Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Hivi ndivyo intuition yangu inavyonieleza kuwa Mwendzake alikuwa anataka kumshughulikia au kumkwamisha Mteule wa Mungu ambae ndio angekuja kumrithi.
Kwa maneno mengine, Mungu kamuwahi ili mtu wake aje achukue nafasi.
Angeweza kumshughulika au kukwamisha mchakato au harakati ambazo matunda yake ni Mteule huyo wa Mungu kukalia ofisi kubwa.
Intuition nyingine inanieleza kuwa kwasababu Mwendazake alitangulizwa mapema, ni wazi alitanguluzwa ili mchakato wa kuleta mabadiliko usikwame kwani yeye ndio angekuwa kikwazo kwa mchakato mzima na hivyo kwa Mteule huyo wa Mungu.
Tukumbuke angeweza hata kubadili taratibu ili aendelee kukaa ofisini.
Inawezekana Mteule huyo angetoka ndani ya chama chake(Mambo ya Mungu sometimes ni magumu), ingawa uwezekano mkubwa ni mtu wa kutoka nje ya chama chake.
Conclusion:
Mtarajie mabadiliko na hasa kupata kiongozi chaguo la Mungu wakati ukifika.