My last Advice to JF Men; learn from me

Status
Not open for further replies.
Doh pole sana baharia umekuwa funzo kwa wengine shukurani kwa taarifa wakusikia asikie asiyetaka aache tu.
Hakuna cha funzo wala nini.
Yalishatokea kabla, yametokea sasa na yataendelea kutokea. Watu huwa hawaamini hadi pale janga linapomkuta.
Kuumizwa yeye sio lazima na wengine waumizwe..na pia kuumizwa ni sehemu ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Elisha, kuna siku uliniambia napenda kutaniana na bidada mmoja mcheshi na anaongea na kila mwanaume. Umekuwa ukilalamika kila post ninayosoma. Again pole sana mkuu, jipe moyo na anza upya coz siku hizi mahusiano ndivyo yalivyo, ama uliwe hela au upewe ukimwi. Sasa wewe umeliwa hela na kuumizwa kihisia, inauma ilà move on, maisha lazima yasonge.

Nenda kapime UKIMWI, kama upo salama mshukuru Mungu wako na ishi maisha yako huku ukifurahia.

Kupangwa wanaume sita napata harufu ya kusambaziwa maradhi makubwa hapo. Hiki ni kijiwe, kina malaya na wahuni kama kwingine tu ila haimaanishi hakuna watu wema. Wengine tulibahatika kupata watu wema sana, very good people indeed na bahati haikuwa yako.

So sad!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom