My Love...... My Endless Love....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,213
36,195

The way I love you, my facial expression tells all. Many kisses to you dadiiii mmuah!!

Mpenz nakupeeendaaa, ujue na nakupeeendaaa tena nakujaaaliii. ....
Mahaba mia mia kwako dadiii.

Ulale Unono Mahabuba

Kasie Mahabat Matata.
 
Ebu lala mkuu....
Kutoka huko hadi ufike mjini pale panapo tazamana na S.L.P...... mkabala na jengo refu lenye jina la kiongozi mkubwa kabisa wa awamu ileeeee...... Ebu lala mkuu kesho siku ya kazi bhanaaaaa, kitovuni mwa mji ni mbali, labda kama pengine upo likizo kuleeee Bondeni ama kwenye anapo miliki Trump....
 
The way I love you, my facial expression tells all. Marys kisses to you dadiiii mmuah!!

Mpenz nakupeeendaaa, ujue na nakupeeendaaa tena nakujaaaliii. ....
Mahaba mia mia kwako dadiii.

Ulale Unono Mahabuba

Kasie Mahabat Matata.

Kwa nini unajiita Kasie Matata?
 
Ebu lala mkuu....
Kutoka huko hadi ufike mjini pale panapo tazamana na S.L.P...... mkabala na jengo refu lenye jina la kiongozi mkubwa kabisa wa awamu ileeeee...... Ebu lala mkuu kesho siku ya kazi bhanaaaaa, kitovuni mwa mji ni mbali, labda kama pengine upo likizo kuleeee Bondeni ama kwenye anapo miliki Trump....

Usikremishe utajikwaa. ...... pole sana.
 
Kwa nini unajiita Kasie Matata?

Hahahahahhahahahahaaa unataka nikupe siri...?? Kasie bana asili yake tuu ni mtata mtata kama choda a baba ilivo tata na tamu aahahahahahhaahahhaahhahahahaa

Umekunywa maziwa? Cockroach Mendeeeee

Kasie Matata.....
 
Kabisaaaa hasa hiyo shooting yao, jamaa na mdada waliitendea haki

Hahahahaaa huwezi amini nilikuwa nasikiliza zaidi wimbo kuliko video....
Nimemuimbia habibi wangu leo... am so happy for him.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom