My New Year’s Resolutions! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My New Year’s Resolutions!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by m_kishuri, Dec 7, 2010.

 1. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Haya wanajamii, leo ni tarehe 7 Dec. Nadhani ni wakati muafaka wa kujiwekea maazimio muhimu kwa kwa ajili ya kuyafanyia kazi katika mwaka wa 2011. Binafsi sidhani kama kuna ubaya wowote, kwani kama wahenga wasemavyo, penye nia pana njia.

  Kwa mwaka ujao (2011) nimeadhimia yafuatayo:

  1. Kuitunza afya yangu, na nitaanza kwa kujiunga na GYM iliyokaribu na hapa kwangu. Nimeazimia kupoteza, kwa uchache kilo 15. Check !

  2. Nimeazimia kwamba 2011 niongeze bambino wa pili, kwani kila nikijiangalia kwenye kioo naona umri unazidi kula jogging. CHECK !

  3. Nimeazimia 2011 uwe mwaka wa amani na upendo kwa ndugu na jamaa ambao umeme ulikuwa haupiti, kwani nimegundua kwamba ugomvi na wanandugu unaathiri afya yangu. CHECK !

  5. Nimeazimia kwamba katika mwaka 2011 ntakuwa mwaminifu kwa mama bambino wangu ! Lakini hapa ntahitaji msaada kutoka kwa wakina dada, haswa wale mashujaa walionikumbusha kwamba nina mtu nyumbani. CHECK !

  6. Nimeadhimia kuacha kuacha FEGs na MASANGA, kwa sababu nimegundua kwamba hivi vitu viwili vinaendeleza umaskini na kuboronga afya yangu. Hayo ndio yangu kwa 2011. Je, ni nini maazimio yako ya 2011 ?
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,189
  Trophy Points: 280
  1. Lay down the Scotch (The wine is fine I am told, although I wanted to go teetotaler)
  2. Buy new crib ( might as well take advantage of these low interest rates)
  3. Blue book (fvck waiting for dual)
  4. Give at least $ 4,000 in some educational funds bongo
  5. More humility and less grandiose at JF, still slackers don't get a pass.
  6. Keep increasing 401(k) contribution yearly by 1%

  Out of all these, I am a bit doubtful about # 1 and 5. If I was a praying man I would ask for some, but I am not fortunately.
   
 3. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mi ningewashauri watu wangeanza kwa kupima ukimwi kwanza
   
 4. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kiranga umenipiga darizi kwenye no. 4, I salute you bro. Lakini no. 2, unhhh! hapa mjini kwangu kuna watu wanatamani kurejea maamuzi yao ya kununua cribs, haswa wakati ule wa real state BUBBLE.
   
Loading...