Hahahahaa wewe Dogo Mpumbavu saanaNilikuambia gonjwa ulilonalo ni nzito sana na tiba inatakiwa
Saiv uko hatua mbaya ya emotional sanity..empty brain kabisa
The way I love you, my facial expression tells all. Marys kisses to you dadiiii mmuah!!
Mpenz nakupeeendaaa, ujue na nakupeeendaaa tena nakujaaaliii. ....
Mahaba mia mia kwako dadiii.
Ulale Unono Mahabuba
Kasie Mahabat Matata.
Ebu lala mkuu....
Kutoka huko hadi ufike mjini pale panapo tazamana na S.L.P...... mkabala na jengo refu lenye jina la kiongozi mkubwa kabisa wa awamu ileeeee...... Ebu lala mkuu kesho siku ya kazi bhanaaaaa, kitovuni mwa mji ni mbali, labda kama pengine upo likizo kuleeee Bondeni ama kwenye anapo miliki Trump....
Kwa nini unajiita Kasie Matata?
Safi sana. Vitendee haki viwango vyako, then enjoy maisha.Haswaaaaa tena viwango vilivyo tukuka. ......
Kabisaaaa hasa hiyo shooting yao, jamaa na mdada waliitendea hakiHehehee mahaba mahabatan
Kwema lakini???Naaam babu Hussein....