakuwa anajishauri : He is cute! Angekuwa na cash ningemkubali! Ila ndo hivo tena! LOL! ILA ALHAMDULILAH! THE GODS ARE IN YOUR FAVOUR UKAZIFUMANIA!!!! BAAAAAAS! KUFIKIRIWA UPYA HAKUKWEPEKI!!! LOLEST!

LARA1 the guy alikuwa nazo before sijamjua na analipwa pesa ndefu sana mshahara plus maOT ya kutosha plus anamibishara yake tokea zamani sijamjua
siyo kwamba alikuwa kapuku akazipata ndo nikamzimia
jamaa alikuwanazo tokea siku nyingi ila moyo wangu haukumzimia kipindi kile
nadhani labda mungu ananipa adhabu mateso aliyopata kipindi kile yamenirudia mimi
 
Last edited by a moderator:
BadiliTabia umeiona hii kauli ya Mwalimu? "nilikupenda wewe tu bt ukanikataa" hata binti akiamua kujilipua njemba itakula uroda kisha kujisepea na maisha yake. Kama binti yuko tayari kugawa uroda bila ya kuwa na future expectations basi ajilipue tu.

BAK upo sawa hata mimi hiyo kauli haifutiki kichwani
yani mapenzi haya
mda huu nimemusms nimemuuliza umelala hajajibu nahisi kapitiwa na usingizi oooo my ticha natamani ungekuwa ni member wa humu labda ungenielewa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom