My Hypothesis on CHADEMA/Zitto’s Shadow Budget Blunder

yaani magamba kutwa kucha kuangalia leo mnatoka sngle gani kuhusu cdm!badala ya kutekeleza sera zenu!...ss basi bila cdm msingemfaham huyo Zitto,na wala cdm haimtegemei zitto coz chama hakiendeshwi na mtu mmoja!so wapo makamanda wengine wengi tu wanaoiwakilisha cdm vizuri sana kkila mtu kwa nafasi yake.
 
kwani huoni dalili za mkoloni mweusi wa pili baada ya kwanza ccm kuchukua chake mapema. Na mkololi mweusi wa pili ana mendea kama mkoloni mweusi wa kwanza ataanguka nae anakuja nayake chukua dau mapema. Tumeona kuwa cdm walafi tena waongo na wa dhaifu mfano tu kichwa(mwenyekiti mbowe au mungu mbowe) ameonesha udhaifu tena dhaifu ameshindwa kusimamia alipo paamini na kuwahadaa wananchi amerudisha gari kwa mbwembwe ati utumiaji wa magari ya kifahari ni ufujaji mali hivyi sipaswi kulitumia gari hili. Miezi sita baadae akalichukua kimya kimya bila kutangazia umma kwa mbwembwe kama zile za mwanzo. Hii ni dalili ya mafisadi na wakoloni wanyonyaji. Kuna mwana funzi alijitolea kwenda kusini wiki mbili aliambulia posho ya tsh 15,000, huyu mwanafunzi wa chuo pia alipewa zawadi ya ma tusi kutoka kwa heche huyu na mkaburu kuna tofauti? Haya ndio maashirio ya mkoloni mweusi wa pili kama atabahatika0

..kwanza hilo gari alivyoliacha alikosea sn,bora amelichukua,kwanza ni haki yake..pili,angeliacha kwa manufaa ya wananchi,isingetumika kwa ajili hyo ccm lazima wangelifisadi tu!
 
Wewe nadhaniuna ajenda nyuma yako dhidi ya Zito. kwa uelewa wangu naona Zito ni kiongozi kijana makini kulikounavyo dhani.
 
Wewe nadhaniuna ajenda nyuma yako dhidi ya Zito. kwa uelewa wangu naona Zito ni kiongozi kijana makini kulikounavyo dhani.

..kwanza hilo gari alivyoliacha alikosea sn,bora amelichukua,kwanza ni haki yake..pili,angeliacha kwa manufaa ya wananchi,isingetumika kwa ajili hyo ccm lazima wangelifisadi tu!
 
Zitto ni waziri kivuli wa chadema. Bajeti aliileta bungeni baada ya baraza kivuli la chadema kuipitia na kuikubali, ifahamike kuwa zitto siyo mtu wa kuiruhusu bajeti ya chadema kama ilivyo kwa jk kwa bajeti ya serikali. Kumlaumu zitto kwa makosa ya kibeji ya upinzani ni kukosea kwa7bu mbona hatumlaumu MGIMWA pekeyake bali serikali nzima ya ccm? Zitto akifanya mema tunaisifu chadema/upinzani kwann ktk hili tumlaumu zitto peke yake? Zitto siyo mjinga na wala siyo dhaifu lakini pia siyo malaika. Mtu akikiri kosa analengo la kujifunza na kutorudia kosa. Zitto amekiri kosa, yanini kumhusisha na ccm?
 
CHADEMA KUNANI?


tunaambiwa ilikua typing error kwa kusahau tarakimu nyingine na kuandikwa sifuri tu. hili linawezekana! tatizo ni kwamba zitto, wenje, msigwa na wabunge wengine wameunda urafiki mkubwa ambao unawatisha akina mbowe, slaa nk....... WALIENDA MAREKANI KUTANGAZA CHAMA BILA YA RIDHAAA YA MTEI NA MBOWE! tatizo lililopo ktk chdm ni kwamba kila m2 anatafuta sifa. kujijenga yeye mwenyewe. walifanikiwa kuhamasisha watanzania walioko marekani na kwa ujumla ziara ilikua na mafanikio. hawakuenda na mbunge wa chdm atokae kaskazini hata mmoja!!!!!!!!!!!! MAKAO MAKUU WALIIONA ZIARA ILIE KWA MACHO MAWILI: kwanza kujiimarisha kwa zitto. pili kupambana na uchagga ndani ya chdm.



KWA NINI MBOWE NA LISSU WALIMSHAMBULIA ZITTO BUNGENI

katika utangulizi wa bajeti ya zitto, alitumia neno BAJETI MBADALA YA KAMBI YA UPINZANI. haya maneno yamekua yakitumia toka mwaka 1995. ni maneno ambayo yamezoeleka lkn hayapo kikanuni. maneno sahihi ni MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI. kilichoshangaza ni juzi siku ya alhamisi, lissu alisimama na kukosoa neno la BAJETI MBADALA YA KAMBI YA UPINZANI kuwa ni kosa! akasema maneno sahihi ni MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI. licha ya kuona jinsi wabunge wa ccm walivyowasakama chdm, aliendelea kuwasaidia kumponda zitto! kama hiyo haitoshi MBOWE NAE ALISIMAMA KUMUUNGA MKONO LISSU. wabunge wa ccm walifurahi sana na kupiga meza kwa kishindo. mbowe anamuogopa zitto kama tsunami. ameona atumie fursa hii kumsulubu zitto. AKUMBUKE KUWA YEYE NI MWENYEKITI. HAPASWI KUIPONDA CHDM YAKE BUNGENI. lkn kwa kua amnamuogopa zitto sn, akaona heri chdm ifedheheke lkn amsulubu zitto.



NATABIRI MPASUKO CHDM

mambo yakiendelea hivi, chdm kitapata mpasuko. uchaguzi wa ndani utakao fanyika mwankani unawaumiza sn viongozi.



USHAURI WANGU KWA ZITTO
zitto wewe siyo MCHAGGA. NAAPA KUWA WACHAGGA HAWAWEZI KUKUPA HATAMU YA JUU YA CHAMA CHAO. HILO SAHAU. HUU NDIYO UKWELI HALISI. HUWA SIPENDI KUFICHA UKWELI. KUMBUKA MZEE MTEI ALIVYOKUITA NA KUKUULIZA "UNAJUA HIKI CHAMA KIMEANZISHWA KWA MALENGO GANI?" zitto umechangia kuhamasisha vijana wasomi kujiunga chdm, umechangia kukijenga chdm, lkn NI KAMA UNATWANGA MAJI KWENYE KINU. HUPENDWI CHDM.


nakushauri kabla ya mwaka 2015, kajiunge nccr au cuf kwa sharti la kupitishwa kama mgombea urais. u can do better through those 2 parties. wewe NI KICHWA. WEWE NI MWANASIASA SHUPAVU!!!!!!!!!!!!!!!!!! fuata ushauri wangu. angalia slaa navyofunikwa na mbowe. tz daima halimuandiki tena slaa. jangwani alipewa dkk sawa na sugu na mnyika!


siogopi kusema ukweli kwa maslahi ya taifa langu
 
Du Mwongozo umejibu vyema naona umemsaidia Goodrich ZITTO ni kichwa ila nashauri asihame mm ni hayo napita upepo ukipita ntakuja
 
Mkigoma.....yaani wewe kati ya mawazo yote yaliyopo umeona hilo la ukabila ndilo ulete jukwaani....

Mbona tunakuwa wabaguzi kiasi hiki!!!:usa:

Obama wa Marekani aliposhinda tulifurahi kuwa mwaafrika kafika mbali....sasa mbona wenyew kwa wenyewe tunabaguana?

Kwa mtu mwenye busara hata kiasi cha punje ya sukari...mawazo ya mtu na utu wake ni ya msingi kuliko ukabila!!!:sad:
 
What is shadow budget anyway? what is the relevance of preparing a "shadow budget"? what if all the numbers in the shadow budget are wrong and its propositions flawed? what does that mean in the grand scheme of things a.k.a the national budget? ABSOLUTELY NOTHING!

Of course, if CDM was the party in power, its budget preparation should have been better prepared and obviously it would have taken a group of professionals to prepare it. To me the biggest error in this whole saga is the assumption that the opposition's budget is somewhat relevant to the national budget. IT IS NOT. For me the opportunity should have been used to dissect meticulously and precisely the national budget. The opportunity should have been used to show how the failed policies of the ruling party have brought our nation to this brink of catastrophe. I hope next year CDM will stop doing this "shadow budget' thing! Its a waste of time and resources.

There is nothing like shadow budget in Tanzania. The opposition presents a recommended budget from their side, of which this year's was a totally flop. Not even a simple Mwananchi like me could make any sense out of it. After quickly perusing thru it, I found out it has "0" income. How can opposition come with recommendations of big expenditures on development with "0" income?

Remember; "N0" shadow budget in Tanzania. Nada. So reserve your energy on other issues, like Symbion for example, where I never heard your gossips.
 
Huyo aliyesema eti ZITTO akiondoka CDM eti kitakufa anaumwa mtikisiko wa UBONGO. Wewe uliyepo kwenye hilo Gamba lako ndiyo maana limekufa nakushauri ondoka ukafungue chama kingine maana hata ukija CDM utatuletea nuksi. CDM ina vipanga wenye akili nikiwemo mimi, bisha!!!!! Do not undermine CDM!!!!!! Hizo akili zenu ziko wapi? Mbona msizitumie kutengeneza firm and implementable strategies za kuondoa umaskini wa watanzania? Hivi unaju kuwa Poverty and Human Development Reporty 2011 Tanzania ni nchi ya 152 kati ya nchi 183 za dunia? Unajua katika report hiyo 67.9% ya watanzania wanaishi chini ya USD 1.25 per day? Unajua social service indices ni ndogo sana na inachangia kuwa na life expectancy of only averaging 58 years? Kama kweli mna akili for the past 35 years(1977-2012) rulling part in power mmefanya kitu gani? Shut up you!!! Think beyond horizon, get out of your black box!!! Use your common sense!! Nyie ndiyo wale watoto wa vigogo ambao mmetumia SSM kujilimbikizia mali na sasa mna nguvu ya kutaka kututawala sisi. Subirini 2015!!!
 
How is the budget poverty inducing?..
Tell me the source and subsequent allocation of the money that you see flying all over Tanzania that can massively reduce our poverty. Don't just say this budget is poverty inducing without showing us how.
Thats too freakin general!!

The opposite i.e. a stated (bolded) fact by you is settled on "reducing our poverty" premise.
So you admitedly created and owned poverty. Now that being the established fact you same minds who succeded in create and aggriviate poverty to millions of tanzanians surely cannot reduce it now.

You (ccm) have had all the time in world, and all untold resources for means to not only "reduce" but completely alleviated it, but psinfully you've never bothered nor attempt the needful.

CCM OUT, that's the only and best way
 
The opposite i.e. a stated (bolded) fact by you is settled on "reducing our poverty" premise.
So you admitedly created and owned poverty. Now that being the established fact you same minds who succeded in create and aggriviate poverty to millions of tanzanians surely cannot reduce it now.

You (ccm) have had all the time in world, and all untold resources for means to not only "reduce" but completely alleviated it, but psinfully you've never bothered nor attempt the needful.

CCM OUT, that's the only and best way
How?? just answer the frigin question!! What are you going to do with your shaddow budget? Did u even read it?
Aaaarghhh!!
:frusty:
 
Back
Top Bottom