Nani anayeathirika kwa kutorusha chaneli za bure?

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Kama heading inavyoeleza hapo Juu, Naona kama nimekua mzito sana kuelewa mambo, Ninaamini hapa nipo kwa ma GTs wa Jamii forums nitasaidiwa mengi na mwishowe naweza nikawa Mmoja wa ma great thinkers kwasababu katika msafara wa mambo kenge nao wamo.

Hebu nisaidieni haya hapa chini ma GT wa Jamii forums.

1. pamoja na kuwa Multichoice na wenziye kutokua na kibali cha kurusha channel za bure za ndani hivyo kupelekea kuondolewa baadhi ya chanels kama Clouds TV, hapa anayeumia ni Multichoice ama Mtanzania mnyonge?

2. Ni kwanini tunahamia Dodoma?

3.
 
Hakika ni mtanzania mnyonge ndiye anayeumia.
Kampuni husika hazitegemei local TV channel kufanya biashara.
Kuwepo au kutokuwepo kwa local channels kwenye vifurushi vyao hakuwapunguzii mapato.
2. Ni kwanini tunahamia Dodoma?
Kuna mawili matatu kwenye hii thread
 
Mtanzania mnyonge gani huyo unayemzungumzia?
Kama unaweza kununua kisumbuzi kwa zaidi ya sh. 70,000 na ukaweza kulipa zaidi ya Tshs 17,000 kwa mwezi kweli unaweza kujiita kuw wewe ni kati ya wanyonge?
 
Hapa ndio unanifanya nijione kichwa nazi zaidi,

Hivi hapa ni nani anaumia?
 
Hakika ni mtanzania mnyonge ndiye anayeumia.
Kampuni husika hazitegemei local TV channel kufanya biashara.
Kuwepo au kutokuwepo kwa local channels kwenye vifurushi vyao hakuwapunguzii mapato.

Kuna mawili matatu kwenye hii thread

Arifu hii Dhana ya kuhamia Dodoma kwakua ni katikati imepitwa na wakati, Hii labda kwa enzi zile miundo mbinu ya kufika Dar Es Salaam ilikua mibovu hapo ningeelewa. Lakini sasa mtu yeyote akitaka huduma za serikali hapa Dar anafika vizuri tu enzi zile nafikiri tulitaka iwe Dodoma kwasababu ya urahisi wa kufikika.
 
Back
Top Bottom