My Open Letter to Eric Shigongo

Ndg umejibu kistaarabu sana!!!

Ila hoja yang pia ni kwmba huwezi kumpangia mtu aseme nini na wapi Kwahyo Shigongo kma mtanzania anayohaki kutoa maoni yake na logic hapa syo kwann atoe maoni na jibu hapa ni kwmba hili swala kwasasa liko kitaifa zaidi!!!!

Na wengi tunafikiri hawa watakuja kutuondolea matatzo yetu ya ndani la hashaaa kabsaa teeena hapa tuweni makini ni kweeli shida zipo ila kutegemea hawa na kuleta uzi kbsa et mnapongeza hii ni hatariiiiii
Hata mtoa mada huwezi kumpangia nini aseme na wapi aseme
 
Ndugu yangu Eric,imefika wakati sasa nikueleze wazi kwamba wewe ni mnafiki na huna hofu ya Mungu bali una hofu ya serikali kwa sababu ya kuogopa maslahi yako kuguswa.

Taifa lipo pabaya tangu rais Magufuli aingie madarakani 2015.

Magufuli ni rais wetu sote,haitakiwi tumwogope bali tumwambie ukweli halisi bila kujali madhira yanayotukuta.

Lakini wewe unataka kutufanya siye hatuipendi nchi yetu ila wewe unaipenda sana.

Umeandika waraka wa hovyo mno kupinga maazimio ya EU juu Tanzania, kwamba EU inatuonea kwa sababu eti Rais anatetea raslimali Kama dhahabu baada ya kuzuia makinikia.
Waraka wako umejaa vichekesho kweli,ni waraka wa mtu muoga anayejipendekeza kwa serikali.

Tujadili kuhusu Raslimali,Rais hapigani vita ya raslimali bali anapigana kufuta amani ya nchi ambayo Mungu ametupatia kwa miaka mingi,anavunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kunyanyasa wapinzani,mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa sheria na shughuli zote za kidemokrasia,lakini yeye anawaona wapinzani ni maadui wakubwa wa nchi.

1. Alphonce Mawazo aliuawa na watu wanaodhaniwa kuwa wana ccm hadi Leo hakuna aliyekamatwa kwa matukio hayo.

2. Ben Saanane alitekwa na kupotezwa na watu wanaodhaniwa TISS,lakini hadi Leo jalada la kesi yake limefungwa na Police

3. Tundu Lissu alipigwa risasi

4. Kanguye wa Kigoma alitekwa na kupotezwa

5. Azori Gwanda alitekwa na kupotezwa

6. Kijana Eric wa Sinza alitekwa na kupotezwa

7. Daniel wa kinondoni alitekwa na kuuawa

8. Makumi ya maiti zikiwa zimefungwa kwenye viroba zimetupwa baharini

9. Akwilina alipigwa risasi na Police kesi kapewa Mbowe

Yote hayo kwako ni sifuri halafu unajiita mcha Mungu, are you serious? Hujawahi kuandika waraka wowote kuumizwa na hayo matukio na wala kuitaka serikali iwajibike.

Umekuja kuibuka unaandika waraka kusema upo pamoja na Rais, unadhani ni nani yupo kinyume na Rais? Sote tupo pamoja naye lakini hili la serikali kukiuka haki za binadamu hatupo naye,na ndo msingi wa maazimio ya EU.

Suala la ushoga, lisiwe kiki, EU haijawahi kuipangia nchi yoyote mambo yake wala kuilazimisha ikubali ushoga.

Inachopinga EU ni tabia ya serikali ya awamu ya tano kutenda ukatili dhidi ya watu wake.

Hii nchi ni yetu sote, unadhani siye tunapenda iharibiwe?

Kwanini EU ionekane mbaya Leo hii na siyo awamu zingine zote? ina maana marais wengine walikuwa hawafai?

Yaani Dunia itazame tu unyama ukifanyika eti wasiseme kwa sababu we're the sovereign state, being a sovereign state doesn't mean you're free to practise inhumanity,tusijifiche kwenye kichaka cha taifa huru kutenda unyama.

Kama kweli una uhakika na waraka wako, mwambie rais pia azuie gesi isiende China, maana gesi ina thamani kuliko dhahabu, acha kujipendekeza simamia ukweli, mwogope Mungu na siyo binadamu, Duniani tunapita tu, our permanent shelters are in heaven.
Ujumbe umeeleweka labda mtu awe chizi
 
Ndg nmesoma uzi wako kwa Eric Shigongo nikabaki nashangaa tu!!

Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Pumbaaaaaaaaavu wewe.Nawe ni kima tuu.Unatetea choo tuu hapo huna jipya.
 
Kama unampenda s.h.ig.o.n.go kamlipie mikopo yake.....husisubiri afilisike kabisa
 
Nakurudia tena,onyesha hapa tusi nililomtukana shigongo,halafu mwombe Mungu akupe hekima ya kutambua mema na mabaya,kwa sababu nimezungumzia mabaya ya Magufuli umekwepa kujibu hoja,hao waliouawa na kutekwa ni mbuzi?
Trump kumpiga marufuku mwandishi wa CNN kuingia Whitehouse ndo mfa no gani huo? Umeshasikia wanaompinga Trump wametekwa na kupotea?
Una umri gani wewe usiyeona tofauti ya maisha?au unaishi kwa shemeji yako?au wewe ni mke wa mtu unayeletewa kila kitu?
Vijana awa wanasumbua sana,kula bure kulala bure....mida hii anamsubilia shemeji afungue geti.
 
Ndg nmesoma uzi wako kwa Eric Shigongo nikabaki nashangaa tu!!

Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Hovyo kabisa hakuna kitu kibaya kama uoga wewe ni mwaga uliye poteza mwelekeo huwezi Sifia upuuzi wakati unaona halihalisi ilivyo
 
Kudos, Erick anacheza siasa za tumbo na ukanda na kama angekuwa hajalipwa madeni yake angekaa kimya, tumpuuze kwa sababu kibano cha.wakubwa kikikolea hatabaki salama hata kidogo!
Ni kweli mkuu,sasa ni bora angekaa kimya tu kuliko kutuchochea hasira
 
Yaani wewe unataka shigongo asimamie matakwa yako na hisia zenu na hao mabeberu wenu. Kawaambie hivi tumeamua kusimama wenyewe. Kenya chini ya Mwai Kibaki walipoamua kusimama walipata taabu lakini waliweza.Na sisi chini ya JPM tutasimama na tutaweza. Ushoga haukubaliki. Wao waje kutalii mbuga za wanyama tu, swala la ushoga halina nafasi.
Tatizo lenu nyie ni uwezo mdogo sana wa akili,kwanza hujasoma mada vizuri,EU haijawahi kuilazimisha nchi yoyote ikubali ushoga,inachopinga EU is how those homophonic persons are being sarcastically treated,na maazimio yapo 15, nyie mmekimbia kujibu maazimio 14 mnakomaa na azimio moja la ushoga ambalo namna walivyolielezea siyo kama nyie mnavyojaribu kulikuza,anyway mwisho wenu mbaya mno...
Ndo maana mmenda kukopa South Africa, wakati hilo taifa lina matatizo kibao,na wakiwapa ujue hawana akili,
 
wacha kuleta habari ya kufikirika
Siku hizi mtu hata akitekwa kwa kuchukua mke wa mtu mnalaumu serikali
Kuna mwandishi wa The Guardian alilewa chakali akapoteza mawasiliano mkewe akadai katekwa,ma tanapa humu mkaunga tela kulaani serikali,kesho yake amekutwa kajinyea kwa pombe
Magufuli mpaka sasa ana mikonosafi kulinganisha na wenzie waliopita
Mkapa alidondosha mtu 29 pemba
Kikwete kadondosha sana watu wengine walimwagiwa tindikali,kutobolewa macho na kung'olewa kucha na kuuawa,kwa Dr Mvungi
Magufuli hajaua wala kutesa ni tuhuma za kufikirika,hao waliokufa zama za mkapa na kikwete wangekufa zama hizi bavicha mngetembea uchi
Uko humu unalipwa kwa kazi ya kumtetea Dikteta,kwa hiyo siwezi kukushangaa
 
Magufuli atawamaliza hadi sasa hamna hata sera uchaguzi umekaribia hamna hata hela za kampeni mnampa Mbowe atawakamua hadi mashati mnakalia kujadili nguli wa afrika!??? Baba wa taifa wa pili na kioo cha viongozi wote Africa na duniani kwa sasa!!!!

Jiandaeni!!! Mlizoea kupiga kelel mnapewa hela Magufuli nooooo mnahaha kila kona mbuzi nyieeeee teena Magufuli kawawezq kweeli mnadhani nani atawaskia ET UE mtaona sasa unadhani kwenda kuwatembelea ndo nn Tanzania iko imara ni wqchache tu mnajifanya mnajua mtapungua tu
Jinga kweli wewe shetani,******** will soon fade away,yeye dikteta wa kwanza,
 
Back
Top Bottom