My Opinion: Kati ya hawa watatu LAZIMA mmoja awe rais 2015

Kati ya viongoz wachapakaz Lowasa ni jembe zaid ya Pinda,ila tatizo 2 ana2mega pakubwa(ufisad) , kwa rais ajaye 2nahitaj kiongoz shupavu,jasir na asiye na udin kam Jk huyu c mwingine bali Dk.W.Slaa jembe la ukweli!
 
Al Zagawi

Kutumia neno LAZIMA mimi si dikteta kwa maoni yangu hilo neno lazima linakuwa na uzito lakini kwa utashi wa mwingine halina maana yeyote kwake ndiyo maana pale mwisho nikasema kama wewe hudhani atatoka kati ya hawa ni yupi unayemdhani.

Kuhusu kubadilisha uongozi kwa zamu leo upande huu kesho upande ule kwa nyanja zote za bara/visiwani na mkristo/mwislamu navyoona mimi safari hii itakuwa ngumu sana kwa CCM, nitakupa sababu safari hii kupata mgombea kutoka zanzibar atakayeweza kupambana na mgombea wa upinzani ambaye definitely atakuwa Slaa itakuwa kazi sana na kama ni zamu ya dini kumbuka zamu inayokwisha ni mwislamu kwa hiyo safari inayokuja anatakiwa awe mkristo na kama wasipofuata hivyo wale wa upande mwingine sidhani kama wataridhika, nimejibu haya tu kwa vile umegusia ingawa sitaki mjadala wangu ujikite kwenye masuala hayo.

you are missing the point mkuu..

1. hoja si kubadilishana kwa zamu kwamba sasa bara na kesho visiwani..kama ni kubadilishana ingekuwa mwaka 2005. hoja ni kuwa CCM iko vipande vipande, nani anaweza kuiunganisha, hata kama si kwa 100% basi walau ambaye akipewa hatakuwa wa kutoka upande wa wapiganaji akina 6 wala walaji akina mamvi..yaani awe atu asiye huku wala kule. nani zaidi ya Shein?

2. ni mazingira hayo ndiyo yamenifanya nifikirie hivyo..right place in the right time.

3. kuhusu dini..sidhani kama katika top level ya ulaji dini inazingatiwa sana..huku chini kwa walalahoi ndiyo tunafiiria sana kuhusu dini...kwani mapacha watatu si ni wadini tatu tofauti? mbona wako pamoja sana kwa miaka mpaka mmoja alipokosea hesabu katika richmond lakini bado kila akiulizwa anasema yeye na swahiba wake hawakukutana barabarani i.e bado wako pamoja?
 
Kamuulize aliyeibiwa mke kama huyu mzee anaaminika.
Acha fix, mbona mwenyewe alisema atakwenda Mahakamani sasa ameshindwaje? au zilikuwa njama za CCM kum keep Busy Rais wetu? Wanaoibiwa huenda Mahakamani na si kutegemea wasemaji wa kubwabwaja kwenye forums kama ufanyavyo.
 
AH,MI SIO CDM WAKUU ILA 2015 cdm wanaburuza aisee! Labda john mnyika na G.Lema wakiasi au wakishindwa kuwaita vjana au vjana (18+) wacpojiandikisha. ccm vjana wametumaliza. na tukichakachu aisee tutakua zimbabwe. kwish.
 
2015 msikiti hauna nafasi katika nchi yetu. Mpambano utakuwa kati ya EL na DR SLAA
 
Binafsi natabiri serikali ya mseto ikiwa Dr atapambana na EL, nani anabisha?
 
Dr wa ukweli usimweke sambamba na hao wenye tuhuma,H.mwinyi na mabomu yake ya mbagala na gongo la mboto,halafu ni jeuri sana alisema ikithibitika jeshi lilikosea angejiuzulu hakufanya hivyo,na huyu mwingine EL aaaaah,bana mbona unatuboa!!!!!!!!!
 
Hivi wewe umeshawahi kukaa ukajiuliza kazi ya mama mary nagu ni ipi?

Tangu ateuliwe kuwa waziri wa sijuwi uwezeshaji na uwekwezwaji mi kipi kafanya?
 
Tunahitaji kiongozi ambaye ataweza kusema jambo na viongozi walio chini yake(w/mkuu na baraza zima la mawaziri)likatekeleza maelekezo bila wasiwasi na sio serikali yenye wasemaji lukuki,Dr Slaa anafaa,tumpe nafasi 2015.
 
hy H.mwiny ameshazamisha maelf ya Watanzania baharini hk zanzibar na limeli lake libov hlf akakauka km c yy leo uniambie awe rais si atafanya mabaya mengi zaid, DR SLAA JEMBE LA UKWELI
 
Kwa kurahisisha NGOYAEE presda.SLAA waziri mkuu.mkijidai ubishi CHIF anachukua na kupanga kabinet yake na no one can stop chif.it s masai time.
 
Nimeandika sababu zangu kwa kifupi sana lakini nafikiri zinabeba maana kubwa believe me.

.................Vote for Dr. W. Slaa .........................OR ...........Vote for Hon. H Mwinyi ........ OR.......... Vote For Hon E. Lowassa
images
......................
images
......................
images


..............Chadema Candidate................................................... CCM Candidate............................... Independent Candidate

......Serikali ya Utawala wa Sheria na Haki...................... Serikali ya Umoja na Mshikamano................... Serikali ya Uwajibikaji

Una maoni gani kati ya haya majina matatu ni yupi unayempa asilimia kubwa na kwa sababu gani kama kwa haya majina matatu hakuna unayehisi ni mgombea anayefaa ni yupi unayeona atafaa na kwa sababu zipi, natanguliza shukurani.
Kwakweli kazi ipo 2015,,,tuombe Mungu amani yetu isipotee,,,atakayeshindwa akubaliane na matokeo
 
Mi naungana na Lil Sun. Tanzania tuna ugonjwa wa kuchagua bora kiongozi na si kiongozi bora. Kati ya waliopita, jembe alikuwa Mwalimu Nyerere tuu. Tunataka kiongozi ambaye hafungwi na misingi ya udini, bali uchungu na uzalendo kwa taifa lake ndiyo nira na dira yake, kama ilivyo kwa Jembe la Rwanda Bw. Kagame. Hapa bongo ni Dr. Slaa pekee.
Kati ya viongoz wachapakaz Lowasa ni jembe zaid ya Pinda,ila tatizo 2 ana2mega pakubwa(ufisad) , kwa rais ajaye 2nahitaj kiongoz shupavu,jasir na asiye na udin kam Jk huyu c mwingine bali Dk.W.Slaa jembe la ukweli!
 
Tunapozungumzia mustakabali wa taifa letu la Tanzania, lazima masuala ya udini tuyaweke pembeni. Ukifuatilia sana mambo yanavyokwenda kwa sasa, utatambua kuwa viongozi wetu wa dini ndio wanaotuletea balaa la udini hapa kwetu bongo. Misikitini, makanisani n.k. waumini wanahubiriwa ubaya wa dini nyingine. Hawa viongozi hawana nia njema na Taifa hili. Hivi ni Mungu wa namna gani anayeruhusu hawa jamaa kuhubiri majungu? Carl Marx alisema "Religion is an opium to the mass" Ni muda muafaka kwetu sisi Watanzania tuwe makini, na tusiwaruhusu viongozi wa Dini watusaidie kufikiri katika kila jambo kama ilivyo sasa. Kuna msemo usemao "an Idle mind is Devil's playgrownd. Tunapojadili mustakabali wa Watanzania na Tanzania yao, lazima tuepuke mambo yote kama ukabila, udini, ubara na uzanzibar n.k. Dini zenyewe wametuletea wazungu, na ukiangalia kule kwao zinaelekea kufa kwa sasa. Iweje zitutenge sisi wabongo?
you are missing the point mkuu..

1. hoja si kubadilishana kwa zamu kwamba sasa bara na kesho visiwani..kama ni kubadilishana ingekuwa mwaka 2005. hoja ni kuwa CCM iko vipande vipande, nani anaweza kuiunganisha, hata kama si kwa 100% basi walau ambaye akipewa hatakuwa wa kutoka upande wa wapiganaji akina 6 wala walaji akina mamvi..yaani awe atu asiye huku wala kule. nani zaidi ya Shein?

2. ni mazingira hayo ndiyo yamenifanya nifikirie hivyo..right place in the right time.

3. kuhusu dini..sidhani kama katika top level ya ulaji dini inazingatiwa sana..huku chini kwa walalahoi ndiyo tunafiiria sana kuhusu dini...kwani mapacha watatu si ni wadini tatu tofauti? mbona wako pamoja sana kwa miaka mpaka mmoja alipokosea hesabu katika richmond lakini bado kila akiulizwa anasema yeye na swahiba wake hawakukutana barabarani i.e bado wako pamoja?
 
dr willy my president. dr willy the hero. dr willy alimtaja lowasa ktk list of shame, kwa nyakati izi tunataka mtu anayeweza kusema uyu ni mwizi akaagiza mwizi akamatwe,na akakakamatwa na kurudisha ela yetu,kama EPA. Dr Willy Dr slaa na peter yan Willbroad P.Slaa halinganishwi,2015 anasaini kupokea urais. Gsana@jf.
 
Back
Top Bottom