Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 690
"MY OUTLOOKs"
* * * * * * * *
<02/Febr/2015>
WIZARA YA MAMBO YA NDANI/JESHI LA POLISI:
Kwanza Niwajulie Hali Ndugu, Jamaa Na Marafiki, Natumai Mnaendelea Vyema Kwa Kulijenga Taifa Letu Tanzania Kwa Kaulimbiu Ya HAPA KAZI TU.
Kwa Heshima Na Taadhima Naomba Uzi Huu Uwafikie Wahusika Wafuatao.
*MH CHARLES KITWANGA.
(WAZIRI> MAMBO YA NDANI)
*AFANDE IGP ERNEST MANGU.
(MKUU WA JESHI LA POLISI)
*MH. SADIQ MURADI.
(MBUNGE> MVOMERO)
*WAHUSIKA WENGINEO.
Ktk Mkoa Wa Morogoro, Wilaya (Jimbo) La Mvomero, Tarafa Ya Turiani, Kata Ya Mtibwa, Kijiji Cha Madizini Kumekithiri Vitendo Vya Kihalifu Kiasi Kwamba Raia Wanashindwa Kuishi/ Kufanya Biashara Zao Kwa Uhuru Kana Kwamba Wako Nchi Iliyokithiri Uhalifu.
Makosa Mengi Yanayojitokeza Hapa Ktk Kijiji Hiki Cha Madizini Ni Yale Yanayohusisha Uvunjaji (House Breaking/Burglary) Na Unyang'anyi Wa Kutumia Silaha Hasa Za Jadi.
HISTORIA FUPI YA TURIANI.
Miaka Ya 1995 Kurudi Nyuma, Kijiji Na Tarafa Ya Turiani Ilikuwa Imeendelea Kuliko Sehemu Yoyote Ndani Ya Tarafa Hii Ya Turiani.
Kufikia Miaka Ya 1998 Na Kuendelea, Kata Ya Mtibwa Ikapanda Kasi Kimaendeleo Na Kuzipita Kata Zote Za Tarafa Ya Turiani.
Baada Ya Maendeleo Kushika Kasi Ndani Ya Kijiji Cha Madizini, Huduma Za Msingi Kama Bank NMB, Soko Kuu, Kituo Cha Afya, Vyote Vikatoka 4Kms Vikahamia Kijiji Cha Madizini Ambako Ndipo Maendeleo Yalipo. CRDB Kuona Hivyo Nao Wakafungua Tawi Lao Hapa Hapa.
TUNACHOOMBA:
Tunaomba Tupatiwe Kituo Cha Polisi Ndani Ya Kijiji Cha Madizini Maana Ndiyo Sehemu Yenye Population Na Maendeleo Kuliko Kata Zote Za Turiani Na Pia Idadi Ya Makosa Ya Kihalifu (Number Of Crime) Ipo Juu Sana Kuliko Mahala Popote Ktk Tarafa Hii Ya Turiani, Ndiyo Maana Tunaomba Kituo Cha Polisi.
Tarafa Ya Turiani Inavituo Viwili Vya Polisi Lakn Vyote Vipo Zaidi Ya 4Kms Kutoka Kijiji Ambacho Kinaongoza Kwa Matukio Ya Kihalifu. Hii Inaleta Ugumu Ktk kutoa Taarifa Na Kukosa Doria Za Mara Kwa Mara Ili Kuzuia Matukio Na Kuwatia Woga Wahalifu Kutimiza Adhma Yao.
Serikali Ya Kijiji Cha Madizini Ilishatoa Eneo La Kujengwa Kituo Kama Sheria Ya Kugawa Ardhi Ya Makazi Vijijini Inavyotaka.
Huenda Serikali Ya Kijiji Ilishawakilisha Ombi La Hili Lakn Ni Jukumu Letu Sote Kuhakikisha Tunaisaidia Serikali Kutimiza Wajibu Wake Kwa Namna Moja Ama Nyingine.
Naomba Serikali Hii Sikivu Itujengee Kituo Na Kama Itawezekana Kijengwe Hata Kabla Ya Bajeti Ya Mwaka Wa Fedha 2016/17 Kuanza Ili Tupate Ulinzi Wa Raia Na Mali Zetu Maana Tumegubukwa Na Hofu Ya Kufanya Maendeleo Kwa Kuvunjiwa Mara Kwa Mara.
NB: ULINZI BORA HUONDOA HOFU KWA RAIA WEMA NA WAPENDA MAENDELEO.
ULINZI NI JUKUMU LETU SOTE NA HUANZIA KWANGU, KWAKO NA KWA WALE WANAOUCHUKIA UHALIFU.