My opinion: The myth behind people's power ideology!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My opinion: The myth behind people's power ideology!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Oct 2, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  People's Power ni Ideology made kwa ajili ya Mataifa ambayo hayana Demokrasia, kama vile The Arab World, lakini sio kwa Taifa kama letu la Tanzania. Hapa we are enjoying a full Democracy, kwa hiyo ni muhimu sana kwa Chama changu CCM, kusimama kidete na kuikataa sera ya People's Power iliyoletwa na kuongozwa na Chadema, baada ya sera zao za Majimbo na Mafisadi kushindwa kutoa results. Tanzania tunaongozwa na sera ya Mihimili mitatu, nayo ni Ikulu, Mahakama, na Dola as opposed na maneno ya wengi kwamba tunaongozwa na Ikulu, Bunge na Mahakama. Pia kwenye the end kuna sisi wananchi. Sasa CCM tunahitaji kua makini sana kwa sababu, ili People's Power ifanikiwe ni lazima Rais wa sasa apunguziwe Madaraka, kitu ambacho Chadema wamekuwa wakikililia sana kwenye mikutano ya Katiba mpya, ni kwa sababu wanajua kwamba Rais akipunguziwa madaraka wataweza kujipenyeza na kugonganisha mihimili hii ya Serikali na kuweza kushika nchi kirahisi sana kwa njia kama zile zilizotumika Egypt na Tunisia.


  CCM we don't seem to understand the game Chadema is playing nyuma ya pazia la People's Power na hatari zake kwa Taifa na hasa maendeleo ya CCM kama chama Tawala. Kazi muhimu ya chama chochote Duniani ni kushinda uchaguzi kwanza, and then kutawala. CCM we need to educate our members athari za Rais wetu kupunguziwa madaraka, sawa kuna areas ambazo ni kweli anahitaji kupunguziwa, lakini bado ni lazima tupigane mpaka mwisho wa vita hivi vya itikadi, kuhakikisha mabadiliko ya katiba hayaondoi madaraka ya Rais kuchagua Viongozi wa Jeshi, Polisi, Mahakama, na pia tusijidanganye hata siku moja kufikiria kuwa na Rais wa CCM, asiyekuwa Mwenyekiti wa CCM siku tutakapojidanya na hilo ndio utakuwa mwisho wetu wa kutawala taifa hili.


  Nia na madhumuni ya People's Power, ni kuwahamasisha wananchi wa-raise against Serikali, kama ilivyofanyika Egypt na Tunisia, na hii ni baada ya Chadema kugundua kwamba hawana uwezo wa kuishinda CCM kwenye kura. Kwenye uchaguzi uliopita Chadema walidai walishinda Urais, which was a pure nonsense, kwa sababu huwezi kushinda Urais wa Tanzania huku ukiwa na Wabunge 46 tu kati ya Wabunge 357 wanaotakiwa kisheria ya Jamhuri. Kwa hali ya kawaida haiwezekani wananchi wakapigia kura wabunge wengi wa CCM, lakini wakapigia kuchagua Rais wa kutoka Chadema kwenye kura hiyo hiyo. Sijawahi kumsikia Dr. Slaa mwenyewe akisema aliibiwa Urais kwa kawaida hayo husemwa na wapambe wake lakini sio yeye mwenyewe ikiwa ni dalili tosha kwamba anajua ukweli kwamba hakushinda. Lakini kulalamika kila wakati ni moja ya mbinu za kisiasa za Chadema kutaka kukubalika kwa wananchi.


  Ninasema CCM, we cannot afford kulala na hawa Chadema, they are serious na wako very hungry na madaraka ambayo wanajua kabisa kwamba hawayawezi, kwa sababu hata kukiongoza chama chao wameshindwa, ndio maana leo unaona kina Zitto na Shibuda wanatangaza mapema kutaka kugombea Urais kupitia huko bila kusubiri vikao vyao, ni kwa sababu wanajaribu kutumia nguvu ya umma yaani wananchi kuwashinikiza Chadema watumie Demokrasia wakati utakapofika wa kuchagua mgombea wao. CCM tukiruhusu kushindwa na Chadema 2015 tutakuwa tumewasaliti wananchi wa Tanzania, ambao wengi wao hawajui nia na madhumuni ya Chadema, ambayo ni simply Madaraka na Biashara tu kwa watu wachache ndani ya uongozi wa juu wa chama chao.


  Ni matumaini yangu kwamba CCM, tutajipima na kujitafakari sana namna ya kwenda mbele na sera za Chadema, ambazo ni hatari sana kwa taifa letu. CCM tuwaelimishe wanachama wetu waweze kujadili siasa za taifa kwa uelewa zaidi kuliko ki-Yanga na Simba kama wanavyofanya sasa. Halafu pia CCM ni lazima tuimarishe dhana za kujipima ndani ya Chama kwa viongozi wasiojiweza kiuongozi, tumejaza wengi sana ndani ya chama chetu, ninatoa pongezi sana kwa NEC kwa jinsi ilivyoweza kusimamia zoezi la kupitisha majina majuzi Dodoma. Wamejitahidi sana kupunguza makenge wengi kwenye huu msafara wetu wa Mamba, ingawa bado kuna makenge wengi bado wamerudi, lakini ninaamini kwamba kati ya sasa na 2015, wengi wao watajipima na kuachia ngazi wenyewe.


  MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!

  William Malecela Le Mutuz!!
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  haya sasa,huyu lemutz kaamini hapo amemaliza kila kitu,karibu mjadili watu wa peoplessss!!!!!!!!powerrrr
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kumbe ukitaka uongozi CCM lazima uikosoe CHEDEMA? William Malecela Le Mutuz!! umeibuka tena, Uchaguzi wa NyinyiEm ni lini? si ulilalamika baada ya kuliwa kichwa ubunge wa E.Africa ukaja na rundo la lawama kuwa Rushwa imetawala? sasa leo inakuwaje? next utasema nini?
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu episodes, huyu jamaa Lemutz anapotoshwa sana na mamake wa kambo, anyway tulishamwambia siasa haiwezi angeendelea na ubaharia wake ngoja uone atakavyoliwa kichwa CCM, ok amuulize makamu mwenyekiti wake Msekwa sera ipi ya CCM kwa sasa itatekelezeka?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa jinsi ninavyomwona huyu jamaa,manake muda mwingi nakutana naye na kuona jinsi anavyofanya mambo yake,nahisi anaweza kuja kukwaa uongozi mkubwa ndani ya ccm,naona strategy aliyokuja nayo inalipa,yaani kupiga kelele na kujipendekeza sana kwa watu,labda ndiyo skill yenyewe aliyotuletea
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  huyu malaya katokea baada ya kupata uongozi!
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  ni ujinga kufuata peoples power
   
 8. M

  Magesi JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni ujinga pia kutawaliwa na adui namba moja wa watanzania C.C.M
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo lemutuz ni mujingaaa?????????
   
 10. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,662
  Likes Received: 2,115
  Trophy Points: 280
  Le Mutuz ni mbumbumbu lakin hata siku moja sikufikiri kama mpuuzi kiasi cha kuandika matope haya. Katika maneno yote haya, sijaona hata sentensi moja iliyogusa au kutetea masilahi ya taifa. Nimeishia kuona neno "kutawala" likijirudia tu.
  Shem on you!
   
 11. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Je zile fedha ambazo baba yako alifadhiliwa na mafisadi kama alivyoelezea mwanachama mwnzako sophia simba zilikwisha? Unaweza kutushawishi vipi kama nawe hutakuwa na tamaa ka baba yako? Jaribu kusoma alama za nyakati na kwamba kila jambo chini ya jua lina wakati wake na wakati wa ccm umekwisha na kinachofuata ni kuzika ili tuanze maandalizi ya kuanua matanga.
   
 12. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona anajipendenkeza kwa viongozi wa chama kinachopelekwa kuzikwa makabulini!
   
 13. c

  ckjs Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kayanda
  Nasikitika sana kuona kama Tanganyika hii kuna watu wanapanga kututawala milele, yaani nchi hii ni mali ya nani, nani kakupa wewe mamlaka kututawala sisi milele, kwanini kwa lipi, na eti mwingine akiingia kutawala ni haramu, hafai, wewe kama nani?? Why?? So far nani anamwandika kazi raisi anae muajiri nani? Na kama tukisema LEO hatutaki kuna dhambi gani ??? Tumekupa kazi hautufai TOKA then tatizo nini???
  Ukikuta nyumbani house girl kafungia mtoto kwenye fridge unafanyaje, utasema kwakuwa ni muhimu sana basi tuu akae mtoto akikua ataondoka???? We vipi?? "I m sory" -siendelei- "....." Ndiyo maana ziwa linaondoka'
   
 14. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  You are so pathetic because I believe you don't even know what people power is! No wonder you're against it!

  LeMutuz is upholding despotic rule and you support him? Do you know what that means? It actually means to rule with an iron fist, more police brutality etc
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  The Diary of Diarrhea.
   
 16. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  is that all you know about 'peoples' power'? Hii sio sera (policy) kama ulivyoitaja bali ni falsafa (philosophy). Najua maana ya propaganda yaani ku-twist maneno in favor ya chama chako hata kama ukweli unaujua. May you kindly spend at most 4 minutes ku-visit website ya CDM upate shule ya maana ya falsafa hii? Finally, tueleze falsafa ya CCM ni nini?
   
 17. b

  blueray JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha!
  Hivi we kweli ndiye Wlliam Malacela au umejibambika jina!
  Basi we ndio haswa umefilisika kifikra kweli kweli! unasema ...sera ya mihimili!- Hii ndio nini? Halafu unasema mihimili mitatu; Ikulu, mahakama na dola. Hata katiba ya nchi yako hujawahi kuisoma, Au unasoma lakini huielewi. Sasa utawezaji kutoa ushauri hata kwa chama chako tu!

  Halafu kwa taarifa yako hakuna kitu kinaitwa sera ya people's power. Ila ni kweli kwamba you are enjoying full democracy, we si ni mtoto wa mkubwa! Na umeona jinsi watoto wenzako wa wakubwa wanavyogawana vyeo kwenye chama? Kama we hujapata u-NEC basi hujaamua tu kwa sababu una 'full democracy'

  halafu mheshimiwa unaingiliaje sera za vyama vingine? Nakushauri uombe nafasi ya usajili wa vyama vya siasa labda utaweza.
  Mheshimiwa unachekesha kweli, mawazo yako kwa vile CCM ni ya baba yako unadhani itatawala milele!
  halafu unasema chadema they are very hungry na madaraka! Sasa, kwani Miaka 50 ya utawala CCM bado haijashiba madaraka?
  Kwani uliambiwa maana ya multiparty democracy ni CCM kutawala milele na vyama vingine kuwa vya upinzani milele?
  Kwa sababu sina muda ngoja niishie hapo, ila ndugu yangu nakushauri kajipange upya...

  Pia ngoja nikupe ushauri wa bure, Kama unaweza mwambie mheshimiwa mzee wetu Malecela atimue mafisadi wote ndani ya chama, angalau CCM baada ya uchaguzi 2015 itabaki kuwa chama kikubwa cha upinzani. Vinginevyo CCM itabaki historia kama KANU!
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ideas of the Past!
  Dont remind me of the Dinasours., coz they were so violent!
   
 19. m

  malaka JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yaan CCM yenyewe ndio inajengwa na vijana kama hawa kweli? Pumba gani hizi unaandika mtu unaelilia kuheshimiwa? Kama hujasoma vile? Ahga.
   
 20. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  baba na mwana wanabwabwaja na kupayuka!lakini kameandika wingi wa maneno kakachanganyua na kiswakiingereza basi tukape hongera kwa kuthubutu kuandika
  CCM inavyouogopa UMMA na NGUVU YA UMMA na UMMA ULIOHAMASIKA NA KUELIMISHWA!ni kama mtoto anavyoogopa sindano!
   
Loading...