My Hypothesis on CHADEMA/Zitto’s Shadow Budget Blunder

kimsingi Zitto anapaswa kuwa makini zaidi kujitofautisha na magamba. Hizi za kutumiwa na magamba ni hisia zako mwenyewe na hao unaowasikiliza.
 
Wrong time to discuss this stuff, try another day. Tuzungumzi Simbachawene kwa sasa na usalama wa ndoa za WaTanzania wasiokua na kitu mifukoni kama walivyo waheshimiwa wabunge na mawaziri.
 
nguruwe* ww unayeamisha watu eti CDM hakuna wasomi sasa subiria 2015 tutaingiza vijana wengine wengi tena wasomi kama wakina Heche, saanane, j mrema etc ndio hapo mtaisoma namba.


fanyeni hivyo tuone wakati kila uchao chadema wanataka makada wa CCM wahamie CHADEMA bila ya hivyo ikitokea CHADEMA ikashika madaraka watanzania tutakula nyasi
 
Nililisema hili siku baada ya kuona magamba wamekomaa kwenye ussue ya zero...naunga mkonooooooooooooo asilimiiiiiiiiiiiiiiiaaaaaaaaaaaaaaaaa miaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kama unabisha haujui kufikiri
 
Be careful wana CDM. Kuna watu wanajaribu kuwagawa.

Wanataka kutumia link ya Zitto kugawa watu kidini. Msinunuliwe kwa bei rahisi kiasi hicho.

Tuko wamoja saaaaaaaaaana.

Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeples Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrr!
 
Sidhani zito kachemsha kihivyo mpaka watu muandike namna hii.Hakuna kibaya alichokifanya nimakosa madogo sana yaliotokea kwenye bajeti yake ambayo hata mawazili wengi tu waliopita wanayafanya.
Sio muda muafaka wakumlaumu zito.Tunaamini kijana anaweza kuongoza tena anaupeo mkubwa sana
 
kwani bajeti aliandaa peke yake? Chuki za udini zimekukaba hata kupumua huwezi! Yaani mnatamani Zitto afe nafasi achukue askofu!
Acha ushamba iliyokosea ni dini ya zitto au zitto mwenyewe? asikosee mtu akiambiwa tayari ushakimbila kwenye dini asiambiwe kisa muslim.
 
I have always been having the same thought!
And its just a matter of time that all will be in the open na ataumbuka sana tu. He is hypocrite Zitto.

Ni mtu wa hatari sana huyu, lakini azidhani kila mtu ni mjinga na kuwa uchawi wa kwao utamuokoa. He will fail one day as long as his deep inner self is not genuine to his actions.


Wakati kampeni za Arumeru zimeshika kasi na watu atwanahangaika kuelimisha umma, Zitto aliona huo ndio wakati muafaka kutangaza nia ya kugombea Uraisi 2015 huku akiwaponda viongozi, wabunge na wanachama wenzake.

Wakati huu ambapo serikali imewasilisha bajeti ambayo kwa ujumla haikubaliki, wakati ambapo ilikuwa fursa adimu kwa CDM, Zitto amewasilisha bajeti yenye makosa ya msingi kabisa, yenye kufedhehesha.

Mimi naona makosa katika bajeti ya upinzani, kauli za Ngeleja bungeni, na hatimaye kipindi cha malumbano ya hoja ITV ni mpango uliopangwa mahususi.

Nawataka Chadema wawe makini na Zitto, wajue kuwa zitto wa mwaka 2000 (enzi za Buzwagi) sio Zitto wa leo.

Pia ni vema kujua kuwa mipango ya kuua upinzani inapangwa kwa umakini na umahiri mkubwa kuliko mipango ya kuwaletea maendeleo waTZ.

Nahisi Zitto anatumiwa sana na CCM.
 
Jitahidi kukontroo HISIA zako. Maana unasema UNAHISIIIIIIIIIII. Zitto ni mtu muhimu CHADEMA ila Zitto sio Chadema. Kumbuka WAJAPANI, Wajapani walipigwa Mabomu ya NUCLEAR lakini JAPAN ipo, na WAJAPAN bado wapo.Chadema kimependeka tu mkwa ssababu ya S E R A zake sio watu@goodrich
 
My dear you are missing a very critical point here. Mind that Zitto was not reading a hard copy handed to him by the typist. He was presenting directly from the original soft copy stored in the iPad. How come you categorize this as typo or printing error?

English Learner,

Trivial issues cannot change anything ..................Let us concentrate on more pressing issues

This attempt to impoverish workers and the Tanzanian poor, is coming at the heels of increased tariff on Telecommunication, the move to massively sack workers in the name of merging parastatals, the attempt to collect more taxes through the return of toll gates, the refusal to adequately fund education, and refusal to pay minimum wage, which is an impeachable offence.

Despite the country's security challenges(Al-Shaabab threat and DRC crisis), it is curious that the JK's government has allocated a massive lion share of the budget to security. In the first instance, the major cause of the increasing wave of insecurity in Tanzania is lack of education and mass unemployment, which are direct consequences of the general collapse of public infrastructure such as public electricity, roads, education, health etc. The interna security challenges are further compounded by lack of political will and abysmal ineptitude of security agencies.Majambazi wanaua Raia kila siku na wengine wakivuka boda.Our police force are under-equiped

No one should underestimate the general mass poverty, unemployment and discontent that has increased bottled up anger in our polity. Ignoring Domestic industries and creating more job opportunities will provide the spark for mass protests such that even the increased security vote cannot buy enough arms to contain.

Since the government of JK has elected to punish the Tanzanian people through a budget that is poverty inducing and will cause a lot of hardship, the Tanzanain youths will have no alternative but to resist.

I call on all Tanzanian Youths,activists and people to begin preparations for a general strike and mass protests. The people must be prepared in the next few weeks when the JK administration begins to implement his anti-Tanzanian budget/policy. Tanzanians should prepare to occupy the streets and public institutions to prevent them from being taken over by anti-patriotic forces.

Let us meet to firm up strategies and give directive on the commencement of this protest and the resolve of Youths and the Tanzanian people to reclaim their country back.

We also gave JK administration time to seriously rethink by reviewing his budget proposal, or be ready to take on the Tanzanian people.He opted for the second option.
 
Mi hua naona Zitto hupenda kutumika kuimaliza CDM na huku kuungwa mkono na ccm na watu wa Dini na watu kuonyesha kama Zitto anaonewa nae anaipenda hali hio, kama hatumiki kwanini kila siku Zitto, nae anakaa kimya.
 
Zitto ndiyo anayetakiwa awe makini na watu wanaomhadaa, kwani future yake ni kubwa chadema

Yeah lakini sio kuandika Budget Garbage like that one... inamshushia hadhi kabisa... from the start to the end ilikuwa

Haina Mwelekeo kwanini apresent kitu kina expenditure na no income? alikuwa anafikiri nini? na ni Mchumi
 
IKITOKEA ZITTO AMEONDOKA UJUE CHADEMA NAYO ITAKUFA KINACHOWAKWAZA CHADEMA MPAKA WANA WASILISHA BAJETI MBOVU WENGI WABUNGE WAO HAWANASHULE YAKUTOSHA WEWE EBU FIKIRIA KICHWA CHA MBOWE KWELI KINAWEZA KU DIGEST NINI KWENYE BAJETI? HAYA KUNA SUGU HAMNA SHULE KAZI YAKE KUTINGISHA KICHWA KAMA ANASIKILIZA WALKMAN,HAYA KUNA WATU WANA DEGREE ZA SHERIA ZA UCHAWI TEOLOGY,WACHUNGAJI NA BAJETI WAPI NA WAPI,MZEE ARFI MSKINI ANA CERTIFICATE YA RAILWAY KWELI ANAWEZA KUMPA CHANGAMOTO MWAKYEMBE CHINI YA KATIBU MKUU WAKE eng OMARI CHAMO WA UCHUKUZI? UKU KWA AKINA MAMA NDIYO USISEME HALIMA MDEE MPAKA LEO HANA LA KUIONGELEA BAJETI KWA JINSI ILIVYOSUKWA KITAAALAMU,NAWAAMBIENI ENDELEENI KUPIGA MAKELELE LAKINI CCM INAANZA KUJA JUU KWA KASI YA AJABU

Inaanza????. hee ama kweli mshakuwa wapinzani??/ miaka 50 bado mnaanza tuuuu kuja juu kwa kasi??? you are not serious!!
 
Zitto mbona wetu toka kitambo sana, nyie toeni macho tu mtakuja kushtuka too late.



Mi hua naona Zitto hupenda kutumika kuimaliza CDM na huku kuungwa mkono na ccm na watu wa Dini na watu kuonyesha kama Zitto anaonewa nae anaipenda hali hio, kama hatumiki kwanini kila siku Zitto, nae anakaa kimya.

Wana CDM msinunuliwe kwa bei nafuu kiasi hicho. CCM wanatamani kumgombanisha Zitto na CDM, naye anajua hivyo!

Propaganda yao ya udini wanayoiona ni mtaji sana inafifizwa na uwepo wa Zitto CDM. Wanatamani aondoke ili waseme ametolewa CDM kwa kubaguliwa dini yake.

Do not be bought so cheap!!!!!
 
Zitto mbona wetu toka kitambo sana, nyie toeni macho tu mtakuja kushtuka too late.



Mi hua naona Zitto hupenda kutumika kuimaliza CDM na huku kuungwa mkono na ccm na watu wa Dini na watu kuonyesha kama Zitto anaonewa nae anaipenda hali hio, kama hatumiki kwanini kila siku Zitto, nae anakaa kimya.

Wana CDM msinunuliwe kwa bei nafuu kiasi hicho. CCM wanatamani kumgombanisha Zitto na CDM, naye anajua hivyo!

Propaganda ya CCM ya udini wanayoiona ni mtaji sana kuzuia M4C inafifizwa na uwepo wa Zitto CDM. Wanatamani aondoke ili waseme ametolewa CDM kwa kubaguliwa dini yake, waendelee na kampeni za udini.

Do not be bought so cheap!!!!!
 
Back
Top Bottom